Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Kachumbari ndiyo kisababishi kikubwa. Mtu ametoka kuchambia maji ya kopo halafu anaenda kukata kachumbari. Vyakula vyote vya kushikwa shikwa ndiyo chanzo kikubwa cha Pylori.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"kuambukizwa ni kupitia matumizi ya vitu vyenye vya H-Pylori kama vile maji au vyakula", bila kutumia vitu hivi viwili tusingekuwepo duniani, eleza aina ya vyakula isipokuwa kitimoto iliyochanganywa mchicha na ndizi usihusishe kwani hatutaelewana.Helicobacter Pylori ni bacteria ambao wanasadikika kusababisha vidonda vya tumbo na pia Kansa ya utumbo/tumbo, njia zake za kuambukizwa ni kupitia matumizi ya vitu vyenye vya H-Pylori kama vile maji au vyakula na pia kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mtu mwingine.
Helicobacter Pylori ni kati ya bacteria ambao zamani hawakuwepo sana ila kwa sasa kati ya wagonjwa kumi wanaofika kwenye vituo vya afya na wenye dalili za kuumwa matumbo, tumbo kujaa gesi, uchovu, kichwa, kuharisha...nk wakipimwa kutumia kipimo cha choo wengi wanakutwa positive kwa huyu bacteria.
Achana na wale wanaotaka kuuza Heligo-kit ila kiuhalisia watu wengi sana wanaopata huduma kwenyevituo rasmi vya afya ni wahanga wa hawa bacteria.
Je shida kubwa ni nini, watu hawana elimu juu ya hawa bacteria au mazingira yetu yamekua machafu au usafi kwenye uandaaji wa vyakula vyetu sio mzuri.
Hahahaha"kuambukizwa ni kupitia matumizi ya vitu vyenye vya H-Pylori kama vile maji au vyakula", bila kutumia vitu hivi viwili tusingekuwepo duniani, eleza aina ya vyakula isipokuwa kitimoto iliyochanganywa na mchicha na ndizi usihusishe kwani hatutaelewana.
Ndio sababu kuu, Kwa sababu stress inasababisha vidonda vya tumbo pia.Mkuu na mimi niliiona hiyo nikasema kumbe kuishi katika hizi nchi zetu tu ni sababuea ya ugonjwa tayari?
Hili ni tatizo la dunia ya Tatu wala halina cha umakini wowote.Kseli jamani shida kubwa sana tuwe makini masna sasa.....haki mvaya sana....hospitsl kubwa zote wanapata wagonjwa wengi sanaaaa....mfano aga khan kila week wana procedure zaidi 20 ( 2 specialist Dr)....wanafanya endoscopy na colonoscopy.....shida kubwa
Hii acid controller inapatikana wapi hapa Tanzania ??....Hili ni tatizo la dunia ya Tatu wala halina cha umakini wowote.
Watu wajitahidi kutumia anti acid au acid controller ndio watasalimika na kupatwa na hayo madonda ya tumbo.
Mimi nina connection na Marekani naagiza mara Kwa mara.Hii acid controller inapatikana wapi hapa Tanzania ??....
Upimaji wa Hp umeongezeka sana hivyo kuonekana kama vile Hp wameongezeka.Helicobacter Pylori ni bacteria ambao wanasadikika kusababisha vidonda vya tumbo na pia Kansa ya utumbo/tumbo, njia zake za kuambukizwa ni kupitia matumizi ya vitu vyenye vya H-Pylori kama vile maji au vyakula na pia kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mtu mwingine.
Helicobacter Pylori ni kati ya bacteria ambao zamani hawakuwepo sana ila kwa sasa kati ya wagonjwa kumi wanaofika kwenye vituo vya afya na wenye dalili za kuumwa matumbo, tumbo kujaa gesi, uchovu, kichwa, kuharisha...nk wakipimwa kutumia kipimo cha choo wengi wanakutwa positive kwa huyu bacteria.
Achana na wale wanaotaka kuuza Heligo-kit ila kiuhalisia watu wengi sana wanaopata huduma kwenyevituo rasmi vya afya ni wahanga wa hawa bacteria.
Je shida kubwa ni nini, watu hawana elimu juu ya hawa bacteria au mazingira yetu yamekua machafu au usafi kwenye uandaaji wa vyakula vyetu sio mzuri.
