Ondoa pattern, password ulizozisahau pasipo kuflash simu

Ondoa pattern, password ulizozisahau pasipo kuflash simu

Mtaalam umesahau sikuhiz kuna security mpya kweny version kuanzia 5 na kuendelea? Ningeona vyema kama ungewaelekeza namna ya kubypass previously google account that was used to sign in
Hii kitu imenishinda aisee..kuna tecno spark nakaribia kuitupa sasa
 
Mzee hii kitu inadai FRP.
UTAOSHIA KU FLASH TU.
AU utumie mbinu aliloeleza mdau m1 hapa namna ya kuondoa frp bila kuflash
Kabisa mkuu,mimi ndo nilihangaika nayo hyo...ila nilifanikiwa
 
Mtaalam umesahau sikuhiz kuna security mpya kweny version kuanzia 5 na kuendelea? Ningeona vyema kama ungewaelekeza namna ya kubypass previously google account that was used to sign in
Acha tu mkuu,ila bypass ina njia nyingi sana
 
Nili activate mobile ant - theft..nilitumia hii mbinu zaidi ya mara 60 nikaishia kufuta kila kitu ndani. Si kila simu inakubali. Labda unambie iligoma kwa sababu ni mobile ant - theft na si pass word ya kawaida
 
Natumia AVG security (pro version), kuna option ya ku-activate mobile ant-theft. Kila mara nikifika kwenye hiyo option nasita kui-activate, vipi mkuu inaweza leta mashida kwenye mobile yangu endapo nita-activate?
 
Kama una account ya awali iliyokua inatumika kwenye hyo simu unaweza iweka ila kama umeisahau hapo kikichobaki ni kuflashi2
Si hilo unaweza ukawa unaikumbuka account na hata uki login kwenye device nyingine inakubadili ila kwenye simu ulioreset ikakataa. Hyo niliprove ili nilihisi ni kwa vile acconunt yenyewe ilikuwa ina siku tatu baada ya simu kununuliwa
 
Back
Top Bottom