Ongeza exposure kabla ya kuoa

Ongeza exposure kabla ya kuoa

Mk
Duuh Mambo ya kuoana kumbe bado yapo?!. Sikuhizi neno 'Ndoa' huwa naliona huku JF tu. Kwenye Jamii kuna watu walikua wananisisitiza kwamba nioe ila sikuhizi siwaoni tena wakinipa ushauri huo, sasa sijui ni mimi ndio nimekuwa mbali nao au wao ndio wamekuwa mbali na mimi

Umeamua kujizima data tu, kumbi zote mjini weekend zimejaa watu wanaoa na kuolewa. Mashekhe wako busy kufungisha ndoa daily. Ndoa ndo taasisi kubwa allover the planet earth ...
 
wewe uliyejiwasha data Unafahamu kwa wastani Tanzania zinavujinika ndoa ngapi kwa siku??
 
wewe uliyejiwasha data Unafahamu kwa wastani Tanzania zinavujinika ndoa ngapi kwa siku

Sifahamu hakika. Ila hilo halizuii the fact that ndoa ndio the most admirable human institution Kwa binadamu
 
Salaam wana MMU

Ambao hamjaoa usipite bila kusoma huu uzi.

Wahenga walisema kuishi kwingi kuona mengi. Pia tembea ujionee. Misemo hii katu usije ukaipuuza hasa linapokuja suala la kupata mwenza wa maisha.
.

Exposure kubwa niliyokua nayo ni maisha ya mjini yaliyojas stress. Kila mtu kavurugwa na maisha na watu wamekaa kipigaji tu. Unakuta hata wapenzi wanaishi Kwa kuliana timing , ukizubaa unaopigwa tukio.
.
Usiwe general Sana, Kama wewe na ma jirani zako mme vurugwa basi tambua wapo wanao ishi poa.

hebu vuta pumzi vizuri, ili ueleze Ume pigwa na kitu gani kizito??
 
Uko sawa. Ondoa generalization, and just pick the tiny truth in this thread.
Usiwe general Sana, Kama wewe na ma jirani zako mme vurugwa basi tambua wapo wanao ishi poa.

hebu vuta pumzi vizuri, ili ueleze Ume pigwa na kitu gani kizito??
 
Salaam wana MMU

Ambao hamjaoa usipite bila kusoma huu uzi.

Wahenga walisema kuishi kwingi kuona mengi. Pia tembea ujionee. Misemo hii katu usije ukaipuuza hasa linapokuja suala la kupata mwenza wa maisha.

Kwa kipindi kirefu toka nimalize masomo, nilijikuta nimenaswa kwenye kazi za kitumwa hizi as desk officer mjini, 24/7 unashughulika na matatizo ya watz yasiyoisha.

Mwishoni mwa mwaka Jana Kuna fursa ilijitokeza , nikapewa kuwa sehemu ya timu itakayotekeleza kazi hiyo mikoa kadhaa nchini, mjini na vijijini.

Exposure kubwa niliyokua nayo ni maisha ya mjini yaliyojas stress. Kila mtu kavurugwa na maisha na watu wamekaa kipigaji tu. Unakuta hata wapenzi wanaishi Kwa kuliana timing , ukizubaa unaopigwa tukio.

Kwa miezi michache nimekaa vijijini na miji midogo ukanda wa kati. Kuna exposure mpya nimepata hasa Kwa mabinti na wanawake wa kitanzania. Unakutana na mabinti wazuri , natural beauty, ukiongea nao wana maisha magumu sana, ila uzuri wao umefichwa kwenye tamaduni za kijijini. Cha ajabu wana mitazamo Chanya, na wala ugumu wa maisha haujafanikiwa kuondoa tabasamu lao.

Nilichojifunza, usifanye uamuzi wa kuoa kama hujatembea nje ya eneo lako . Toka nje, zunguka mikoa kadhaa, explore, utakutana na dhahabu ambazo ukiziosha, zitatoa nuru.

Kijana pokea salaam hizi kutoka Kwa mtembezi. Usiache kuzifanyia kazi. Wasalaam.
Mkuu makin San
 
So ushaoa Vijijini siyo
 
unaokota dhahabu unaiosha, inang'aa afu wahuni wa mjini wanapanda dau wanainunua😂😂😂
 
Back
Top Bottom