Ongezeko la wagonjwa wenye Vimelea vya Helicobacter Pylori nini Shida

Mkuu nakutafuta sana unisaidie but hupatikani.Naomba unisaidie hata maelekezo tu ya matumizi ya hizi toka US dawa.Kwani aliyeniletea hajapewa maelekezo yeyote.
 
Asntee sanaa mkuu...Niko hapa naugulia H pylori ..nmetumia PPI ila bdo sioni unafuu...
Pole sana mkuu utapona pendelea kula kwa wakati kula sana maparachichi kula sana matango choma sindano ya pantoprazole kama una maumivu sana anza kliniki kama upo dar es salaam muhimbili Kuna Daktari bingwa wa tumbo utapona tu inshallah
 
Asante kwa ushauri mkuu..nipo Mwanza na hosptali nnayopata huduma ni Agha khan...nlienda kwa specialist last week ndo kanianzishi hyo tiba ila kanambia baada ya siku 14 nimrudie Ili nifanye tena checkup...ndo hivo bdo hali haijaka sawa...kuna siku unaamka poa ila siku nyingine ndo hivo..kuchoka,viungo+kichwa kuuma....
 
Pole sana mkuu utapona pendelea kula kwa wakati kula sana maparachichi kula sana matango choma sindano ya pantoprazole kama una maumivu sana anza kliniki kama upo dar es salaam muhimbili Kuna Daktari bingwa wa tumbo utapona tu inshallah
Na kinachoniwazisha Zaid ni kuona baadhi ya watu wameleta mrejesho kwamba bdo wanasumbulia baada ya kupata tiba ...mbaya Zaid wengine wanasema wamekaa Hadi miaka mitano...nlivyoona reply yako kuwa umepona kidogo nikasema nkuulizie naweza kupata matumaini tena
 
Utapona kaka muhimu usile vitu vyenye asidi tu kama ni asubuhi tafuta mchai chai achana na chai ya tangawizi au majani ya chai
 
Ni hivi bacteria wamejaa kwenye mwili wa binadamu yoyote yule anayeishi ndio wanasaidia to break down food kuwa energy wewe kutembea, kufikiri, kufanya kila kitu.

Ni hivi bacteria inabidi wawe sehemu sahihi. Wasipo kuwa sehemu sahihi ndio inakuwa tatizo. HP bacteria ni muhimu kwenye mwilini sehemu yao. Msikilize Yahki Awakened akielezea zaidi kwa undani kuhusu hili. Nimeweka Video zinatolewa.
 
Utapona kaka muhimu usile vitu vyenye asidi tu kama ni asubuhi tafuta mchai chai achana na chai ya tangawizi au majani ya chai
Hapa nimekupata vzur mkuu...kwa maana hyo kumbe lishe nayo Ina nafac kubwa ..ngoja nianze kulitekeleza hili..nmeshukuru sanaa kwa mchango wako mkuu ...nlikiwa sawa nitakupa mrejesho pia
 
Shida ni watu hawali chakula kwa usahihi
Mnadanganyana tu, ukitaka usiuguwe vidonda vya tumbo ishi kwa life style kama kipindi cha covid 19.

Make sure mwili wako una Alkaline nyingi na Alkaline inapatikana kwa wingi kwenye limao.

Kinyume na hapo mtu yeyote anayeishi Africa kutopata vidonda vya tumbo ni bahati tu ni lazima vikupate sababu kuu ni stress.
 
Daktari, hayo unayoyasema yote yako kwenye kula chakula hai kwa usahihi
 
Oral sex bila shaka, usasa na social media ndio vimeleta ongezeko.

Zamani hii michezo ya kunyonyana na kulambanalambana haikuwepo, zamani msosi ukiwekwa mezani ni kuliwa tu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…