Mkuu rabbon kwema, nina vidonda vya tumbo pia hivi karibuni Kuna jamaa kanishauri nitumie pilipili hapa napo naona umetoa ushairi wa pilipili, nakumbuka kipindi cha nyuma wakati pia nilipokuwa na vidonda nilipojaribu mara kadhaa kutumia pilipili nilipatwa na kuendesha sana hilo unalionaje? Na pia pilipili zipo za Aina nyingi kwenye matumizi ni pilipili yoyote au ? Maswali ni mengi naomba nifahamishe hilo AsanteHuyo bacteria kitaalamu asili yake ni tumboni,
KAZI ya bacteria huyo ni kudhibiti acid Inayozalishwa tumboni kumeng'enya chakula Ili acid hiyo isiharibu utumbo.
Muhimu ni kubalance acid mwilini Kwa kutumia dawa aliyotaja Dr Matola PhD na pilipili.
Wahindi wanatumia sana pilipili, inasaidia kubalance acid mwilini.
Hata mwenye madonda ya tumbo, tumia pilipili kwenye chakula utanishukuru.
Amen asante sana nitapita pale.....inanisumbua sana hii kituMimi nina connection na Marekani naagiza mara Kwa mara.
Hakuna Mmarekani anaweza kukwambia ana vidonda vya tumbo au kaambiwa asile pilau, dagaa au Maharage, huu ni ujinga upo Bongo/Africa.
Kama upo Dar pale Namanga Best bite kuna clinic inaitwa premier care Kwa Dr Pierre check kwenye pharmacy yao huwezi kukosa hizi anti acid tablets, ukitumia hizo huwezi kupatwa na vidonda vya tumbo na aliyepatwa atumie hizo anti acid atakula vyakula vyote na vinywaji vyote.
Ikiwa unatumia pilipili na Ina kudhuru, yaweza kuwa madonda uliyonayo yapo stage ya juu zaidi.Mkuu rabbon kwema, nina vidonda vya tumbo pia hivi karibuni Kuna jamaa kanishauri nitumie pilipili hapa napo naona umetoa ushairi wa pilipili, nakumbuka kipindi cha nyuma wakati pia nilipokuwa na vidonda nilipojaribu mara kadhaa kutumia pilipili nilipatwa na kuendesha sana hilo unalionaje? Na pia pilipili zipo za Aina nyingi kwenye matumizi ni pilipili yoyote au ? Maswali ni mengi naomba nifahamishe hilo Asante
Uandaaji wa vyakula migahawani haukidhi viwango vya uandaaji wa chakula. Watu wengi wamejiajiri kwenye hilo eneo lkn hawakidhi vigezo vya usafi. Watu wengi tumekuwa tukila migahawani kutokana na kukosa muda. Muda mwingi unachukuliwa na kufukuzana na shekeli.Helicobacter Pylori ni bacteria ambao wanasadikika kusababisha vidonda vya tumbo na pia Kansa ya utumbo/tumbo, njia zake za kuambukizwa ni kupitia matumizi ya vitu vyenye vya H-Pylori kama vile maji au vyakula na pia kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mtu mwingine.
Helicobacter Pylori ni kati ya bacteria ambao zamani hawakuwepo sana ila kwa sasa kati ya wagonjwa kumi wanaofika kwenye vituo vya afya na wenye dalili za kuumwa matumbo, tumbo kujaa gesi, uchovu, kichwa, kuharisha...nk wakipimwa kutumia kipimo cha choo wengi wanakutwa positive kwa huyu bacteria.
Achana na wale wanaotaka kuuza Heligo-kit ila kiuhalisia watu wengi sana wanaopata huduma kwenyevituo rasmi vya afya ni wahanga wa hawa bacteria.
Je shida kubwa ni nini, watu hawana elimu juu ya hawa bacteria au mazingira yetu yamekua machafu au usafi kwenye uandaaji wa vyakula vyetu sio mzuri.
Anhaaa, sasa napata connection. Kuna dogo mmoja kule Buzuruga, Mwanza aliniambia kuwa yeye alikua anasumbuliwa na vidonda vya tumbo akawa akila pilipili anaumia sana lakini baadae anakuwa poa. Akawa anazila kwa fujo tumbo likiuma kisha linatulia.Huyo bacteria kitaalamu asili yake ni tumboni,