Ongezeko la wadada kuchezesha makalio katika mitandao

safi sana lazima wanywe sumu mwaka huu asante sana mleta picha!! .....na hapo lazima ni hela n
Dj Dj shikilia hapo hapo kwanza.....
View attachment 2169593

mzabzab kuna kujenga hapa?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
deeefu hutaki wenzako wanafaidi
Hawa watumishi feki wanasababisha maneno ya kwny vitabu vitakatifu yaonekn hayana maana kabisa sasa kerubi kwenye Biblia na kuchezesha makalio wapi na Wapi jameni?
Wewe kama wewe!! wasamehe hawajui walitendalo! ..........tena kerubi ndo wale walioko ktk kiti cha Enzi km hajui!! ...labda aombe msamaha yaishe! vinginevyo ataungua moto live!
 
Mtu anashindwa kuulinda uchi wake binafsi eti serikali imsaidie iv kumbe ndo maana hii nchi haiendelei mtu Kama wewe ukipewa uongozi siutadeal na ujinga tu?
 
Kwani hayo madini mnayosali kazi yake Ni Nini ? Au nikuokota zaka tu
 
makalio yana kazi mbili tu:
1.kukalia
2.kuficha ile sehemu

sasa wengine makalio makubwa yenye kuficha fungus, harufu kali na mabaki ya mavi wanayatingisha tingisha bila aibu.
 
Hayo ni matangazo ya biashara kama biashara nyingine.Jiongeze.
 
kutingisha makalio wakati salio benki haliongezeki. ni matumiz mabaya ya viungo
 
makalio yana kazi mbili tu:
1.kukalia
2.kuficha ile sehemu

sasa wengine makalio makubwa yenye kuficha fungus, harufu kali na mabaki ya mavi wanayatingisha tingisha bila aibu.
Hizo kazi ni zile zilitarajiwa wakati wa UUMBAJI ila baadae KIUTENDAJI zimekuja kuonekana zingine zenye nguvu zaidi:-
1. Kivutio au ULIMBO wa kunasia WANAUME.
2. Kuleta MVUTO kwa mwanaume aendelee kwenye TENDO baada ya MSHINDO wa kwanza.
 
makalio yana kazi mbili tu:
1.kukalia
2.kuficha ile sehemu

sasa wengine makalio makubwa yenye kuficha fungus, harufu kali na mabaki ya mavi wanayatingisha tingisha bila aibu.
Hayo makalio nadhani yana kazi ya ziada zaidi ya uliyosema.

Nasema hivyo kwa sababu, kazi yake ingelikuwa ni kukalia na kuficha taka taka, basi yangelifanana na ya wanaume, wote yakawa madogo kama konzi.

Lakini kuwa makubwa na malaini na mwanaume ukikutana na wa hivyo, bila kupenda lazima ugeuke, tena bila kutaka unayemuangalia akuone kama unamuangalia!

Lazima hapo kuna jambo la ziada ya sababu ulizozielezea wewe.
 
mnafuata nini uko tik tok ?
kumbuka methali inasema maji ukiyavulia nguo kifuatacho .......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…