The Bleiz
JF-Expert Member
- Jan 7, 2012
- 5,070
- 13,511
Fikiria kabla haujahukumu chief.Wew nae umamuachaje mamako yuko maututi unasafiri ayo maneno ya mwisho wew ndio ukuyataka usimsingizie mlinzi!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fikiria kabla haujahukumu chief.Wew nae umamuachaje mamako yuko maututi unasafiri ayo maneno ya mwisho wew ndio ukuyataka usimsingizie mlinzi!!!!
[emoji23][emoji23][emoji23]mkuu wamejaa ,na wanakesha malindoni hawa watoto ..Asee kuna kamoja kabichi kabisa kameajiriwa hapa kazini kwetu, nimekatafuna japo kuwa klkuw ktk hal mbaya ikabid nitumie mbinu nyingine kukatafuna, asee ni kabich kabsa na kanafanya kaz ngumu sana . Baada ya siku kazaa naona kananikwepa nakameanza kupendeza bila shaka kuna mwenzangu kampandia dau kubwa
Mishahara ni 180k mkuu. ..Mishahara yao ipoje?
Mkuu 35 kwa maisha ya sasa unaelekea uzeeni .Miaka 35 ni mzee??
Umemaliza na uzi ufungwe!Watu wanawalaumu hawa Suma kua jeuri.
Ni jeuri kweli.
Ila mimi nishaingia hospitali nimevaa kaptura. Nishaenda ona mgonjwa muda umeisha.
Unajua namna unayoanzisha mazungumzo na mtu inaweza amua kama utapata unachotaka ama la, nataka mjue kwamba wafanyakazi wanakutwa na mengi atatoka nyumbani kanuna atakuta hapa miyeyusho kibao lakini wewe kumsalimia kwa dhati na kumuambia "Pole kwa kazi dada/ kaka/ mkuu" kisha ukaanza na "Samahani ..." Inaweza ikakubeba maeneo mengi.
Atakuambia umekosea ni unakubali lakini unaomba chansi ya kua exception, it works.
Alafu wana Stress za kufa mtu...mfano vijana wa Suma JKT karibu 99% wako stressed. Ukitaka kuamini basi itokee mmepishana kauli kidogo, yaani ni balaa!Habari wakuu.
Nimejikuta natafakari sana, kwenye nchi hii tajiri kama wanavotuaminisha viongozi wetu na maendeleo ya technology lakini Sikh hizi kunaongezeko la vijana wadogo wanaofanya kazi ya ulinzi.
Wengi wao ni kuuanzia miaka 22 wasichana na wavulana, wengine ni wahitimu Wa form four, six na chuo kikuu, aisee wamesambaa kila kona ,makampuni mbalimbali yamewaajiri, kama suma JKT ndio balaaa.
Hii kazi ilikuwa ikifanywa na watu wazima kidogo (wazee) kuanzia miaka 35 kwa miaka hiyo, na ni kazi ambayo ilikuwa inaonekana unafanya kama, umepambana kwenye mambo mengine yote umeshindwa, so unaamua kufanya hii kazi kama kunyoosha mikono juu maisha yamekuchapa.
Lakini kwa sasa hii kazi ni kama starting point ya maisha.
Hii nchi ni tajiri sana.
Uzi tayari
Iko hivyo.Umemaliza na uzi ufungwe!
Mimi nikienda sehemu kama sijui taratibu watu wangu wa kuulizia utaratibu huwa ni walinzi wale wenye sare, hata kama kuna watu wengine lakini lazima nimfuate mlinzi kumuulizia!
Na hapo hata wao huwa wanajisikia kuheshimiwa sana na utakuta anakuelekeza kwa utaratibu tena anaweza kukuoneshea na mtu wa kukukampan unakokwenda!
Tatizo la wabongo ni ujuaji, wewe unaenda sehemu unambiwa hapa utaratibu ni huu na huu, wewe kwa ubishi kwakuwa umepak ki ist chako nje basi unaanza kuleta ubishi na kutaka kuleta utaratibu wako. Lazima ubutuliwe.
Miaka 35 ni mzee?Habari wakuu.
Nimejikuta natafakari sana, kwenye nchi hii tajiri kama wanavotuaminisha viongozi wetu na maendeleo ya technology lakini Sikh hizi kunaongezeko la vijana wadogo wanaofanya kazi ya ulinzi.
Wengi wao ni kuuanzia miaka 22 wasichana na wavulana, wengine ni wahitimu Wa form four, six na chuo kikuu, aisee wamesambaa kila kona ,makampuni mbalimbali yamewaajiri, kama suma JKT ndio balaaa.
Hii kazi ilikuwa ikifanywa na watu wazima kidogo (wazee) kuanzia miaka 35 kwa miaka hiyo, na ni kazi ambayo ilikuwa inaonekana unafanya kama, umepambana kwenye mambo mengine yote umeshindwa, so unaamua kufanya hii kazi kama kunyoosha mikono juu maisha yamekuchapa.
Lakini kwa sasa hii kazi ni kama starting point ya maisha.
Hii nchi ni tajiri sana.
Uzi tayari
Mkuu hapa unaongea na watu wenye mawazo mgando tu.Hata sekta yenyewe ya ulinzi imekuwa revolutonised sana.
Huwezi kumchukua mzee akalinde Five star hotel, Bandari au kusoma CCTV cameras
Inahitajika maboresho tu, ni sehemu nzuri na inaongeza ajira.
Umeandika ukweli mtupu, kupambana sana kunakufanya unakua very humbleNi harakati za utafutaji hata mimi nilishapitia ulinzi one Year hivi na jamaa yangu ambae wote tupo mbali tunalindwa nasi.
Kupambana Sana ktk maisha kunakupunguza nyodo siku ukipata