Ongezeko la joto nchini, picha ya Mlima Kilimanjaro leo

Ongezeko la joto nchini, picha ya Mlima Kilimanjaro leo

Huwa nashangaa inakuwaje serikali kama tanzania inakumbatia parasites kama hawa.?

Tamaa za hela mkuu tena unakuta vigogo hao wanaotoa matamko na kuhimizi miti ipandwe na asiepanda faini
Hao ndio wanaokula rushwa za mchina na kuwaruhusu wasafirishe mpaka kwao

Madili ya wakubwa na wakijua madhara yake wao wanafikiri air condition itawafaa wote
Hawa jamaa wana laana kubwa sana kwa tamaa zao
 
Mito yenye 3.6million km² ni urefu gani huo mkuu?

Kumbuka nchi yao ni kubwa sana na hiyo mito inatembea nchi 8 sio mchezo ni maajabu sana tuna Neema zote hizo
Ukiangalia google earth utaiona mito hiyo halafu soma na River Congo utapata kitu
 
Kumbuka nchi yao ni kubwa sana na hiyo mito inatembea nchi 8 sio mchezo ni maajabu sana tuna Neema zote hizo
Ukiangalia google earth utaiona mito hiyo halafu soma na River Congo utapata kitu
Sawa, lakini sio 3.6mill sq.km, huo sio urefu bali ni eneo. Urefu wa 3.6mill km nitakubali mzee...
 
Umesema sahihi.

Suala la mlima klm ni matokeo ya matendo yetu ya miaka 20 iliopita.

Tukitaka kurekebisha hali hii itachukua miaka 20 ijayo kurudi tena hapa.

Tunahitaji zaidi ya miaka 20, huenda ikawa 40 kufikia kiwango kinachotakiwa.

Mimi sio mtaalam ila naomba kufahamishwa. Ikiwa Ozone Layer imeharibika, Je tukibadili tabia na shughuli zetu kupunguza uzalishaji wa Carbon, na yenyewe inakua au kuboreka kujitengeneza kurudi kuwa kwenye hali yake ya awali?

Yaani ile damage yake ni reversible au permanent?

Ahsante
 
Juzi niliona watu wamepanda Hadi kileleni lakini picha zinaonekana Ni kukavu sanaaa Kama vile jangwani..nkapata maswali lakini Leo nimepata jibu.....Kuna tafiti zilitolewa majuzi na mashirka ya kimataifa kuwa barafu haitakuwepo kufikia mwaka..lakini watu wengi walibeza na kuponda..

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
We nae kichaa sasa.

Maombi yanaletaje barafu?
kichaa ni wew, kamuulize babu yako kipindi ukame na majanga yalipokuwa yakitokea tulikuwa tunafanya vip mpka mambo yanakaa sawa, kizaz cha watu kama nyie ni hovyo sana, mnazarau mambo ya kiroho, ndiomana hata maisha yako nina uwakika ni hovyo vile vile, ukibisha weka ushahid hapa kwenye akaunt yako kuna shingap, kama sio madeni basi hata account huna uwezo wa kuiendesha....[emoji23]
 
shida ama akil zako ndzo zinashida ys kuelewa?? hiv umesoma vzr lkn ukaelewa? ama unahitaji msaada maalum
Sawa maana halmashauri ya kichwa chako ndio imekuelekeza kwamba maombi toka kwa kina mwamposa ndio solution ya majanga hayo. Mimi ni nani hata nikubishie
 
Back
Top Bottom