MLA PANYA SWANGA
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,184
- 5,435
Serikali imetoa mafunzo ya jeshi kwa vijana wengi bila kutoa ajira ndiyo maana wameangukia huko kwenye ulinzi kunakohusiana na taaluma yao.Habari wakuu.
Nimejikuta natafakari sana, kwenye nchi hii tajiri kama wanavotuaminisha viongozi wetu na maendeleo ya technology lakini Sikh hizi kunaongezeko la vijana wadogo wanaofanya kazi ya ulinzi.
Wengi wao ni kuuanzia miaka 22 wasichana na wavulana ,wengine ni wahitimu Wa form four, six na chuo kikuu, aisee wamesambaa kila kona ,makampuni mbalimbali yamewaajiri, kama suma jkt ndio balaaa.
Hii kazi ilikuwa ikifanywa na watu wazima kidogo (wazee) kuanzia miaka 35 kwa miaka hiyo, na ni kazi ambayo ilikuwa inaonekana unafanya kama, umepambana kwenye mambo mengine yote umeshindwa, so unaamua kufanya hii kazi kama kunyoosha mikono juu maisha yamekuchapa.
Lakini kwa sasa hii kazi ni kama starting point ya maisha.
Hii nchi ni tajiri sana.
Uzi tayari
Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app