StudentTeacher
JF-Expert Member
- Jan 30, 2019
- 4,153
- 4,301
Wengine wanasema bording schools zinachangia,wengine malezi ya wazazi lakini tufanye nini kuzuia?hilo ndio lamsingi
Moja ya sababu ni posts kama hizi kwenye mitandao ya kijamii. Wakati mwingine tunaupa promo ushoga bila kujua.Kumekuwa na kukithiri kwa tatizo la ushoga ktk jamii yetu licha ya viongozi wa dini na serikali kufanya jitihada za kukemea matendo hayo,lakini kila uchwao ktk mitandao na ktk jamii vijana mashoga(sio ridhki )wamekuwa wakiongezeka tena kwa kujitangaza na kujivunia ushoga wao.Nafikiri wakati ufike kama watanzania jamii na serikali tuwekeze nguvu ktk kutokomeza janga hili kama tulivyofanikiwa ktk mifuko ya Rambo tuanzishe kampeni tokemeza ushoga japo changamoto imekuwa kubwa sababu kuna baadhi ya viongozi wa dini na serikali nawao wanahusika ktk jamii hizi lakini tukitaka kumuua nyani tusimtazame usoni wakati umefika tukemee matendo haya machafu ambayo ni laana inayopewa sapoti na kugeuzwa kuwa fursa hasa mitandaoni.Kila mmoja ajiulize mwanao angekuwa hivyo ungejiskiaje?huo ni lana ya taifa na ni athari ya utandawazi#kemea ushoga popote ulipo kanisa ni,msikitini,shuleni, serikalini,mitandaoni.
Hilo la kuzaliwa na hizo elements chafu huwa nafsi yangu inagoma kukubaliana nalo kabisaaaaa...nijuavyo Mungu hajipingi ndugu.Hizo ni jitihada za makusudi kabisa za mawakala wa yule mwovu za kuforce kuhalalisha "haramu".Shetani anafanya kampeniUSHOGA sio laana acording to me,
Pengine what i know is ushoga unazaliwa sehemu nyingi sana,
1.SHULE za jinsia moja,
2.GEREZANI
na pia
3.MITAANI hasa kwa wanaolala wengi wanaume tupu
Hizi ni bahadhi ya sehemu ambapo USHOGA na USAGAJI huwa unazaliwa au unaanzia ingawa wapo watu wanaozaliwa wakiwa na ELEMENTS hizo.
M.MUNGU hajawahi kumlaani mtu wala taifa na kulifanya kuwa WASAGAJI na MASHOGA ,ila tu amesema OLE WAO WAFIRAJI.
Hii ni hali tu ya kuashiria mwisho wa dunia kwa mahana yote haya yalitabirima ili kutujuza kuwa tunaelekea ukingoni.
MUNGU atusaidie sana
Kwani kwa Tz Jiji la Maraha si Dar es Salaam...?Kuna mkuu mmoja wa jiji la maraha nahisi ni shoga
Dume linafanyiwa mambo ya ovyo , serikali ingeanza na mabasha , haiwezekani unasimamishaje mguu wa kuku kwa mwanaume mwenzako !! inashangaza sanaTufanye mambo ya msingi mashoga walikuwepo tangu enzi za sodoma na gomora, ukitaka kuwatokomeza utaishia kuleta madhara ambayo kimsingi yanaweza pia yakaliathiri taifa hasa ki mahusiano na mataifa makubwa ya nje.
Huwezi kumbadilisha shoga akawa mwanaume rijali sasa kwanini kujisumbua achana nao fanya yako.
Ni dhehebu gani linaunga mkono ushoga?Kwakweli hata mimi nashangaa sana ..cha ajabu kuna baadhi ya madhehebu ya dini yanaunga mkono swala hili wakati limewekwa wazi kabisa katika vitabu vya dini.sasa sielewi inamaana wanapingana na biblical theory of creation ambayo inaeleza wazi kuhusu dhumuni la uumbaji
Umenisoma vzr mdadaNi dhehebu gani linaunga mkono ushoga?
Wazazi kutowalea vizuri watoto wao, kumbuka hiyo tabia haianzi ghaflaKumekuwa na kukithiri kwa tatizo la ushoga ktk jamii yetu licha ya viongozi wa dini na serikali kufanya jitihada za kukemea matendo hayo,lakini kila uchwao ktk mitandao na ktk jamii vijana mashoga(sio ridhki )wamekuwa wakiongezeka tena kwa kujitangaza na kujivunia ushoga wao.Nafikiri wakati ufike kama watanzania jamii na serikali tuwekeze nguvu ktk kutokomeza janga hili kama tulivyofanikiwa ktk mifuko ya Rambo tuanzishe kampeni tokemeza ushoga japo changamoto imekuwa kubwa sababu kuna baadhi ya viongozi wa dini na serikali nawao wanahusika ktk jamii hizi lakini tukitaka kumuua nyani tusimtazame usoni wakati umefika tukemee matendo haya machafu ambayo ni laana inayopewa sapoti na kugeuzwa kuwa fursa hasa mitandaoni.Kila mmoja ajiulize mwanao angekuwa hivyo ungejiskiaje?huo ni lana ya taifa na ni athari ya utandawazi#kemea ushoga popote ulipo kanisa ni,msikitini,shuleni, serikalini,mitandaoni.
Umesema baadhi ya madhehebu wanaunga mkono suala la ushogaUmenisoma vzr mdada
Ndio.nimekupa dondoo chache kwa kutumia mfano wa anglicanUmesema baadhi ya madhehebu wanaunga mkono suala la ushoga
Niliwah kufundisha boarding s ya wasichana yaan kesi za kusagana madogo zilikuwa nyingiWengine wanasema bording schools zinachangia,wengine malezi ya wazazi lakini tufanye nini kuzuia?hilo ndio lamsingi
Nimekupata mkuuNdio.nimekupa dondoo chache kwa kutumia mfano wa anglican
...It is unfair to say that same-sex marriage is “forbidden by the church [of England] despite being sanctioned by parliament” (Are you there, God? It’s me, Justin , Weekend, 19 May). In the Marriage (Same Sex Couples) Act 2013, culture secretary Maria Miller imposed a “quadruple lock” on the Church of England, banning it from offering same-sex marriage without fresh primary legislation. Many clergy would like to offer weddings to all, but their hands are tied by this legislation. The British Social Attitudes survey shows that a large majority of Anglicans support same-sex marriage. The Scottish Episcopal Church, part of the Anglican Communion but not established and not hampered by this act, has been performing same-sex marriages since 2017....
USHOGA sio laana acording to me,
Pengine what i know is ushoga unazaliwa sehemu nyingi sana,
1.SHULE za jinsia moja,
2.GEREZANI
na pia
3.MITAANI hasa kwa wanaolala wengi wanaume tupu
Hizi ni bahadhi ya sehemu ambapo USHOGA na USAGAJI huwa unazaliwa au unaanzia ingawa wapo watu wanaozaliwa wakiwa na ELEMENTS hizo.
M.MUNGU hajawahi kumlaani mtu wala taifa na kulifanya kuwa WASAGAJI na MASHOGA ,ila tu amesema OLE WAO WAFIRAJI.
Hii ni hali tu ya kuashiria mwisho wa dunia kwa mahana yote haya yalitabirima ili kutujuza kuwa tunaelekea ukingoni.
MUNGU atusaidie sana