Somalia sio mwanachama wa EAC.SOmalia ni mwanachama wa EAC...!
Atakaye fata ni Ethiopia, Malawi na Zambia...!
Msumbiji bado tuna mfikiria japo anaweza kuwa sehemu ya jumuiya kwa siku za usoni...!
Bila kuwa sahau wangazija huko Comoros nk
bado wewe ni mjinga na mpumbavu. matamshi ya Ja kwa kisomali ni cha. ikiandikwa joog kwa kisomali utatamka choog. jareer utatamka chareer
Somalia sio mwanachama wa EAC.
Ila hualikwa tu katika vikao vyake.
Kama ni mwanachama kwann rais wa Somalia alipoalikwa katika ufunguzi wa barabara za EA kule Arusha alisema anasikitishwa kutokukubaliwa kuwa mwanachama licha ya kualikwa kote na maombi alishatuma???
Mh!!!!! Ngoja nihakikishe ila kama ni kweli amekubaliwa EAC itakua ina limbi la mataifa wanachama wenye shida maana EAC ni Tanzania pekeake yupo stable.Amekubaliwa kua mwanachama mkuu tangu 2023
Dada historia hujui umebugi pakubwa.Huwa sikisii.
Wabantu ni wakuja tu. Olduvai hakuna mbantu wa asili ya pale, unwaona Warangi, wabantu wale? Unawaona wasandawe, wabantu wale? Unawaona wambulu, wabantu wale? Unawaona wanyaturu ambao hawajachanganya na wasukuma na wanyamwezi, wabantu wale?
Kasome kijana.
Sasa Tanzania ni Congo?
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Madam leo kabugi kihistoria.Em lala utoe wenge la usingizi πππ East africa ni ya wasomali? Au ndo methodology yenu mlionayo ili mlianzishe huku kwetu? Tutawapiga hadi tuwapande....huna hoja pitia notes zenu utajua asili yenu wapi sio kariakoo na buguruni wewe
Yote mawili ni sahihi.Ni lafidhi tu.Wasomali wanaita Jareer siyo charer
Charer [emoji777]= Jareer[emoji736]
Wabantu ni wakuja na walikuta wenyeji ardhi hii.Dada historia hujui umebugi pakubwa.
Arusha wale wamasai,wamburu na Singida wanyaturu ni wahamaji .
Wamburu asili yao wanaitwa iraqw walihama miaka ya 1860s toka Capricon Ethiopia pamoja na wenzao wanyaturu ambao jina lao asili ni Arimi wao walihamia Tanzania toka Capricon miaka ya 1880s kukimbia njaa Ethiopia.
Wanyaturu hilo jina wamepewa na wanyamwezi kwa kupenda kuwinda wanyamwezi walikua wakiwaita batururu maana walikua wakitoa hiyo milio kipindi wanawinda ndio ikabadilika kuwa wanyaturu ilhali kabila lao asili ni Arimi.
Wairaqw walifikia milima mburu wamasai wakawabatiza jina wamburu maana walitia nanga milima mburu.
Na hao wamasai pia wahamiaji toka jamii za ufugaji za North Afrika .
Waislamu ni watu wavurugu na vita muda wote ndiyo maana China haitaki hata kuwasikia. Waislamu wakiwa wengi huanzisha vikundi vya kigaidiHuna jipya,, unawachukia tu Kwasababu ni waislam
Katika makabila manne asili ya Afrika bantu,khoisan,Cushites na Nilote.Ila kabila lina mizizi yake.Wabantu ni wakuja na walikuta wenyeji ardhi hii.
Unaongea utumbo.Waislamu ni watu wavurugu na vita muda wote ndiyo maana China haitaki hata kuwasikia. Waislamu wakiwa wengi huanzisha vikundi vya kigaidi
1. Sudan
2. Libya
3. Palestina
4. Somalia
5. Mali
6. Pakistan
7. Nigeria
8. Iraq
9. Msumbiji
Mfano mzuri, hapa Tanzania, wanabifu wao kwa wao na Bakwata.
Ndo umeongea pumba gani Sasa? Au umeshiba michembe?Waislamu ni watu wavurugu na vita muda wote ndiyo maana China haitaki hata kuwasikia. Waislamu wakiwa wengi huanzisha vikundi vya kigaidi
1. Sudan
2. Libya
3. Palestina
4. Somalia
5. Mali
6. Pakistan
7. Nigeria
8. Iraq
9. Msumbiji
Mfano mzuri, hapa Tanzania, wanabifu wao kwa wao na Bakwata.
Afrika ya magharibi, nchi za waislamu wanapinduana kijeshi yaani kuuana kwao ni kawaida halafu wanasingizia Marekaniπππππ
Sawa wewe uliyeandika nyamaππππUnaongea utumbo.
Bifu la bakwata hapa Tanzania halihusiani na ugaidi wala nn ni la kidhehebu.
Qatar,Kuwait,Bahrain,UAE,Turkiye, kote huko ni mataifa ya kiislam mbona hakuna ugaidi???
Hayo mataifa unayotaja yanapigania uongozi kikabila na yanatumia mwamvuli wa dini.
Nimeongea pumba kama za waislamu na Bakwata.πππNdo umeongea pumba gani Sasa? Au umeshiba michembe?
Ushapata bwana? Papa karuhusu ujueNimeongea pumba kama za waislamu na Bakwata.πππ
Soma Hadithi idadi:16,245 ya Mu'waiya Abu ibn Sufyan na uone wapi yalikua makao makuu ya ushogaUshapata bwana? Papa karuhusu ujue
Kwank Bantu Somali ni Wakristo!? Hizo dini za kuletewa zimewafanya muwe misukule! Shughulisha akili yako.Huna jipya,, unawachukia tu Kwasababu ni waislam
jareer ni sawa uandike michael na chareer ni sawa na uandike maiko. na hisi umenielewa wewe sufuriaHapa kuna matamshi au kuna maandishi nielimishe mjinga mm
Matamshi yanawasilishwa na nn??