Ongoing projects in Dar es Salaam Tanzania East Africa 2017

Utaona nini ukiwa nawe ni kipofu!!!
KIPOFU ANA SHIDA GANI? si mtu aliyeumbwa na Mola? kipofu au la sisi sote tuko equal....ila pole nimesahau nyie mnakula mpaka Albino...so sad ndio maaana waona jina "kipofu" ni kama matusi kwako....huenda ukazaa watoto vipofu hao unawadharau
 
Ujumbe wako kupitia hizi picha ni upi maana yake hata mimi nikipita mitaa hiyo nayaona hayo mamiradi?

Kwanza ni kuwajulisha wengine kinachoendelea, kuna mikoa mingine mingi sana ukitoa Dar na watanzania wanaishi huko. Pili hata kwa wewe na wengine wa Dar mnaweza tu kuona ujenzi bila kujua ni jengo au mradi gani. Si mbaya kama akatujuza.
 
Mwenye video ya Ashim Lungwe anayouliza nchi imepinda kwenda wapi aiweke hapaaa
 
Kabla ya kuingia huyu wa sasa
NHC ilikuwa yaenda spidi ana
Pale Kawe leo hii pangekuwa pamemalizika maana spidi ilikuwa kubwa sana
Moroco Square ingekuwa ineisha maana spidi ilikuwa kubwa hivi sasa NHC imesimamisha ujenzi Kawe toka huyu wa sasa aingie pale hapajapanda kabisa
Real estate watakinywea kikombe maana hali ni mbaya sana
Magorofa mengi wengine wanaendelea maana hawawezi simamisha kwani gharama zitakuwa kubwa wakijaendeleza
 
Absolutely
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…