Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawaana akili zinazomtosha yeye tu, Yaani kisa kaona matajiri (wachache) wana ma vx ndio anasema watz wana hela. Wengi wetu jinsi ya kuumaliza mwezi ni ishu ama inapotokea dharula mfano ugonjwa ni ishu kupambana nayo. Atakuwa below 25 huyu
Yangu ndio naitoa nje kumekucha nianze kuzurura kutafuta chochote kitu kama mbwaSijui baiskeli yangu ipo nje?
Umesikika mkuu. Nadhani wewe ni kipanga wa miaka ileeee!!!!!Msiwadis, hao ndio wanaofundisha watoto wenu, hao ndio wataalam wa afya wanaowahudumia huko mahospitalini, hao ndio wanadeal na teknolojia hadi kukuwezesha wewe kuandika hapa wamejaa huko makampuni ya simu, tcra na viwandani, hao ndio mapilot wanaorusha ndege mnazotumia kwenda kuvinjari China na Dubai, hao ndio Mainjinia wanaojenga barabara, madaraja na maghorofa yenu huko mjini, hso ndio wanaohakiki ubora wa vyakula unavyokula huko viwandani n.k
Tunaishi kwa kutegemeana, heshimu nafasi ya kila mmoja.
Wapuuzi hao wanaokashifu waliosoma sana, au ndio hao sizitaki mbichi hizi.Msiwadis, hao ndio wanaofundisha watoto wenu, hao ndio wataalam wa afya wanaowahudumia huko mahospitalini, hao ndio wanadeal na teknolojia hadi kukuwezesha wewe kuandika hapa wamejaa huko makampuni ya simu, tcra na viwandani, hao ndio mapilot wanaorusha ndege mnazotumia kwenda kuvinjari China na Dubai, hao ndio Mainjinia wanaojenga barabara, madaraja na maghorofa yenu huko mjini, hso ndio wanaohakiki ubora wa vyakula unavyokula huko viwandani n.k
Tunaishi kwa kutegemeana, heshimu nafasi ya kila mmoja.
Anaupiga.mwingi Apewe Maua yake.Wapuuzi hao wanaokashifu waliosoma sana, au ndio hao sizitaki mbichi hizi.
Habari za Tajiri muulize masikiniMlata maada kwenye ukoo weny Kuna ma V8 mangapi au wewe unazo ngapi? Tuanzie hapo
Jipe moyoAny way kuhusu V8 Hao unaowaona wanayanunua sana ndio wale average mind waliokua wanapata marks ndogo ndogo darasani, a.k.a below 40[emoji28][emoji28]
Baba yako analoWakuu za sasa hivi hapo,
Ni siku nyingine tena kutoka kwa bwana nikasema ngoja niwasabahi na kutoa baadhi ya mawazo niliyonayo.
Kuhusu msemo wa Tanzania masikini ni wengi, personally napingana na huu msemo kabisa. Maana huwezi sema masikini ni wengi wakati haya ma V8 yamejaa barabarani kama uchafu na sio plate number za serikali bali ni za watu binafsi.
Na hapo V8 moja ni approximately 500M net, hiyo ni moja na kuna watu wanaaigiza mpaka 5 huko inagonga 2.5B tena sio mmoja ni thousands of people. Hapo bado ma G-Wagon yanayonunuliwa pia.
Come on brother, Tanzania matajiri kibao, ukienda sehemu kama za Arusha huko ndani ndani zimo, ukijaa Dar zimo, tena sehemu za hovyo tu. Kama Mbagala huko ndichi ndichi kambi ya fisi zinapishana tu halafu mtu aseme Tanzania watu wengi ni masikini? No way, siamini kwa kweli!
Hiyo ni hoja/kauli ya kujifurahisha ili ujiliwaze kuwa idadi ya masikini ni wengi, ila hizo data hazipo practical kabisa.
#Nawasilisha#
😄
View attachment 2611554View attachment 2611555View attachment 2611556
Hauna exposure,kama unafikiri kuona izo v8 kadhaa ndio kipimo cha utajiri basi unamatatizoWakuu za sasa hivi hapo,
Ni siku nyingine tena kutoka kwa bwana nikasema ngoja niwasabahi na kutoa baadhi ya mawazo niliyonayo.
Kuhusu msemo wa Tanzania masikini ni wengi, personally napingana na huu msemo kabisa. Maana huwezi sema masikini ni wengi wakati haya ma V8 yamejaa barabarani kama uchafu na sio plate number za serikali bali ni za watu binafsi.
Na hapo V8 moja ni approximately 500M net, hiyo ni moja na kuna watu wanaaigiza mpaka 5 huko inagonga 2.5B tena sio mmoja ni thousands of people. Hapo bado ma G-Wagon yanayonunuliwa pia.
Come on brother, Tanzania matajiri kibao, ukienda sehemu kama za Arusha huko ndani ndani zimo, ukijaa Dar zimo, tena sehemu za hovyo tu. Kama Mbagala huko ndichi ndichi kambi ya fisi zinapishana tu halafu mtu aseme Tanzania watu wengi ni masikini? No way, siamini kwa kweli!
Hiyo ni hoja/kauli ya kujifurahisha ili ujiliwaze kuwa idadi ya masikini ni wengi, ila hizo data hazipo practical kabisa.
#Nawasilisha#
[emoji1]
View attachment 2611554View attachment 2611555View attachment 2611556
Kwani tangu lini gari likawa utajiriWakuu za sasa hivi hapo,

sembe limerudi mzee baba!!Wakuu za sasa hivi hapo,

Very trueNi miongoni mwa wachache. Wengi wao ni academicians kwenye taasisi ya elimu za juu.
Sent using Jamii Forums mobile app