Ongezeko la joto nchini, picha ya Mlima Kilimanjaro leo

Ongezeko la joto nchini, picha ya Mlima Kilimanjaro leo

Wachina wamemaliza miti huko Congo
Umoja wa Africa umekaa kimya
Tatizo sio letu tu bali linaanzia mbali na waafrika kwa njaa zetu hata tukiambiwa vichwa vya watoto ni dili najua wataleta tu itakuwa Magogo?
Sasa umoja wa Africa utasema nini akati Congo ndo wamewapa? Huwez kuingilia sovereignty ya nchi kwenye mambo ya kiuchumi..

Wa kulaumiwa ni serikali ya Congo..

Ni kama vile Tanzania inavojenga bwawa la umeme kule selous.. Ikitokea shida ya kimazingira, utaanzaje kuilaumu Umoja wa Africa?.
 
Ni kipindi gani ni kizuri kwenda huko? Hilo wazo la kunibeba nimelipenda.

Wewe tujadili kwanza jambo la muhimu kwenda huko kabla barafu haijaisha, kukubeba si popote tu PP? Lakini si unajua manyanyaso yangu?

Kule watu wanaenda wakati wote ila msimu wa mvua tope na utelezi huku chini vinasumbua kidogo.

Hii tuombe barafu isiishe mapema tuijadili mwakani, mwaka huu najua hautoweza. Offer ya kukusindikiza na kukubeba ukichoka iko palepale.

Huko usihangaike kubeba kitabu (hautasoma) na mambo ya kuoga kila siku usahau kabisa.
 
Asante mkuu kwa ushaihidi huu.

Nchi zilizoendela duniani wanatishia wenzao kuwa duniani inaelekea kuangamia kutokana na mabadiliko ya tabia nchi, kumbe wanataka penyeza ajenda zao
Ila mwaka kulikuw na bard sana na hiyo pcha nlipga mimi june2021View attachment 2013199
 
Npo kilimanjaro..kijijini kwetu ambapo bili ya maji kwa mwaka ni shilingi 1000, kijiji kinaitwa nkweshoo. Lkn hali kwa ss ni mbaya kwani maji yamekuwa kidogo sana..na nikiangalia mlima kilimanjaro hakuna ile kitu nyeupe..na kijiji chetu ndio cha mwisho baada ta hapo ni msitu alafu mlima....sasa kama mimi napata taabu ya maji je huko dar..na kwengineko hali ipo aje..? Wadau nini kinaendelea kwenye hili zulia la tz?
 
Sasa umoja wa Africa utasema nini akati Congo ndo wamewapa? Huwez kuingilia sovereignty ya nchi kwenye mambo ya kiuchumi..

Wa kulaumiwa ni serikali ya Congo..

Ni kama vile Tanzania inavojenga bwawa la umeme kule selous.. Ikitokea shida ya kimazingira, utaanzaje kuilaumu Umoja wa Africa?.

Huwa wanashauriana mkuu hata umoja wa Ulaya na nchi nyingine zilizoungana huwa ushauri na makubaliano huwa yapo

Kumbuka congo Ina mito yenye urefu wa 3,690,750 km2 ambapo yanafika baadhi Congo Brazzaville,Cameroon, CAR,Burundi,Tanzania,Zambia na Angola
Sasa mkuu kama uharibifu wao utazidi huoni wengi tutaathirika?
Huoni kuwa dunia yote hii tuna share vitu?
 
Kupanda miti ni njia mojawpo lakini njia nyingine na muhimu sana ni kupunguza hewa ya ukaa inayozalishwa na viwanda hasa kwenye nchi zilizoendelea kama Marekani, Ulaya, China, Japan n.k. Tatizo la hewa ya ukaa ndio linachangia kwa asilimia kubwa kutokea kwa mabadiliko ya tabia nchi hapa duniani. Bila haya mataifa tajiri yenye viwanda vikubwa na vingi kuafuta njia ya kupunguza hewa ya ukaa inayozalishwa na viwanda vyao hata kama tutapanda miti huku afrika hiyo miti na yenyewe itafikia mahali itanyauka kwa sababu ya mabadiliko ya tabia nchi.

Kweli kabisa ila nao wanajitahidi sana na tunashuhudia hapa kwa wazungu mengi tu
Mpaka aina ya Petrol wanatuambia magari kuanzia 2011 kuendelea yatumie haya na mengine tofauti na pia wanatoa hela nzuri (serikali) kama utabadilisha gari la zamani kwa gari jipya linalokidhi viwango

Wanajitahidi sana kubadili hali ya hewa iwe Safi kadri siku zinavyoenda
 
Wachina wamemaliza miti huko Congo
Umoja wa Africa umekaa kimya
Tatizo sio letu tu bali linaanzia mbali na waafrika kwa njaa zetu hata tukiambiwa vichwa vya watoto ni dili najua wataleta tu itakuwa Magogo?
Umesema sahihi.

