Onesha mapenzi yako wazi wazi kwa umpendaye

EwaaaaaahhhhπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 
Mdogo angu mbona kama umeanza kuelewa busara zangu, au umeshaniibia manual guide yangu? πŸ˜‚
We una busara? πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
(Mixed feelings )
Basi usiharibu sifa yako ya kuwa na busara kwa kufanya Mambo yasiyo na faida anko angu
 
Marahaba,mie kibabu wacha nisome tu comments,maana kwangu mapenzi na uzee huu yamekolea balaa utafikiri tumeanza jana,mpaka tunaoneana wivu,yani nawaza bibi yenu siku nikimkuta na mchepuko walah kutawaka moto....
 
Mbona wengine hiyo assurance ndio inatupea motivation yakuongeza juhudi, kupenda na kujali zaidi??

I hate anything or anyone anaenifanya niwe na wasiwasi. Na mara nyingi ndo huwa ticket yangu yakuendelea na mambo mengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…