Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Nilipoona Hawa wadudu ila wameniachia vidonda vya tumbo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu nakutafuta sana unisaidie but hupatikani.Naomba unisaidie hata maelekezo tu ya matumizi ya hizi toka US dawa.Kwani aliyeniletea hajapewa maelekezo yeyote.Mimi nina connection na Marekani naagiza mara Kwa mara.
Hakuna Mmarekani anaweza kukwambia ana vidonda vya tumbo au kaambiwa asile pilau, dagaa au Maharage, huu ni ujinga upo Bongo/Africa.
Kama upo Dar pale Namanga Best bite kuna clinic inaitwa premier care Kwa Dr Pierre check kwenye pharmacy yao huwezi kukosa hizi anti acid tablets, ukitumia hizo huwezi kupatwa na vidonda vya tumbo na aliyepatwa atumie hizo anti acid atakula vyakula vyote na vinywaji vyote.
Hii unakunywa asubuhi kimoja jioni kimoja au unaweza kunywa kimoja kwa siku soma hapa pia👇👇👇Mkuu nakutafuta sana unisaidie but hupatikani.Naomba unisaidie hata maelekezo tu ya matumizi ya hizi toka US dawa.Kwani aliyeniletea hajapewa maelekezo yeyote.
Ulitumia dawa Gani mkuu?Nilipoona Hawa wadudu ila wameniachia vidonda vya tumbo
Heligokit mkuuUlitumia dawa Gani mkuu?
Asante mkuu..vp na cost yake ikoje?Heligokit mkuu
Elfu 45 tu mkuu anywe boxi mbili akimaliza apige Omeprazole za siku 30 utapona inshallahAsante mkuu..vp na cost yake ikoje?
Asntee sanaa mkuu...Niko hapa naugulia H pylori ..nmetumia PPI ila bdo sioni unafuu...Elfu 45 tu mkuu anywe boxi mbili akimaliza apige Omeprazole za siku 30 utapona inshallah
Pole sana mkuu utapona pendelea kula kwa wakati kula sana maparachichi kula sana matango choma sindano ya pantoprazole kama una maumivu sana anza kliniki kama upo dar es salaam muhimbili Kuna Daktari bingwa wa tumbo utapona tu inshallahAsntee sanaa mkuu...Niko hapa naugulia H pylori ..nmetumia PPI ila bdo sioni unafuu...
Asante kwa ushauri mkuu..nipo Mwanza na hosptali nnayopata huduma ni Agha khan...nlienda kwa specialist last week ndo kanianzishi hyo tiba ila kanambia baada ya siku 14 nimrudie Ili nifanye tena checkup...ndo hivo bdo hali haijaka sawa...kuna siku unaamka poa ila siku nyingine ndo hivo..kuchoka,viungo+kichwa kuuma....Pole sana mkuu utapona pendelea kula kwa wakati kula sana maparachichi kula sana matango choma sindano ya pantoprazole kama una maumivu sana anza kliniki kama upo dar es salaam muhimbili Kuna Daktari bingwa wa tumbo utapona tu inshallah
Na kinachoniwazisha Zaid ni kuona baadhi ya watu wameleta mrejesho kwamba bdo wanasumbulia baada ya kupata tiba ...mbaya Zaid wengine wanasema wamekaa Hadi miaka mitano...nlivyoona reply yako kuwa umepona kidogo nikasema nkuulizie naweza kupata matumaini tenaPole sana mkuu utapona pendelea kula kwa wakati kula sana maparachichi kula sana matango choma sindano ya pantoprazole kama una maumivu sana anza kliniki kama upo dar es salaam muhimbili Kuna Daktari bingwa wa tumbo utapona tu inshallah
Utapona kaka muhimu usile vitu vyenye asidi tu kama ni asubuhi tafuta mchai chai achana na chai ya tangawizi au majani ya chaiAsante kwa ushauri mkuu..nipo Mwanza na hosptali nnayopata huduma ni Agha khan...nlienda kwa specialist last week ndo kanianzishi hyo tiba ila kanambia baada ya siku 14 nimrudie Ili nifanye tena checkup...ndo hivo bdo hali haijaka sawa...kuna siku unaamka poa ila siku nyingine ndo hivo..kuchoka,viungo+kichwa kuuma....
Ni hivi bacteria wamejaa kwenye mwili wa binadamu yoyote yule anayeishi ndio wanasaidia to break down food kuwa energy wewe kutembea, kufikiri, kufanya kila kitu.Helicobacter Pylori ni bacteria ambao wanasadikika kusababisha vidonda vya tumbo na pia Kansa ya utumbo/tumbo, njia zake za kuambukizwa ni kupitia matumizi ya vitu vyenye vya H-Pylori kama vile maji au vyakula na pia kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mtu mwingine.
Helicobacter Pylori ni kati ya bacteria ambao zamani hawakuwepo sana ila kwa sasa kati ya wagonjwa kumi wanaofika kwenye vituo vya afya na wenye dalili za kuumwa matumbo, tumbo kujaa gesi, uchovu, kichwa, kuharisha...nk wakipimwa kutumia kipimo cha choo wengi wanakutwa positive kwa huyu bacteria.
Achana na wale wanaotaka kuuza Heligo-kit ila kiuhalisia watu wengi sana wanaopata huduma kwenyevituo rasmi vya afya ni wahanga wa hawa bacteria.
Je shida kubwa ni nini, watu hawana elimu juu ya hawa bacteria au mazingira yetu yamekua machafu au usafi kwenye uandaaji wa vyakula vyetu sio mzuri.
Hapa nimekupata vzur mkuu...kwa maana hyo kumbe lishe nayo Ina nafac kubwa ..ngoja nianze kulitekeleza hili..nmeshukuru sanaa kwa mchango wako mkuu ...nlikiwa sawa nitakupa mrejesho piaUtapona kaka muhimu usile vitu vyenye asidi tu kama ni asubuhi tafuta mchai chai achana na chai ya tangawizi au majani ya chai
Shida ni watu hawali chakula kwa usahihishida kubwa ni nini, watu hawana elimu juu ya hawa bacteria au mazingira yetu yamekua machafu au usafi kwenye uandaaji wa vyakula vyetu sio mzuri
Mnadanganyana tu, ukitaka usiuguwe vidonda vya tumbo ishi kwa life style kama kipindi cha covid 19.Shida ni watu hawali chakula kwa usahihi
Dawa unayo mwenyewe nyumbani kwakoSijui dawa itapatikana lini..?
Daktari, hayo unayoyasema yote yako kwenye kula chakula hai kwa usahihiMnadanganyana tu, ukitaka usiuguwe vidonda vya tumbo ishi kwa life style kama kipindi cha covid 19.
Make sure mwili wako una Alkaline nyingi na Alkaline inapatikana kwa wingi kwenye limao.
Kinyume na hapo mtu yeyote anayeishi Africa kutopata vidonda vya tumbo ni bahati tu ni lazima vikupate sababu kuu ni stress.
Kupiga nyungu?Dawa unayo mwenyewe nyumbani kwako