Ongezeko la vijana wadogo walinzi, hii inaleta picha gani kwenye jamii?

@Pain killer Ajira zimekua ngumu ndugu yangu,Tukijiahidi hata kufungua vigenge uswahilini tunaambiwa tulipe kodi za kizalendo.

Kwa sisi ambao hatuna hata hayo 'makoneksheni' tukikosa ajira jeshini ndo tunajaribu kwenye ulinzi.

Kiukweli maisha yamekua magumu mno,kijana ambaye amepata pakujishikiza ajishikize kweli yaani.[emoji3064]
 
Asante sana mkuu
 
Huko ndy kuzuri kwa vijana.

Tajiri akikaa vibaya wanakutafutia kwenye magazeti ..
 
Maisha yamebadilika, vijana wameanza kufanya kazi za wastaafu, means kijana ana mke muuza duka Kariakoo na yeye ni mlinzi buguruni, : Mama akienda kazini baba ndio anatoka lindo, hawapati muda wa kufanaya mapenzi na ndio mwanzo wa kila mmoja kuchepuka.
 
Huko ndy kuzuri kwa vijana.

Tajiri akikaa vibaya wanakutafutia kwenye magazeti ..
Ile Kazi basi tu sababu ya kusogezea life lkn Hakuna aitakaye maana unachezea vitu 3.kifo,ulemavu,jela vyoote unatakiwa uviruke viunzi hivi Miaka 20 iliyopita nilipona hivyo vitatu.Tuliiba kwa kweli mafuta kwenye matenki lita 100 dizeli kurasini tukazalumiwa na tukadakwa tutakiri Mungu tu alikuwa upande wetu wenye kampuni wakawasiliana na kampuni yetu ya ulinzi.Ni bahati tulifukuzwa Kazi tungechezea miaka 7 jela.
Kifo,kifungo, ulemavu vyote vinamsubiri mlinzi.
 
Tubadilike jamani...mambo ya kazi hii si ya kisomi yamepitwa na wakati, cha muhimu unapiga mpunga kihalali...nafurahi sana sometimes nikiingia bar au kwa mama nntilie unakuta pisi inayokuhudumia ni kali halafu imeenda shule...mbona tukienda ulaya tunafanya kazi hizo hizo ila tukizifanyia bongo inakuwa nongwa?
 
Kazi ya safi je
 
Wakati naingia chomboni eti jeshi ali ajiri lina andikisha mbn mnatulipa mishahara na posho sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
sijawahi kuipenda hyo kazi ata kidogoo
 
Alafu wanajikuta makamanda ngoja waje waingie kwenye 18 zangu hawataamini
 
miaka 22 ni mdogo ?
 
Ajira hiyo mkuu!
 

Inaleta picha kwamba tumeingia uchumi wa kati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…