Ongezeko la mashoga ni laana kwa taifa au athari ya utandawazi?

Mbona hamsemi kabisa kuhusu ukakamavu, zamani mtoto wa kiume anaonekana kwa ukakamavu, siku hizi wote laini. Mtoto wa zamani hata akiwa wa kike tako linakuwa limekaza kutokana na kazi na kutembea. Manake hata mtu akipelekewa moto lazima KY itafutwe na vilio balaa jiulizeni siku hizi brake kende. Shule zilikuwa mbali watu wanatembea sana, machine za kusaga mbali au kutwanga. Mpira viwanja mbali na kazi ngumu. Kupata pesa mpaka kazi ngumu siku hizi kuimba tu watu wanapiga hela na vyakula vyenu sasa lakini haitoshi kusema mtoto wa kiume ugongwe na ile ya kula tigo imefanya mmezoea sasa
 
Utandawazi kivipi? Wakati hata kwenye bible tunaambiwa Ushago ulikuwepo huko Sodoma.

Swala ni kwamba kwa sasa haya mambo yako wazi sana ila kuwepo ilikuwepo tu. Soma Historia za Ushoga hata kwa Wazungu

Walianza kwa hata kwa kuwaua mashoga enzi hizo za miaka ya 1920 na kuja juu kidogo
 
Mimi nahisi vyakula pia vinachangia
Mtu Chakula chake kikubwa ni chakisasa nadhani hata mjegejo atakao utoa utakua wakifedhuri tu nakuishia kua shoga
Sodoma na Gomola walikuwa wanakula vyakula gani? tuwe tunasoma na Historia pia na hata Historia za Wazunhu na life lao miaka ya nyuma sana
 
Ukisoma Historia hata Wazungu miaka ya nyuma walikuwa wananwaua Mashoga kabla ya kuanza kuwakubali. Shida hapo sijui ni mambo sasa ya Democrasia yazo. make Democrasia zina mambo sana
 
Mkuu ila amini usiamini ushoga ulikuwepo shida ya sasa ni wanapata Air time sana. kinacho wapaisha ni Air time wanazo pata ambapo huko nyuma hazikuwepo.

Hili swala nazani pia ingepigwa marufuku kwebye TV au Radio au Magazeti kuzungumzia ushoga make the more wanavyo zungumzia ndo the more wanavyo utangaza
Hizo boarding schools zilikuwepo tangu utawala wa Mwl Nyerere. Mbona wanafunzi wa wakati huo ambao kwa sasa wengine ni vigogo serikalini hawakuwa wanaswekana mipini ?
 
Pia ni kuwaaleza ushoga nini na kwa nini ni mbaysa sana. wajue kabisa kwamba ni kitu kibaya. usiwafiche make ukiwaficha watatafuta ukweli.

Wapewe elimu hasa na oia kufuatilia mfumo wa maisha yao
Tuwaunganishe watoto wetu na Mungu muumba wetu ili utashi wao wa kujua mema na mabaya uwe active muda wote.Wawe na nguvu na uwezo wa kukimbia maovu automatically.
 
Moja ya sababu ni posts kama hizi kwenye mitandao ya kijamii. Wakati mwingine tunaupa promo ushoga bila kujua.
Ndo nacho sema. Ushoga ulikuwepo hata enzi za Wakoloni hapa Tanzania sema hakukuwa na Promo kabisa kabisa

Now day promo zimezidi hizo promo ndo zinazo chochea haya mambo
 
Yesu akuwa mjinga alipo sema acha magugu na ngano vikue pamoja ..Ila dini za sikuizi hakuna akili wala hekima ni UNAFIKI MTUPU
 
Kwani ujui dini na wahumini wa sikuizi ni UNAFIKI wao watakuambia dhambi ni ushoga na ushoga ndiyo dhambi mm nawaita wapumbaavuu awawezi kufanikisha ufumbuzi wa tatizo lolote .ushoga ni tatizo la ulemavu linalo sababishwa na mambo mbalimbali ila tumkemee anaye wasababisha wenzake kuwa walemavu
 
Hayo siyo maneno ya Binadamu bali niya MUNGU aliyemuumba Binadamu ndo anasema hivi!

1 Wakorintho 9:6

"Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,"
 
Ni laana kali sana. Cha ajabu kuna pungaz wengine wapo humu na wamepata watetezi.
We noma sana NI LAANA KALI ??? utadhani unaushilika na mungu mwenyezi nyinyi ndiyo uwa mnajidai kumjua mungu kuliko anavyojijua yeye mwenyewe
 
Mimi nahisi vyakula pia vinachangia
Mtu Chakula chake kikubwa ni chakisasa nadhani hata mjegejo atakao utoa utakua wakifedhuri tu nakuishia kua shoga
Kwenye chakula wazungumzia wenye kupenda chips kama wanaume wa kinondoni
 
Wanaume wangapi wanaweza kuua simba Kwa mkuki mabomu ya gongoramboto tu wanaume walisahau wake na Watoto wao gay element
 
Inasikitisha sana...

Wengine wanazaliwa wazima, ila wanaanza kulawitiwa kidogo kidogo mpaka wanazoea.. inasikitisha sana...

Wengine wanazaliwa na hizo hormone imbalance... mwanaume kutamani kufanywa na wanaume wenzake... au kutamani kufanya wanaume wenzao... inasikitisha sana...


Cc: mahondaw
 
We noma sana NI LAANA KALI ??? utadhani unaushilika na mungu mwenyezi nyinyi ndiyo uwa mnajidai kumjua mungu kuliko anavyojijua yeye mwenyewe
Jifunze uandishi basi kabla hujaamua kujitetea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…