Ongezeko la vijana wadogo walinzi, hii inaleta picha gani kwenye jamii?

Serikali imetoa mafunzo ya jeshi kwa vijana wengi bila kutoa ajira ndiyo maana wameangukia huko kwenye ulinzi kunakohusiana na taaluma yao.

Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
 
Pole Sana mkuu sijui wamelishwa sumu gani Hawa madogo wa Suma...... Wanajiona makomando sana
 
Wengi wao wanapenda Sana kuvaa sare za jwtz sijui hii imekaaje
 
Hiyo nayo ni kazi kama kazi nyingine acheni dharau.kama unadhani ni kazi ya chini nenda kajaribu kuomba uone kama utapata.
 
Hiyo nayo ni kazi kama kazi nyingine acheni dharau.kama unadhani ni kazi ya chini nenda kajaribu kuomba uone kama utapata.
Hio kazi ya ulinzi yeyote anaweza pata mkuu ..

Haihitaji mambo mengi
 
Watu wanawalaumu hawa Suma kua jeuri.

Ni jeuri kweli.

Ila mimi nishaingia hospitali nimevaa kaptura. Nishaenda ona mgonjwa muda umeisha.

Unajua namna unayoanzisha mazungumzo na mtu inaweza amua kama utapata unachotaka ama la, nataka mjue kwamba wafanyakazi wanakutwa na mengi atatoka nyumbani kanuna atakuta hapa miyeyusho kibao lakini wewe kumsalimia kwa dhati na kumuambia "Pole kwa kazi dada/ kaka/ mkuu" kisha ukaanza na "Samahani ..." Inaweza ikakubeba maeneo mengi.

Atakuambia umekosea ni unakubali lakini unaomba chansi ya kua exception, it works.
 
waliwakamata masela chimbo wakila msuba.......wakakomalia........wanajua kilichowapata.......wanasahau wao ni MABAWABU......wapo pale TCRA........wasumbufu
 
yesss.....wanataka - uwa - respect.......yaani watakupeleka uendako....
 
tunaita matumizi mabaya ya nguvukazi..
 
Ila wengi wao wamejaa dharau na matumizi ya nguvu pasipohusika
Msiwahukumu wengi wao wana stress za maisha.
Mtu yuko Suma jkt kasota jkt two years na hakupata ajira, ana elimu nzuri tu mwisho wa siku anakuja kulipwa laki 2 kama gross salary na take home 180K lazima awe na stress.
Wahurumieni ndugu zetu life linachanganya sana
 
Jiwe impact
 
Inathibitisha kauli ya Spika vijana hawaaminiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…