Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana mkuuAfuu vijana walinzi hawa wa suma. JKT ni jeuri sana. Mmoja alinikatalia nisiingie hospital nimuage mama yangu alilazwa ili niweze kusafiri na ilikuwa lazima nisafiri niliongea nae kwa mapana sana akagoma .baada ya kuondoka siku mbili mbele mama angu alifariki.
Ww Dada mlinzi hapo hospital uliyefanya nisipate maneno ya mwisho ya mamangu sintokusahau.
Wengi wao jeuri sana, wiki mbili zilopita nilienda hospital nikatibiwa fresh ile nataka kutoka kufika getini nikakutana nae msichana mdogo tu mlinzi.
Akaanza haya kaka geuza hapo hapo hakuna njia huku ni kwa kuingilia tu. Nikamjibu naomba nipite ka leo tu kwa kuwa naumwa sana siwezi kuzunguka.
Akaendelea mi ndo nshasema geuza. Nikamwambia hunijui vizuri ww sasa mimi napita hapa hapa. Nikapita zangu akabaki anashangaa poa bhana utaumwa tena utakuja hapa. Nikamwambia be carefull nitakuharibia hiko kibarua chako.
Kuna mlinzi nikikutana naye Bugando pale noma aisee lunch time wanaingia walioleta chakula tu, sasa matunda, maji, siyo sehemu ya chakula na hutaingia kamwee.Watu wanawalaumu hawa Suma kua jeuri.
Ni jeuri kweli.
Ila mimi nishaingia hospitali nimevaa kaptura. Nishaenda ona mgonjwa muda umeisha.
Unajua namna unayoanzisha mazungumzo na mtu inaweza amua kama utapata unachotaka ama la, nataka mjue kwamba wafanyakazi wanakutwa na mengi atatoka nyumbani kanuna atakuta hapa miyeyusho kibao lakini wewe kumsalimia kwa dhati na kumuambia "Pole kwa kazi dada/ kaka/ mkuu" kisha ukaanza na "Samahani ..." Inaweza ikakubeba maeneo mengi.
Atakuambia umekosea ni unakubali lakini unaomba chansi ya kua exception, it works.
Lazima hakukwepe si hutoi huduma umlipii kodi kwako humpeleki unataka umpeleke Guest tu.Asee kuna kamoja kabichi kabisa kameajiriwa hapa kazini kwetu, nimekatafuna japo kuwa klkuw ktk hal mbaya ikabid nitumie mbinu nyingine kukatafuna, asee ni kabich kabsa na kanafanya kaz ngumu sana . Baada ya siku kazaa naona kananikwepa nakameanza kupendeza bila shaka kuna mwenzangu kampandia dau kubwa
Sasa vijana hatutak kuoa lazima mabint watakesha malindon[emoji23][emoji23][emoji23]mkuu wamejaa ,na wanakesha malindoni hawa watoto ..
Katoto kazuri kabisa ,sura ,shape ila kamevaa gwanda la suma jkt
Walinz wanao linda sehem wanazo pata huduma waswahili Wana pitia changamoto kubwa Sana.Ni kweli mkuu kwa sasa vijana ni wengi.
Majuzi nimeona kazini kwangu kijana mpya kaingia bado "bwana mdogo" sana na pia anaonekana kasoma soma mana kingereza cha yes no hakimpigi chenga.
Labda "wasomi"wameamua kwenda huko
Pole sana. Lakini kwa nini unamlaumu? Ilikuwa ni muda wa kuona wagonjwa lakini akakataa bila sababu? Kama muda ulikuwa umeshapita au haujafika basi alikuwa anatekeleza wajibu wake. Huwezi kujua ambayo yangemkuta iwapo mabosi wake wangegundua amekiuka masharti ya kazi.Afuu vijana walinzi hawa wa suma. JKT ni jeuri sana. Mmoja alinikatalia nisiingie hospital nimuage mama yangu alilazwa ili niweze kusafiri na ilikuwa lazima nisafiri niliongea nae kwa mapana sana akagoma .baada ya kuondoka siku mbili mbele mama angu alifariki.
Ww Dada mlinzi hapo hospital uliyefanya nisipate maneno ya mwisho ya mamangu sintokusahau.
Kumbe basi wala ulikuwa huumwi sana ila ulidanganya tu. Kuna kosa la kupita geti lisiloruhusiwa na kosa la kusema uongo kuwa unaumwa sana. Unadhani hao walioweka utaratibu wa geti la kuingilia na kutokea walikuwa wajinga? Je kama kila mgonjwa angetumia uongo na kiburi kama wewe hali ingekuwaje? Watu kama wewe ni hatari sana kwenye jamii kwa sababu ni wabinafsi. Mnadhani sheria zimewekwa kwa watu wengine tu na siyo kwenu. Hata huko kazini kwako inaonekana hufuati sheria na taratibu kw sababu unajiona wewe ni zaidi. Yale yale ya Magufuli anafoka kwa hasira na ukali ''unanijibu mimi hivyo'' wakati amejibiwa jibu stahiki.Wengi wao jeuri sana, wiki mbili zilopita nilienda hospital nikatibiwa fresh ile nataka kutoka kufika getini nikakutana nae msichana mdogo tu mlinzi.
Akaanza haya kaka geuza hapo hapo hakuna njia huku ni kwa kuingilia tu. Nikamjibu naomba nipite ka leo tu kwa kuwa naumwa sana siwezi kuzunguka.
Akaendelea mi ndo nshasema geuza. Nikamwambia hunijui vizuri ww sasa mimi napita hapa hapa. Nikapita zangu akabaki anashangaa poa bhana utaumwa tena utakuja hapa. Nikamwambia be carefull nitakuharibia hiko kibarua chako.
