YE67NBE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 15,155
- 36,337
Wakuu za sasa hivi hapo,
Ni siku nyingine tena kutoka kwa bwana nikasema ngoja niwasabahi na kutoa baadhi ya mawazo niliyonayo.
Kuhusu msemo wa Tanzania masikini ni wengi, personally napingana na huu msemo kabisa. Maana huwezi sema masikini ni wengi wakati haya ma V8 yamejaa barabarani kama uchafu na sio plate number za serikali bali ni za watu binafsi.
Na hapo V8 moja ni approximately 500M net, hiyo ni moja na kuna watu wanaaigiza mpaka 5 huko inagonga 2.5B tena sio mmoja ni thousands of people. Hapo bado ma G-Wagon yanayonunuliwa pia.
Come on brother, Tanzania matajiri kibao, ukienda sehemu kama za Arusha huko ndani ndani zimo, ukijaa Dar zimo, tena sehemu za hovyo tu. Kama Mbagala huko ndichi ndichi kambi ya fisi zinapishana tu halafu mtu aseme Tanzania watu wengi ni masikini? No way, siamini kwa kweli!
Hiyo ni hoja/kauli ya kujifurahisha ili ujiliwaze kuwa idadi ya masikini ni wengi, ila hizo data hazipo practical kabisa.
#Nawasilisha#
😄