Ongezeko la Wanawake (Mabinti) Wenye Vitambi (Obesity) Mtaani

Ongezeko la Wanawake (Mabinti) Wenye Vitambi (Obesity) Mtaani

Kuna mtu pia alisema, nyama hainenepeshi kama wengi wanavyodhani.

Kama ingekua inanenepesha mbona tembo anakula majani na bado ni kibonge 😄😄

Hii inahitaji ufafanuzi kidogo mkuu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Wanawake hali ni mbaya zaidi.

Mnapoteza mvuto kabisa, mnaonekana wamama. Dogo wa 25 yrs anakua kama ana 40 yrs kisa ndambi na minyama uzembe kibao. Na bora awe mrefu sasa, hili janga huwapata sana wanawake wafupi.

Hakuna nguo itamkaa mwanamke mwenye ndambi ya kwenda, bora hata wanaume huvaa suti walau huonekana nadhifu hata kama ana kitambi.

Pia kwa mwanaume kitambi hakionekani akiwa na pesa, lakini mwanamke hata awe na pesa kiasi gani bado ataonekana mbovu na muonekano mbaya kisa ndambi.
Yaani mwanamke akiwa mfupi,kibonge afu akavaa nguo nyekundu akitembea barabarani ukiwa mbaali unaweza kudhani ni kibanda cha m-pesa kinatembea aisee.
 
Yaani mwanamke akiwa mfupi,kibonge afu akavaa nguo nyekundu akitembea barabarani ukiwa mbaali unaweza kudhani ni kibanda cha m-pesa kinatembea aisee.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Usiwaone ivo wengine ni wagonjwa!! ma fibroids!! myomas ndo zinaongoza na wengi hawapendi kunyapuliwa! hawafurahii!
 
Usiwaone ivo wengine ni wagonjwa!! ma fibroids!! myomas ndo zinaongoza na wengi hawapendi kunyapuliwa! hawafurahii!
Jamani inabidi Twende Nao pole pole mwayaa, Watu wanapitia Mengi.
 
Back
Top Bottom