Ongezeko la vijana wadogo walinzi, hii inaleta picha gani kwenye jamii?

Hata mimi nilifanya hii kazi Baada ya kumaliza form 4 kweli vijana kimbilio lao kubwa ni huko kutokana na wepesi wa kupata ajira maana hakuna interview wala experience
 
Wengi wao jeuri sana, wiki mbili zilopita nilienda hospital nikatibiwa fresh ile nataka kutoka kufika getini nikakutana nae msichana mdogo tu mlinzi.

Akaanza haya kaka geuza hapo hapo hakuna njia huku ni kwa kuingilia tu. Nikamjibu naomba nipite ka leo tu kwa kuwa naumwa sana siwezi kuzunguka.

Akaendelea mi ndo nshasema geuza. Nikamwambia hunijui vizuri ww sasa mimi napita hapa hapa. Nikapita zangu akabaki anashangaa poa bhana utaumwa tena utakuja hapa. Nikamwambia be carefull nitakuharibia hiko kibarua chako.
 
Pole sana mkuu
 

Kuna mlinzi nikikutana naye Bugando pale noma aisee lunch time wanaingia walioleta chakula tu, sasa matunda, maji, siyo sehemu ya chakula na hutaingia kamwee.
Anakagua na mashine yake kama una kitu cha chuma unashikiria, mashine ikipiga alarm anakwambia rudi mwishoni ukapange foleni tena.
Kuna jamaa alikuwa na bukta ina kifungo cha chuma kila mashine ikipitishwa inapiga alarm jamaa alirudishwa mara tatu na anamwelewesha mlinzi haelewi mpaka jamaa akapata hasira.
 
Lazima hakukwepe si hutoi huduma umlipii kodi kwako humpeleki unataka umpeleke Guest tu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]mkuu wamejaa ,na wanakesha malindoni hawa watoto ..

Katoto kazuri kabisa ,sura ,shape ila kamevaa gwanda la suma jkt
Sasa vijana hatutak kuoa lazima mabint watakesha malindon
 
Pole sana. Lakini kwa nini unamlaumu? Ilikuwa ni muda wa kuona wagonjwa lakini akakataa bila sababu? Kama muda ulikuwa umeshapita au haujafika basi alikuwa anatekeleza wajibu wake. Huwezi kujua ambayo yangemkuta iwapo mabosi wake wangegundua amekiuka masharti ya kazi.
 
Kumbe basi wala ulikuwa huumwi sana ila ulidanganya tu. Kuna kosa la kupita geti lisiloruhusiwa na kosa la kusema uongo kuwa unaumwa sana. Unadhani hao walioweka utaratibu wa geti la kuingilia na kutokea walikuwa wajinga? Je kama kila mgonjwa angetumia uongo na kiburi kama wewe hali ingekuwaje? Watu kama wewe ni hatari sana kwenye jamii kwa sababu ni wabinafsi. Mnadhani sheria zimewekwa kwa watu wengine tu na siyo kwenu. Hata huko kazini kwako inaonekana hufuati sheria na taratibu kw sababu unajiona wewe ni zaidi. Yale yale ya Magufuli anafoka kwa hasira na ukali ''unanijibu mimi hivyo'' wakati amejibiwa jibu stahiki.
 
Walinz wanao linda sehem wanazo pata huduma waswahili Wana pitia changamoto kubwa Sana.
Umesema kweli. Ndiyo maana kaburu aliona hapa isiwe tabu akasema weusi wakae kwao na weupe wakae kwao. Sisi watu weusi tu viumbe wabinafsi mno.
 
Zama za kuchagua kazi zimepitwa na wakati.
Wacha vijana wawe walinzi wapate pesa ya kuhonga wasiwe CHAPUTA.
Mademu wa miaka hii bila pesa,papuchi zao utaziona youtube pekee..!
 
Sasa ww unatafuna pesa hutoi unasema Kuna mchongo unasikilizia lazima kakimbie..
 
Mkuu ulinzi ni ajira kama ajira nyingine, unasoma kama walivyosoma wegine, unakuwa certified kama wanavyokuwa certified wahasibu na nk. Kuna certification kibao ambazo mlinzi akizinyaka MTU wa kujadiliana kwenye kampuni ni GM au CEO. Usiwachukulie poa Google certification kama CSMP, CPP, PSP, CNP nk kupiga mshahara wa 5 to 10M ni kitu cha kawaida, wengi wenu bado mmekariri mlinzi ni geti, kirungu na bunduki. Ulinzi umeshatoka Huko ndo maana unaona graduate wanaajiriwa. Msiwachukulie au kutuchukilia poa.
 
Hata sekta yenyewe ya ulinzi imekuwa revolutonised sana.

Huwezi kumchukua mzee akalinde Five star hotel, Bandari au kusoma CCTV cameras

Inahitajika maboresho tu, ni sehemu nzuri na inaongeza ajira.
Hata huko Nchi za wenzetu walinzi ni vijana tena wenye nguvu zao! Mi nashaangaa sana nikikuta eti mlinzi ni Mzee hata kufukuza mwizi kwa sauti kubwa hawezi kabisa!!
 
Watafute watanzania wachache waliobahatika kusoma kozi za ASIS USAna ISMI uk alafu wakapata hizi
Certification
The Certified Security Management Professional (CSMP®) is the global-leading accredited diploma gharama yake ni £860 kama haijashuka na mitihani yake unafanyia British council.
Kuna hizi zinatolewa ASIS ( American Society of International Security:-
Vijana mliomaliza vyuo na kupitia JKT hii ni fursa kusoma hizo kozi am telling you kazi ziko nyingi mno ukiwa na hiyo CSMP, PSP, CCP nk Kwa mfano wenye hiyo diploma Kwa TZ hatufiki hamsini, Kenya ndo wako wengi wenzetu waliona fursa mapema tusikariri. Mimi siwezi kuajiriwa Kwa take home ya below 5 to 10.
Hapo bado nafanya kazi zangu za consultation na Risk analysis.
 
Umetufungua macho. Na kama hujapitia Mgambo au JKT unaweza kusoma hizo online courses?
 
Pumbavu mnataka tukajiajil wapi?? Tukianza kuiba kuku zenu mitaan mnalalamika, sasa tumeingia kwenye vibarua bado mnatunanga[emoji44][emoji44]achen zenu baanaa nanyie mnaosema tunanyodo, lzm mfuate sheria kila sehem maana hata sie tunapewa amri yakufanya jambo au kuzuia nandio mshahara wetu unakuja,,jifunzen kuheshimu kaz za watu...kenge nyie....kuruta somaaa hiyo[emoji44]
 
Umetufungua macho. Na kama hujapitia Mgambo au JKT unaweza kusoma hizo online courses?
Lazima uwe umefanya kazi ya ulinzi Kwa muda fulani make Kule unafundishwa kuwa kiongozi na mtaalam WA ulinzi Kwa maana ya cooperate security.
Umetufungua macho. Na kama hujapitia Mgambo au JKT unaweza kusoma hizo online courses?
 
Siku izi wahalifu wengi ni vijana tofaut na zamani, kwaiyo vijana wanapambana na vijana wenzao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…