Ongezeko la vijana wadogo walinzi, hii inaleta picha gani kwenye jamii?

Ongezeko la vijana wadogo walinzi, hii inaleta picha gani kwenye jamii?

Pain killer

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2017
Posts
14,361
Reaction score
21,680
Habari wakuu.

Nimejikuta natafakari sana, kwenye nchi hii tajiri kama wanavotuaminisha viongozi wetu na maendeleo ya technology lakini Sikh hizi kunaongezeko la vijana wadogo wanaofanya kazi ya ulinzi.

Wengi wao ni kuanzia miaka 22 wasichana na wavulana, wengine ni wahitimu Wa form four, six na chuo kikuu, aisee wamesambaa kila kona ,makampuni mbalimbali yamewaajiri, kama suma JKT ndio balaaa.

Hii kazi ilikuwa ikifanywa na watu wazima kidogo (wazee) kuanzia miaka 35 kwa miaka hiyo, na ni kazi ambayo ilikuwa inaonekana unafanya kama, umepambana kwenye mambo mengine yote umeshindwa, so unaamua kufanya hii kazi kama kunyoosha mikono juu maisha yamekuchapa.

Lakini kwa sasa hii kazi ni kama starting point ya maisha.

Hii nchi ni tajiri sana.

Uzi tayari
 
Afuu vijana walinzi hawa wa suma. JKT ni jeuri sana. Mmoja alinikatalia nisiingie hospital nimuage mama yangu alilazwa ili niweze kusafiri na ilikuwa lazima nisafiri niliongea nae kwa mapana sana akagoma .baada ya kuondoka siku mbili mbele mama angu alifariki.

Ww Dada mlinzi hapo hospital uliyefanya nisipate maneno ya mwisho ya mamangu sintokusahau.
 
Afuu vijana walinzi hawa wa suma. Jkt ni jeuri sana.mmoja alinikatalia nisiingie hospital nimuage mama yangu alilazwa ili niweze kusafiri na ilikuwa lazima nisafir niliongea nae kwa mapana sana akagoma .baada ya kuondoka siku mbili mbele mama angu alifariki .

Ww Dada mlinzi hapo hospital uliyefanya nisipate maneno ya mwisho ya mamangu sintokusahau .
Pole sana mkuu
 
Afuu vijana walinzi hawa wa suma. Jkt ni jeuri sana.mmoja alinikatalia nisiingie hospital nimuange mama yangu alilazwa ili niweze kusafiri na ikikuwa lazima nisafir niliongea nae kwa mapana sana akagoma .baada ya kuondoka siku mbili mbele mama angu alifariki .

Ww Dada mlinzi hapo hospital uliyefanya nisipate maneno ya mwisho ya mamangu sintokusahau .
Wana hasira kali sana, walijua wataandikishwa jeshini sasa wameishia kuwa korokoroni.
 
Habari wakuu .

Nimejikuta natafakari sana ,kwenye nchi hii tajiri kama wanavotuaminisha viongozi wetu na maendeleo ya technology lakin Sikh hizi kunaongezeko la vijana wadogo wanaofanya kazi ya ulinzi.

Wengi wao ni kuuanzia miaka 22 wasichana na wavulana ,wengine ni wahitimu Wa form four ,six na chuo kikuu,aisee wamesambaa kila kona ,makampuni mbalimbali yamewaajiri ,kama suma jkt ndio balaaa.

Hii kazi ilikuwa ikifanywa na watu wazima kidogo (wazee) kuanzia miaka 35 kwa miaka hiyo ,na ni kazi ambayo ilikuwa inaonekana unafanya kama ,umepambana kwenye mambo mengine yote umeshindwa ,so unaamua kufanya hii kazi kama kunyoosha mikono juu maisha yamekuchapa.

Lakini kwa sasa hii kazi ni kama starting point ya maisha.

Hii nchi ni tajiri sana.

Uzi tayari
Ukweli mchungu,this is the wake-up call,hata ambao wapo kwenye ajira kwa miaka 15!ukiwaambia waache hizo ajira kwa wengine,watakufa kwa kihoro,we fikilia mtu alikuwa waziri,RC,leo anaamua kuwa mchungaji Ili kusongesha maisha
 
Ni kweli mkuu kwa sasa vijana ni wengi.
Majuzi nimeona kazini kwangu kijana mpya kaingia bado "bwana mdogo" sana na pia anaonekana kasoma soma mana kingereza cha yes no hakimpigi chenga.

Labda "wasomi"wameamua kwenda huko
Hapana ni mfumo Wa ilan ya ccm kuwafanya watu kuishi kama mashetani.
 
Afuu vijana walinzi hawa wa suma. Jkt ni jeuri sana.mmoja alinikatalia nisiingie hospital nimuage mama yangu alilazwa ili niweze kusafiri na ilikuwa lazima nisafir niliongea nae kwa mapana sana akagoma .baada ya kuondoka siku mbili mbele mama angu alifariki .

Ww Dada mlinzi hapo hospital uliyefanya nisipate maneno ya mwisho ya mamangu sintokusahau .
Wew nae umamuachaje mamako yuko maututi unasafiri ayo maneno ya mwisho wew ndio ukuyataka usimsingizie mlinzi!!!!
 
Habari wakuu .

Nimejikuta natafakari sana ,kwenye nchi hii tajiri kama wanavotuaminisha viongozi wetu na maendeleo ya technology lakin Sikh hizi kunaongezeko la vijana wadogo wanaofanya kazi ya ulinzi.

Wengi wao ni kuuanzia miaka 22 wasichana na wavulana ,wengine ni wahitimu Wa form four ,six na chuo kikuu,aisee wamesambaa kila kona ,makampuni mbalimbali yamewaajiri ,kama suma jkt ndio balaaa.

Hii kazi ilikuwa ikifanywa na watu wazima kidogo (wazee) kuanzia miaka 35 kwa miaka hiyo ,na ni kazi ambayo ilikuwa inaonekana unafanya kama ,umepambana kwenye mambo mengine yote umeshindwa ,so unaamua kufanya hii kazi kama kunyoosha mikono juu maisha yamekuchapa.

Lakini kwa sasa hii kazi ni kama starting point ya maisha.

Hii nchi ni tajiri sana.

Uzi tayari
Hata sekta yenyewe ya ulinzi imekuwa revolutonised sana.

Huwezi kumchukua mzee akalinde Five star hotel, Bandari au kusoma CCTV cameras

Inahitajika maboresho tu, ni sehemu nzuri na inaongeza ajira.
 
Viongozi wa ccm na serikali yao wamewaaminisha kuwa ni wanyonge so they can not husstle zaidi ya kukaa mabarazani wakilinda
 
Wana hasira kali sana, walijua wataandikishwa jeshini sasa wameishia kuwa korokoroni
Wakati naingia chomboni eti jeshi ali ajiri lina andikisha mbn mnatulipa mishahara na posho sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom