Ongezeko la Wanawake (Mabinti) Wenye Vitambi (Obesity) Mtaani

Bora useme hivyo kuliko kusingizia matumbo kuwa yanaleta shida muda wa kuchakata mbususu...mjegejo haujawahi kukwamishwa na tumbo/kitambi.

#MaendeleoHayanaChama
Sawa bwana wacha sie vibami tukubaliane na hali zetu
 
Kuna mtu pia alisema, nyama hainenepeshi kama wengi wanavyodhani.

Kama ingekua inanenepesha mbona tembo anakula majani na bado ni kibonge πŸ˜„πŸ˜„

Hii inahitaji ufafanuzi kidogo mkuu
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Yaani mwanamke akiwa mfupi,kibonge afu akavaa nguo nyekundu akitembea barabarani ukiwa mbaali unaweza kudhani ni kibanda cha m-pesa kinatembea aisee.
 
Bora useme hivyo kuliko kusingizia matumbo kuwa yanaleta shida muda wa kuchakata mbususu...mjegejo haujawahi kukwamishwa na tumbo/kitambi.

#MaendeleoHayanaChama
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Yaani mwanamke akiwa mfupi,kibonge afu akavaa nguo nyekundu akitembea barabarani ukiwa mbaali unaweza kudhani ni kibanda cha m-pesa kinatembea aisee.
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Wengine tunasingizia tunanyonyesha ndo mana tunakula sana[emoji1751][emoji1751]
πŸ₯±πŸ₯±πŸ₯±πŸ₯±πŸ₯±πŸ₯±πŸ₯±πŸ₯±πŸ₯±πŸ₯±
 
Usiwaone ivo wengine ni wagonjwa!! ma fibroids!! myomas ndo zinaongoza na wengi hawapendi kunyapuliwa! hawafurahii!
 
Usiwaone ivo wengine ni wagonjwa!! ma fibroids!! myomas ndo zinaongoza na wengi hawapendi kunyapuliwa! hawafurahii!
Jamani inabidi Twende Nao pole pole mwayaa, Watu wanapitia Mengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…