Tetesi: Ongezeko la masharti ukitaka kufungua akaunti ya Benki lazima kuongezea kiapo cha mahakama licha ya kuwa na vitambulisho husika

Hii kitu inafikirisha sana, kwa ivo mtu atoe maelekezo ya wapi ametoa milioni 40.

Money laundering ni shida lakin isitufanye kubana vipato vya watu. Teknolojia imekuwa kwa kasi sana. Online businesses zinalipa kuliko ata ajira. Kwa ivo nitakuwa naogopa kutengeneza pesa kwa sababu ya serikali tu.

Kwanza 40m sio kitu(ni around $19,000)...tukianza kutoa limits kama hizi tutakuwa nchi maskini sana.

UJAMAA NI UFALA. UJAMAA UNATENGENEZA WANYONGE NA MASKINI WENGI.
 
Uganda? Middle class economy? Haya mkuu.
 
HAYA NILIYAONA, NDIO MAANA HELA ZANGU TANGU MWAKA JANA NALAZA CHINI YA GODORO, NA NINATEMBEA NA LAKI 2 KWENYE SOKSI, KWAHIYO HATA UKINIKABA, UTAAMBULIA 400 YA NAULI KWENYE SURUALI...

hata sisi wajanja.
 
Wameshakujua man
 
HIVI UNADHANI YULE MAMA MZUNGU KATOKA NA KURUDI KWAO ULAYA BURE? KAONA HAMNA ISHU ENI EMUU BII. MAGU NDO ETI DIRECTOR.
 
alafu baadae analalamika watu wanaficha hela kwenye magodoro.
 
Kwa hiyo ukichoka kunyanyaswa, ukitukana watu, manyanyaso yanapungua au?.
P

Nani kakutukana ? Ukiambiwa kichwa Kama embe ndio tusi ???

Acheni kutafuta sympathy kwa ujinga ujinga wenu.

Narudia tena wewe si tu ni embe Bali ni Una kichwa KAMA EMBE BOLIBO BICHI.

Sasa nakusubiri uje na Huruma zako za Kingazinja nikufumue kisawasawa, Tabulasa wewe.
 
Kumbe una hela hivyooo! Tutafutane basi, si unakumbuka uliweka uzi kuwa unatafuta mwanamke hapa Mwanza!! Niko tayari njoo tuyajenge mwaya!!!
Namba yako ni ninay, ni vile mambo ni mengi hapa ofisini kwasasa...ila lazima nikucheku TUU YAA JEEEEEE NGE.
 
Tatizo la watanzania tunaongea lugha tofauti,, siku tukikubali kuongea lugha moja haya matatizo yatakwisha.
 
Namba yako ni ninay, ni vile mambo ni mengi hapa ofisini kwasasa...ila lazima nikucheku TUU YAA JEEEEEE NGE.
Niko tayari kabisa. Nimependa sana ulivyosema kuwa una hela hadi zingine unaweka kwenye soksi. Wengine hayo waliyafanya enzi za mzee Mwinyi. ngoja nije PM walahi (walahi kwa sauti ya ISIS) hahaahahahahah
 
ISIS ndo bwana wako?

si pe ndi ku chu ku a m ke wa m tu.
 
Tatizo la watanzania tunaongea lugha tofauti,, siku tukikubali kuongea lugha moja haya matatizo yatakwisha.
TUSHAANZA KUONGE KISUKUMA. huoni hata uzaramuni wanabonga kisukuma? anza kujifunza, sio kigumu...ni kama kiswahili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…