Ongezeko la wagonjwa wenye Vimelea vya Helicobacter Pylori nini Shida

Ongezeko la wagonjwa wenye Vimelea vya Helicobacter Pylori nini Shida

Mkuu majibu yapo ktk hitimisho lako. Hongera kwa mada nzuri, yenye nia ya kudadisi.
 
Mkuu rabbon kwema, nina vidonda vya tumbo pia hivi karibuni Kuna jamaa kanishauri nitumie pilipili hapa napo naona umetoa ushairi wa pilipili, nakumbuka kipindi cha nyuma wakati pia nilipokuwa na vidonda nilipojaribu mara kadhaa kutumia pilipili nilipatwa na kuendesha sana hilo unalionaje? Na pia pilipili zipo za Aina nyingi kwenye matumizi ni pilipili yoyote au ? Maswali ni mengi naomba nifahamishe hilo Asante
Tumia pilipili fresh. Usitumie haya mapilipili yaliopikwa na kuungwa.
Mie pia nasumbuliwa na acid lkn pilipili napiga km kawaida. Sema vitu vichachu km ndimu,limao maembe n.k ndio nikila yananisumbua
 
Mimi nina connection na Marekani naagiza mara Kwa mara.

Hakuna Mmarekani anaweza kukwambia ana vidonda vya tumbo au kaambiwa asile pilau, dagaa au Maharage, huu ni ujinga upo Bongo/Africa.

Kama upo Dar pale Namanga Best bite kuna clinic inaitwa premier care Kwa Dr Pierre check kwenye pharmacy yao huwezi kukosa hizi anti acid tablets, ukitumia hizo huwezi kupatwa na vidonda vya tumbo na aliyepatwa atumie hizo anti acid atakula vyakula vyote na vinywaji vyote.
Nitaenda
 
Tumia pilipili fresh. Usitumie haya mapilipili yaliopikwa na kuungwa.
Mie pia nasumbuliwa na acid lkn pilipili napiga km kawaida. Sema vitu vichachu km ndimu,limao maembe n.k ndio nikila yananisumbua
Tumia limao kwa wingi lina Alkaline nyingi ambayo ni anti desease, chungwa ndio achana nalo kabisa lina citric acid hata juice yake achana nayo.
 
Tumia limao kwa wingi lina Alkaline nyingi ambayo ni anti desease, chungwa ndio achana nalo kabisa lina citric acid hata juice yake achana nayo.
Yaani chungwa likilitia tumboni dakika sifuri tu naanza kuipata fresh. Mie machungwa nannulia wtt tu mie sili.
Hayo malimao yanapatikana basi. Mie kwa macho yasijayaona muda mrefu. Sokoni ni mwendo wa ndimu, ukwaju na embe mbichi za mchuzi
 
Ndimu ni familia ya Lemon, ukikosa limao ndimu fresh tu, ila nakushauri ndimu uwe unanunuwa kwenye masoko makubwa zile ndimu kubwa fungu shilling 3000.
 
Achana na kachumbari, hakikisha unakunywa maji Safi.....nimeteseka sana na tumbo kujaa gesi na kuunguruma......tokea nimebadili life style niko sawa now......Yani maji ya kunywa na kupigia mswaki nahakikisha nimechemsha mwenyewe simuagizi hata dada, kunawa mikono hapa kwangu ni Sheria, sio mtu anakurupuka huko mikono hajanawa achuje Nazi, Yani atakuna nyingine......wananijua ni kunawa before anything......vidudu vinatesa balaa.
 
Back
Top Bottom