Ongezeko la joto nchini, picha ya Mlima Kilimanjaro leo

Ongezeko la joto nchini, picha ya Mlima Kilimanjaro leo

Wachaga wenye madipufriza changieni barafu kuuokoa utalii mlima Kilimanjaro.
Mji wa Moshi ndio unaongoza kwa kiwango cha joto nchini.
 
Miaka nenda rudi hakuna mambo ya tupande miti viongozi wahamasishe upandaji miti mapori mengi tunayo wameweka bikoni za jeshi waendelee kuweka bikoni ndio zitasaidia kubadili kuwa na mazingira mazuri...maeneo mengi tunayo tunayachezea tuu..
 
[emoji23][emoji23][emoji23]KWISHA HABARI YETU....

unaweza kucheka kama mazur lkn ndio hivyo tena the roof of Afrika inapoteketea kwa kupoteza sifa zake, na heshima yake,
madhara tutayapata sisi wamilik wa hizi rasilimal kwa kupungua kwa watalii,

maana sifa mojawapo ya huo mlima ilikuwa kuwa na barafu ktk nchi za joto, na mlima pekee afrika, hivyo basi wagen wakishajua baazi ya sifa za huu mlima zmepotea, nani atapoteza muda wake kuja kupanda ilo limwinuko[emoji23][emoji23][emoji23]..

serkal ifanye kila liwezekanao kuokoa ama kupunguza madhara ya mabadiriko haya, iwe ni kupitia spiritual activities , ama environmenmental activities za kupunguza kasi ya mabadiriko,

spiritual activities zihusishe makuhani wa imani zote, yaan imani za jadi na imani za kigeni yaani dini za kuja ukristo&uislam

lipigwe zindiko moja la heshima na makafara ya wanyama uku wakialikwa waganga mashuhuri na wasoma nyota wote waje watutabilie why this,

pia yapigwe maombi ya nguvu wakialikwa wakina lusekelo mzee wa upako, gwajiboy, mwakasege, mwamposa, na wale wote waliojipa majina makubwa makubwa,

nazan kwa kufanya hiv tutakuwa tumethubutu kuyaokoa mazingira yetu AU NATANIA NDUGU ZANGU?(in magu's voice)
Ushauri wa hovyo kuwahi kutokea
 
Kupanda miti ni njia mojawpo lakini njia nyingine na muhimu sana ni kupunguza hewa ya ukaa inayozalishwa na viwanda hasa kwenye nchi zilizoendelea kama Marekani, Ulaya, China, Japan n.k. Tatizo la hewa ya ukaa ndio linachangia kwa asilimia kubwa kutokea kwa mabadiliko ya tabia nchi hapa duniani. Bila haya mataifa tajiri yenye viwanda vikubwa na vingi kuafuta njia ya kupunguza hewa ya ukaa inayozalishwa na viwanda vyao hata kama tutapanda miti huku afrika hiyo miti na yenyewe itafikia mahali itanyauka kwa sababu ya mabadiliko ya tabia nchi.
Ulishawahi kusikia kutitu kinachoitwa "mapafu ya dunia?"
Misitu mikubwa kama msitu wa congo na Amazon ndo mapafu yenyewe. Sasa angalia ni kwa jinsi gani hii misitu inavyoharibiwa.. tena makusudi!
Viwanda havikuanza kujengwa leo wala jana, hewa ya ukaa ilikuwepo kitambo ila ilipunguzwa madhara yake na misitu.
 
Tutashindwa kurithisha dunia kwa vizazi vijavyo kisa uchumi sijui viwanda. We are so Dumb. Wazungu wanajaribu kurekebisha makosa yao kwa kuzingatia kufuta operations zisizoharibu dunia huku wanaiwazia Mars maana wanajua walichofanya. Africa sisi tunataka tuwe kama wazungu wa zamani walioharibu dunia kwa kuwa na maviwanda yetu na mbwawa yetu ya umeme.
 
Back
Top Bottom