Ongezeko la mashoga ni laana kwa taifa au athari ya utandawazi?

Mkuu unasema!!?? Hebu jirekodi halafu usikilize hiyo audio
 
We ni shoga kabisa utakuwa unaliwa kiboga we mpuuzi yaani jamaa kasema jambo lenye impact we unasema awaache ?
 
1 WAKORINTHO 6:9

"Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti"


[emoji115]HAYO NI MANENO YA MUNGU ALIYETUUMBA SI YANGU
 
Kaa utambue kwamba unaweza usiwe shoga ila ukawa na tabia ya kumfira mkeo au mpenzi wako,tambua maandiko matakatifu kutoka kwenye kitabu cha WAKORINTHO kinasema hivi
"Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti"

TAFAKARI NJIA ZAKO ILI UHURITHI UZIMA WA MILELE
 
Mawa
mawazo yako mazuri ila tutawajuaje?wale mashoga wanadalili zao .
 
USHOGA sio laana acording to me,
Pengine what i know is ushoga unazaliwa sehemu nyingi sana,
1.SHULE za jinsia moja,
2.GEREZANI
na pia
3.MITAANI hasa kwa wanaolala wengi wanaume tupu

Hizi ni bahadhi ya sehemu ambapo USHOGA na USAGAJI huwa unazaliwa au unaanzia ingawa wapo watu wanaozaliwa wakiwa na ELEMENTS hizo.
M.MUNGU hajawahi kumlaani mtu wala taifa na kulifanya kuwa WASAGAJI na MASHOGA ,ila tu amesema OLE WAO WAFIRAJI.
Hii ni hali tu ya kuashiria mwisho wa dunia kwa mahana yote haya yalitabirima ili kutujuza kuwa tunaelekea ukingoni.
MUNGU atusaidie sana
 
Umenikumbusha mashoga waliotesa enzi hizo sasa marehemu
1. Anti Muddy wa Magomeni
2. Anti Umar
3. Anti wa kichagga maarufu kwenye kitchen party
 
Wanapatikana wapi hao mashoga? Mbona mimi sijawahi waona?
Au kuna vitu wanavaa kujitambulisha?
Hebu nielezeni walipo jioni nikawatonye polisi ili tukomeshe hii tabia chafu
 

Wafiraji na walawiti tofauti Yao Ni ipi!
 
Ni laana kali sana. Cha ajabu kuna pungaz wengine wapo humu na wamepata watetezi.
 
Wengine wanasema bording schools zinachangia,wengine malezi ya wazazi lakini tufanye nini kuzuia?hilo ndio lamsingi
Hizo boarding schools zilikuwepo tangu utawala wa Mwl Nyerere. Mbona wanafunzi wa wakati huo ambao kwa sasa wengine ni vigogo serikalini hawakuwa wanaswekana mipini ?
 
Dhambi yoyote inakimbiwa kwa mtu kuwa na hofu ya Mungu moyoni mwake.Asipoamua kwa hiari yake kuwa na hofu ya Mungu muumba wake ni wazi kwamba HAKUNA ATAKACHOKIHOFIA.
 
Ukiona hivyo ujue hiyo ni miongoni mwa ajenda muhimu ya dhehebu hilo vinginevyo jambo hilo lingekemewa na kupingwa vikali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…