Ongezeko la joto nchini, picha ya Mlima Kilimanjaro leo

Wachaga wenye madipufriza changieni barafu kuuokoa utalii mlima Kilimanjaro.
Mji wa Moshi ndio unaongoza kwa kiwango cha joto nchini.
 
Miaka nenda rudi hakuna mambo ya tupande miti viongozi wahamasishe upandaji miti mapori mengi tunayo wameweka bikoni za jeshi waendelee kuweka bikoni ndio zitasaidia kubadili kuwa na mazingira mazuri...maeneo mengi tunayo tunayachezea tuu..
 
Ushauri wa hovyo kuwahi kutokea
 
Ulishawahi kusikia kutitu kinachoitwa "mapafu ya dunia?"
Misitu mikubwa kama msitu wa congo na Amazon ndo mapafu yenyewe. Sasa angalia ni kwa jinsi gani hii misitu inavyoharibiwa.. tena makusudi!
Viwanda havikuanza kujengwa leo wala jana, hewa ya ukaa ilikuwepo kitambo ila ilipunguzwa madhara yake na misitu.
 
Tutashindwa kurithisha dunia kwa vizazi vijavyo kisa uchumi sijui viwanda. We are so Dumb. Wazungu wanajaribu kurekebisha makosa yao kwa kuzingatia kufuta operations zisizoharibu dunia huku wanaiwazia Mars maana wanajua walichofanya. Africa sisi tunataka tuwe kama wazungu wa zamani walioharibu dunia kwa kuwa na maviwanda yetu na mbwawa yetu ya umeme.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…