Umesema kweli. Ndiyo maana kaburu aliona hapa isiwe tabu akasema weusi wakae kwao na weupe wakae kwao. Sisi watu weusi tu viumbe wabinafsi mno.Walinz wanao linda sehem wanazo pata huduma waswahili Wana pitia changamoto kubwa Sana.
Sasa ww unatafuna pesa hutoi unasema Kuna mchongo unasikilizia lazima kakimbie..Asee kuna kamoja kabichi kabisa kameajiriwa hapa kazini kwetu, nimekatafuna japo kuwa klkuw ktk hal mbaya ikabid nitumie mbinu nyingine kukatafuna, asee ni kabich kabsa na kanafanya kaz ngumu sana . Baada ya siku kazaa naona kananikwepa nakameanza kupendeza bila shaka kuna mwenzangu kampandia dau kubwa
Mkuu ulinzi ni ajira kama ajira nyingine, unasoma kama walivyosoma wegine, unakuwa certified kama wanavyokuwa certified wahasibu na nk. Kuna certification kibao ambazo mlinzi akizinyaka MTU wa kujadiliana kwenye kampuni ni GM au CEO. Usiwachukulie poa Google certification kama CSMP, CPP, PSP, CNP nk kupiga mshahara wa 5 to 10M ni kitu cha kawaida, wengi wenu bado mmekariri mlinzi ni geti, kirungu na bunduki. Ulinzi umeshatoka Huko ndo maana unaona graduate wanaajiriwa. Msiwachukulie au kutuchukilia poa.Habari wakuu.
Nimejikuta natafakari sana, kwenye nchi hii tajiri kama wanavotuaminisha viongozi wetu na maendeleo ya technology lakini Sikh hizi kunaongezeko la vijana wadogo wanaofanya kazi ya ulinzi.
Wengi wao ni kuuanzia miaka 22 wasichana na wavulana, wengine ni wahitimu Wa form four, six na chuo kikuu, aisee wamesambaa kila kona ,makampuni mbalimbali yamewaajiri, kama suma JKT ndio balaaa.
Hii kazi ilikuwa ikifanywa na watu wazima kidogo (wazee) kuanzia miaka 35 kwa miaka hiyo, na ni kazi ambayo ilikuwa inaonekana unafanya kama, umepambana kwenye mambo mengine yote umeshindwa, so unaamua kufanya hii kazi kama kunyoosha mikono juu maisha yamekuchapa.
Lakini kwa sasa hii kazi ni kama starting point ya maisha.
Hii nchi ni tajiri sana.
Uzi tayari
Hata huko Nchi za wenzetu walinzi ni vijana tena wenye nguvu zao! Mi nashaangaa sana nikikuta eti mlinzi ni Mzee hata kufukuza mwizi kwa sauti kubwa hawezi kabisa!!Hata sekta yenyewe ya ulinzi imekuwa revolutonised sana.
Huwezi kumchukua mzee akalinde Five star hotel, Bandari au kusoma CCTV cameras
Inahitajika maboresho tu, ni sehemu nzuri na inaongeza ajira.
Watafute watanzania wachache waliobahatika kusoma kozi za ASIS USAna ISMI uk alafu wakapata hiziHabari wakuu.
Nimejikuta natafakari sana, kwenye nchi hii tajiri kama wanavotuaminisha viongozi wetu na maendeleo ya technology lakini Sikh hizi kunaongezeko la vijana wadogo wanaofanya kazi ya ulinzi.
Wengi wao ni kuuanzia miaka 22 wasichana na wavulana, wengine ni wahitimu Wa form four, six na chuo kikuu, aisee wamesambaa kila kona ,makampuni mbalimbali yamewaajiri, kama suma JKT ndio balaaa.
Hii kazi ilikuwa ikifanywa na watu wazima kidogo (wazee) kuanzia miaka 35 kwa miaka hiyo, na ni kazi ambayo ilikuwa inaonekana unafanya kama, umepambana kwenye mambo mengine yote umeshindwa, so unaamua kufanya hii kazi kama kunyoosha mikono juu maisha yamekuchapa.
Lakini kwa sasa hii kazi ni kama starting point ya maisha.
Hii nchi ni tajiri sana.
Uzi tayari
Umetufungua macho. Na kama hujapitia Mgambo au JKT unaweza kusoma hizo online courses?Watafute watanzania wachache waliobahatika kusoma kozi za ASIS USAna ISMI uk alafu wakapata hizi
Certification
The Certified Security Management Professional (CSMP®) is the global-leading accredited diploma gharama yake ni £860 kama haijashuka na mitihani yake unafanyia British council.
Kuna hizi zinatolewa ASIS ( American Society of International Security:-
Vijana mliomaliza vyuo na kupitia JKT hii ni fursa kusoma hizo kozi am telling you kazi ziko nyingi mno ukiwa na hiyo CSMP, PSP, CCP nk Kwa mfano wenye hiyo diploma Kwa TZ hatufiki hamsini, Kenya ndo wako wengi wenzetu waliona fursa mapema tusikariri. Mimi siwezi kuajiriwa Kwa take home ya below 5 to 10.
Hapo bado nafanya kazi zangu za consultation na Risk analysis.
Mkuu ulilambwa mboko na majamaa ya sumaMwendo kasi ubungo katisha bila kupanda daraja uone izo bakora ata mjerumani mwanafunzi
Lazima uwe umefanya kazi ya ulinzi Kwa muda fulani make Kule unafundishwa kuwa kiongozi na mtaalam WA ulinzi Kwa maana ya cooperate security.Umetufungua macho. Na kama hujapitia Mgambo au JKT unaweza kusoma hizo online courses?
Umetufungua macho. Na kama hujapitia Mgambo au JKT unaweza kusoma hizo online courses?