Suala la mlima klm ni matokeo ya matendo yetu ya miaka 20 iliopita.

Tukitaka kurekebisha hali hii itachukua miaka 20 ijayo kurudi tena hapa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]KWISHA HABARI YETU....

unaweza kucheka kama mazur lkn ndio hivyo tena the roof of Afrika inapoteketea kwa kupoteza sifa zake, na heshima yake,
madhara tutayapata sisi wamilik wa hizi rasilimal kwa kupungua kwa watalii,

maana sifa mojawapo ya huo mlima ilikuwa kuwa na barafu ktk nchi za joto, na mlima pekee afrika, hivyo basi wagen wakishajua baazi ya sifa za huu mlima zmepotea, nani atapoteza muda wake kuja kupanda ilo limwinuko[emoji23][emoji23][emoji23]..

serkal ifanye kila liwezekanao kuokoa ama kupunguza madhara ya mabadiriko haya, iwe ni kupitia spiritual activities , ama environmenmental activities za kupunguza kasi ya mabadiriko,

spiritual activities zihusishe makuhani wa imani zote, yaan imani za jadi na imani za kigeni yaani dini za kuja ukristo&uislam

lipigwe zindiko moja la heshima na makafara ya wanyama uku wakialikwa waganga mashuhuri na wasoma nyota wote waje watutabilie why this,

pia yapigwe maombi ya nguvu wakialikwa wakina lusekelo mzee wa upako, gwajiboy, mwakasege, mwamposa, na wale wote waliojipa majina makubwa makubwa,

nazan kwa kufanya hiv tutakuwa tumethubutu kuyaokoa mazingira yetu AU NATANIA NDUGU ZANGU?(in magu's voice)
Aisee watz tuna kazi sana. Hii ndio solution umeamua ku propose??
 
Imebaki 7% ya saruji , December hii wachaggaa Tuongee ajend ya barafu mliman kwetu
Hatuna cha kuongea, hayo mabadikiko kwa kiasi kikubwa hayajachangiwa na waafrika wala bara la Afrika.

Neno ni moja tu, hao wazungu na wa Asia walete hela au tunatulia tuteseke wote squarely maana wao hawana pa kutokea na ngozi zao hizo.
 
Huwa wanashauriana mkuu hata umoja wa Ulaya na nchi nyingine zilizoungana huwa ushauri na makubaliano huwa yapo

Kumbuka congo Ina mito yenye urefu wa 3,690,750 km2 ambapo yanafika baadhi Congo Brazzaville,Cameroon, CAR,Burundi,Tanzania,Zambia na Angola
Sasa mkuu kama uharibifu wao utazidi huoni wengi tutaathirika?
Huoni kuwa dunia yote hii tuna share vitu?

Mito yenye 3.6million km² ni urefu gani huo mkuu?
 
[emoji23][emoji23][emoji23]KWISHA HABARI YETU....

unaweza kucheka kama mazur lkn ndio hivyo tena the roof of Afrika inapoteketea kwa kupoteza sifa zake, na heshima yake,
madhara tutayapata sisi wamilik wa hizi rasilimal kwa kupungua kwa watalii,

maana sifa mojawapo ya huo mlima ilikuwa kuwa na barafu ktk nchi za joto, na mlima pekee afrika, hivyo basi wagen wakishajua baazi ya sifa za huu mlima zmepotea, nani atapoteza muda wake kuja kupanda ilo limwinuko[emoji23][emoji23][emoji23]..

serkal ifanye kila liwezekanao kuokoa ama kupunguza madhara ya mabadiriko haya, iwe ni kupitia spiritual activities , ama environmenmental activities za kupunguza kasi ya mabadiriko,

spiritual activities zihusishe makuhani wa imani zote, yaan imani za jadi na imani za kigeni yaani dini za kuja ukristo&uislam

lipigwe zindiko moja la heshima na makafara ya wanyama uku wakialikwa waganga mashuhuri na wasoma nyota wote waje watutabilie why this,

pia yapigwe maombi ya nguvu wakialikwa wakina lusekelo mzee wa upako, gwajiboy, mwakasege, mwamposa, na wale wote waliojipa majina makubwa makubwa,

nazan kwa kufanya hiv tutakuwa tumethubutu kuyaokoa mazingira yetu AU NATANIA NDUGU ZANGU?(in magu's voice)
We nae kichaa sasa.

Maombi yanaletaje barafu?
 
Back
Top Bottom