Mbangaizaji wa Taifa
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 493
- 844
BARUA YA WAZI KWA WAJUMBE WA CHADEMA WA MKUTANO MKUU WA UCHAGUZI JAN21.
Ndugu Wajumbe,
Mara ya mwisho Mwenyekiti freemanmbowetz alipotangaza maandamano alijikuta peke yake barabarani na waandishi wa habari pamoja na watoto wake tu hata hao wanaosema mitano tena hakuwepo hata mmoja.
Sasa Mkifanya masihara mkamchagua, next time akiitisha maandamano hata hao waandishi wa habari hamtawaona labda waje TBC
Nawatakia kazi njema ya Uchaguzi