Ongezeko la V8 mtaani na bado watu wanaamini masikini ni wengi Tanzania?

ana akili zinazomtosha yeye tu, Yaani kisa kaona matajiri (wachache) wana ma vx ndio anasema watz wana hela. Wengi wetu jinsi ya kuumaliza mwezi ni ishu ama inapotokea dharula mfano ugonjwa ni ishu kupambana nayo. Atakuwa below 25 huyu
Sawa
 
Umesikika mkuu. Nadhani wewe ni kipanga wa miaka ileeee!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapuuzi hao wanaokashifu waliosoma sana, au ndio hao sizitaki mbichi hizi.
 
Aisee aisee aisee Kuna V8 namba E za kutosha aisee watu wanachuma wapi jamani!??!daa
 
Baba yako analo
 
Hauna exposure,kama unafikiri kuona izo v8 kadhaa ndio kipimo cha utajiri basi unamatatizo

Angalia nyumba za watanzania wa kawaida wengi zinafananaje...nyumba anayoishi mtu ndio inatoa tafsiri sahihi ya uchumi wake...

Watu bado wanaishi maisha duni sana kwa wastani...nyumba mbovu mbovu zimejaa apo Dar kila kona, magari mengi ni yale 2nd handed ya miaka 20 nyuma ndio yamejaa barabarani...

Uwepo wa v8 ama magari ya thamani mpya sio kitu cha ajabu kaani bado kuna wachache ambao wanauchumi imara katikati ya makabwela

Angalia daladala zinavyojaza watu watu hadi wanapumulia shift

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Kwan Kwani tangu lini gari likawa utajiri
 
sembe limerudi mzee baba!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…