Ongezeko la wasomali Tanzania linaweza kutishia Amani na Kutufanya vibaraka siku za usoni!!

Vurugu muwafanyie nyinyi Waislam halafu wao wakae kimya tu wasijibu?

Wewe umeandika majina ya nchi tu, huo ndiyo upoyoyo wenyewe.

Mbona anti balaka hujwaandika wapo nchi gani?
 
Idadi yao ni ndogo mno! Wasiwasi uliopo ni vitendo vya kiharifu kama ugaidi na uwindaji haram wa wanyama mf.Tembo, nk
 
Wewe hata unachokisoma hukielewi.

East African Coast Wasomali wapo kabla ya Wabantu.
Aisee, kuna wakati kukaa kimya ni busara zaidi ya kuchangia usiyoyajua. Kila mada lazima uforce iegemee kwenye mlengo wako! Si bure, afya ya akili yako ina mushkeri.
 
Vurugu muwafanyie nyinyi Waislam halafu wao wakae kimya tu wasijibu?

Wewe umeandika majina ya nchi tu, huo ndiyo upoyoyo wenyewe.

Mbona anti balaka hujwaandika wapo nchi gani?
Zanzibar ukila mchana kipindi cha Ramadhan, waislamu mapoyoyo wanakuja na fimbo wakuchape unawatamanisha kula๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Umekula saa 1 usiku, muda wote mnakula mpk saa 9 usiku mnakula halafu mchana mtu akila bado anataka kukuchapa๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Umefunga kula halafu unabeba fimbo, si vurugu hizo kwanini usitumie njia ya mdomo tu kumuelewesha mtu.
Waislamu mapoyoyo hawaelewani na Bakwata
 
Elimu yote 7nayoijuwa leo hii duniani, kasome uelewe imetokea wapi.

Waislam ndiyo waliokustaarabisha wewe.

Au wewe siyo mstaarabu?

Miaka michache tu nyuma ilikuwa bara huko ukiongea Kiswahili wanasema anaongea "Kiisiramu".
Huo ustaarabu wa Kiislam mbona siuoni huko Uislam uliposambaa mfano Ujiji, Tabora, Lindi, Mtwara n.k? Maeneo hayo niliyotaja ndo mmejaa Wavaa kobazi na bado ndo yana tabia za kishenzi na ujinga uliokithiri! Uislam ndugu yake ni Ujinga.
 
Huo ustaarabu wa Kiislam mbona siuoni huko Uislam uliposambaa mfano Ujiji, Tabora, Lindi, Mtwara n.k? Maeneo hayo niliyotaja ndo mmejaa Wavaa kobazi na bado ndo yana tabia za kishenzi na ujinga uliokithiri! Uislam ndugu yake ni Ujinga.
Wewe siyo mstaarabu?
 
Tuwe makini sana na hao wasomali,waarabu,wachina na race nyingine,wasipate nguvu za kisiasa wala kiuchumi,hasa kisiasa.
Kiuchumi hatuna namna ya kuwazuia na kanuni inaeleweka, mwenye nguvu ya uchumi ndo atayeendesha mengine yote ikiwa ni pamoja na siasa.
 
Hayo yanahusiana nini na hii mada?
 
Hakuna muislam asiyeelewana na bakwata bali kuna kutofautiana katika nyanja ya elimu ya dini kati ya bakwata na sunni.
Nimeishi Zanzibar sijaiona hilo unalosema.
Ingelikua hivyo Ramadhan watalii wasingelikuwepo.
 
Reactions: Tui
Hapo mkuu umekosea .
Wasomali wametoka ukanda wa Yemen.
Yemeni na Wasomali baba mmoja mama mmoja.
 
Nimewahi ama tumewahi kusaidiwa na wasomali au familia ya kisomali walikuwa wanatuchukulia kama ndugu Zao kabisa,nimesoma mimi na Dada zangu elimu ya Dini, nyumbani Kwa wasomali,tumekula chakula cha wasomali wanacho Kula wao,nime nunuliwa vitu vingi na wasomali bila ubaguzi wowote,sijawahi kuona mabaya kama unavyotaka kutuaminisha Hawa jamaa wanaishi kiimani ya Dini ya kiislamu, Si dhani kama wanalengo baya lolote kama unavyotuaminisha tuwachukie.

Kwa niliyo yaona kwenye maisha jamaa wanamuweka Mungu mbele katika kila Jambo Lao ndio maana wanapofanya shughuli yeyote ya utafutaji wa Rizki wanafanikiwa.

Tuache chuki na ndugu zetu wasomali.
 
Bibie kashalewa ugoro.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