Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
- Thread starter
-
- #101
Wakati mwengine unashukuru tuimetosha sisi hatukupata iyo fursa tunakuwa desperate sana hadi akili zinakosa utulivu!!hahaha
Sasa demu ana pepo la ngono haridhiki jamaa maji yalimfika shingoni maana pumzi hana [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Sema mzee wa kilinge naye alichemsha, aliuza file kwa mwanamtandao wa jf vitu vikavuja. Utoto
Huu ndo ubuladifakini wenyewehapana asee papaa,,nije nimuweke status afu unitumie picha zake amaekalia mhogo jangombe wako!!BIG FUCKN NO
Kumbe muhuni huyu kijana...Mkuu ma file ya kila mtu humu hutunzwa usijisahaulishe, kuna demu mlizinguana humu akawa anakushambulia na wenzake, japo ulimuonya sana alizidi kutema nyongo...ukamalizia kwa kutuma mipicha yake mkalimwa ban naye akabadili id mazima.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]stori ilikuwa ni kuuziwa mbuzi kwenye gunia ukifika home unakuta ni nyauSasa demu ana pepo la ngono haridhiki jamaa maji yalimfika shingoni maana pumzi hana [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Nimeisahau piaId yake mpya siijui
Nimekumbuka kile kipini daah mrembo yule
niko na grupu moja la watu mashuhuri africa mashariki na kati.Huu ndo ubuladifakini wenyewe
Mambo[emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Haahaahaa umejibu kiunyonge mkuu
Lile file litakuwa limeuzwa na wadau wengine maana yule manzi alikuwa anajuana na wengi. Baadae alijaribu kurudi ila akapotea tena najikuta napenda awepo MMU achangamshe gengeSema mzee wa kilinge naye alichemsha, aliuza file kwa mwanamtandao wa jf vitu vikavuja. Utoto
cc: Baraza la Sanaa Tanzania na Wasanii wote wa kibongoPicha inaanziaga hapa unakuta ndani ya Mahusiano hayo Mwanamke mmoja kutembea na Wanaume wengii ndani ya Huohuo mtandaojamii.
Au mwanaume mmoja kutembea na wanawake weeengi humohumo ndani ...
Hii kitu Athari yake huja hasa baada ya Kuachana na mtu yule au yule au huyu nambaya zaidi ukute YULE MTU NI MPUMBAVU,HANA AKILI KICHWANI....Utafedheheshwa sana, Utaumizwa sana, utalia sanaaa n.k !!.
Kwa Bahati mbaya Wahanga wa Mapenzi haya ya Mitandaoni huwa ni Wanawake !!! Ndio wanawake !!.
Inawezekana Umewah kua Mtendaji au Mtendwa wa mambo haya, au tu nishahidi kupitia kinachoendelea mitandaoni, Ukiingia kule Twita, aiseee watu wanaabishwaaa, wanafedheheshwa sanaaaaa .
Chanzo cha Haya yote nini?
[emoji117]Demu ameachwa, anaona atoke na jamaa mwengine ili amkomoe na zaidi anajiweka wazi aonekane kua amepata bwana... Anasahau kua Ex Boy wake ni Mpumbavu hana akili.
[emoji117]Jamaa ni Muhuni mtu wa madem na kuacha, sasa demu mmoja kaamua kumlipua ..... Ndio wakati mwingine hii inakujaga kuwakoa wengine ambao nao walikua kwa Foleni .
[emoji117]na Kwakua kila mmoja anamapicha ya utupu ya mwenzake, basi hapo ndio Radhi humwaga.( Zingatia). Hapa siwalaumu wanawake sana, Ni sababu tu wanawake wakishampenda mtu, hugeuka kua Vipofu nakufanya vile wanavyoagizwa, nasio kwamba Sijui Hajiheshim wala nn. Noooo ni sababu amekuamin.
Asilimia kubwa ya watu wa aina hii ya mahusiano, hukutana na kulana kimasihara tu, sijui km huwa kuna matumizi ya kondomu au kupima afya n.k ( wanajua wao )...
Sio kila kitu unachokifanya mitandaoni hasa maisha yako ya mahusiano lazima ukitafutie Attention kwa watu , et uwaonyeshe watu umepata Bwana fulani, umeachana na Fulani umepata Fulani, wacha watu wajue .
Kumbuka kuna watu wana mafaili yako ,wanakungoja uharibu tu .
[emoji117]Sema na wanaume tuache Upumbavu, ndio nasema niupumbavu kwa sababu, Unakuta mtu umemtongoza mwanamke kakukubalia, baada ya kwenda naye siku kadhaa, unamtema, unampotezea kabisaa, unamgeuza adui,, hiii kitu imefanya wanawake wengi wawe na mateso ya kihisia , Akikuhofia utakuja kumuharibiaa, basi Mdada wawatu inamlazimu kuishi miyon akiugulia.
#Self Respect ...ndio Ufunguo!.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji16]Hebu njoo matakko bar hapa nimekaa kaunta
Yes ndio inabidi kutokujali waja na kuwapuuzia tu.lakini mara nyingi consequences za jambo lolote ni juu yako wewe mwenyewe
Kuna watu hujifyatua akili Sana aisee wengine hutuma Hadi video kabisaHivi kuanza kumtumia mwanaume mapicha ya uchi akili iko sawa kweli?[emoji848]
Mi huwa nashangaa sana
Yani kusambazwa picha watu wakimbia I'd heeeh tumetofautiana SanaWahuni wamemla wakaanza kusambaza picha akabadili id
Kivuruge ushaamka[emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Haahaahaa umejibu kiunyonge mkuu
Aaaaaah nani kivuruge?Kivuruge ushaamka
We huwezi cariha?Yani kusambazwa picha watu wakimbia I'd heeeh tumetofautiana Sana
Eti ndo wanakoleza penzi[emoji848]Kuna watu hujifyatua akili Sana aisee wengine hutuma Hadi video kabisa
Kweli mapenzi yananguvu aisehSi umezama penzini dear[emoji848]