Mbangaizaji wa Taifa
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 493
- 844
Ni swala la muda tu kama watamchagua kwaajili ya pesaBARUA YA WAZI KWA WAJUMBE WA CHADEMA
*
Ndugu Wajumbe,
Mara ya mwisho @freemanmbowetz alipotangaza maandamano alijikuta peke yake barabarani na waandishi wa habari pamoja na watoto wake
Mkifanya masihara, next time hata hao waandishi wa habari hamtawaona (labda TBC na AyoTV).
Nawatakia kazi njema.
Lakini hakuwa serious na ndo alitaka kuzuga ili aendelee kuwahadaa wanachama kuwa bado ni mpizaniBARUA YA WAZI KWA WAJUMBE WA CHADEMA
*
Ndugu Wajumbe,
Mara ya mwisho @freemanmbowetz alipotangaza maandamano alijikuta peke yake barabarani na waandishi wa habari pamoja na watoto wake
Mkifanya masihara, next time hata hao waandishi wa habari hamtawaona (labda TBC na AyoTV).
Nawatakia kazi njema.
Wstu walimgundua.....na hiyo style ya kuja na Mke wake alielekezwa na systemBARUA YA WAZI KWA WAJUMBE WA CHADEMA
*
Ndugu Wajumbe,
Mara ya mwisho @freemanmbowetz alipotangaza maandamano alijikuta peke yake barabarani na waandishi wa habari pamoja na watoto wake
Mkifanya masihara, next time hata hao waandishi wa habari hamtawaona (labda TBC na AyoTV).
Nawatakia kazi njema.
DuuhTAL ndio njia ya Nuru na kweli wa kuipeleka Chadema mbele na Kuwapa tumaini Watanzania baada ya FAM kuonekana Wazi kuwa Yupo Corrupt,na Msaliti.
Walikuwa wanatuzuga tuAtajikuta na mkewe wakizuiliwa getini
Kipindi kile?Walikuwa wanatuzuga tu
Huyu mzee inaonekana ni tapeli toka kitsmboKipindi kile?
Mzee born town huyo tapeliHuyu mzee inaonekana ni tapeli toka kitsmbo
😆😆Atajikuta na mkewe wakizuiliwa getini
Mbowe hakubaliki kabisa ni kama analazimisha tuBARUA YA WAZI KWA WAJUMBE WA CHADEMA
*
Ndugu Wajumbe,
Mara ya mwisho @freemanmbowetz alipotangaza maandamano alijikuta peke yake barabarani na waandishi wa habari pamoja na watoto wake
Mkifanya masihara, next time hata hao waandishi wa habari hamtawaona (labda TBC na AyoTV).
Nawatakia kazi njema.
Mbona Duuh!..Mkuu?Duuh
Kama hakujifunza siku ya maandamano kuwa amezungukwa na wanafiki atakiona cha mtema kuni 2025BARUA YA WAZI KWA WAJUMBE WA CHADEMA WA MKUTANO MKUU WA UCHAGUZI JAN21.
Ndugu Wajumbe,
Mara ya mwisho Mwenyekiti freemanmbowetz alipotangaza maandamano alijikuta peke yake barabarani na waandishi wa habari pamoja na watoto wake tu hata hao wanaosema mitano tena hakuwepo hata mmoja.
Sasa Mkifanya masihara mkamchagua, next time akiitisha maandamano hata hao waandishi wa habari hamtawaona labda waje TBC
Nawatakia kazi njema ya Uchaguzi
Mbowe ajitafakari sn watu hawamtaki tenaBARUA YA WAZI KWA WAJUMBE WA CHADEMA WA MKUTANO MKUU WA UCHAGUZI JAN21.
Ndugu Wajumbe,
Mara ya mwisho Mwenyekiti freemanmbowetz alipotangaza maandamano alijikuta peke yake barabarani na waandishi wa habari pamoja na watoto wake tu hata hao wanaosema mitano tena hakuwepo hata mmoja.
Sasa Mkifanya masihara mkamchagua, next time akiitisha maandamano hata hao waandishi wa habari hamtawaona labda waje TBC
Nawatakia kazi njema ya Uchaguzi
CDM inaenda kuwa kama CUFNi swala la muda tu kama watamchagua kwaajili ya pesa
Kwa kweli kwa miaka 20 inatosha snMbowe hakubaliki kabisa ni kama analazimisha tu