Mbona wengine hiyo assurance ndio inatupea motivation yakuongeza juhudi, kupenda na kujali zaidi??
I hate anything or anyone anaenifanya niwe na wasiwasi. Na mara nyingi ndo huwa ticket yangu yakuendelea na mambo mengine.
atoke wapiMlete Shem darle basi tumjue
Oooh kumbee?? Bas sawaahSio kila wazo analeta mtu ni kitu kimemtokea. Mengine ni Mambo ambayo yako kwenye jamii
Mimi sio anko wako.We una busara? πππ π πππ
(Mixed feelings )
Basi usiharibu sifa yako ya kuwa na busara kwa kufanya Mambo yasiyo na faida anko angu
ππππ mtaje na wako basi
Unataka nikutaje? ππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈππππ mtaje na wako basi
Bibi sio kizee, bibi kwa maana mie ni babu yako, hivyo nakuita bibi(mjukuu)Anko Mimi sio Bibi.
Babu nimekuelewaBibi sio kizee, bibi kwa maana mie ni babu yako, hivyo nakuita bibi(mjukuu)
Sasa we mjukuu unanitaka babu yako, si unatafuta murder case, nikufie kifuani mie.π