Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani JPM angekuwa na mentality ya JMK, Dar ingetisha Africa!Dar. inakuwa kwa kasi sana
Sio Dar tu bali Tanzania mzima.Yani JPM angekuwa na mentality ya JMK, Dar ingetisha Africa!
KIPOFU ANA SHIDA GANI? si mtu aliyeumbwa na Mola? kipofu au la sisi sote tuko equal....ila pole nimesahau nyie mnakula mpaka Albino...so sad ndio maaana waona jina "kipofu" ni kama matusi kwako....huenda ukazaa watoto vipofu hao unawadharauUtaona nini ukiwa nawe ni kipofu!!!
Ujumbe wako kupitia hizi picha ni upi maana yake hata mimi nikipita mitaa hiyo nayaona hayo mamiradi?
Ipo karibu na Posta ya zamani mkuu..IPO wapi hii
Earlier 2017 these things will be looking like this..
Hiyo noma
Mkuu nazingua nini?Mnazingua hebu acheni mambo ya kitoto.
AbsolutelyProject nyingi ni majengo marefu...ujenzi wa barabara na madaraja bado ni hafifu mji umezidiwa na idadi ya watu miundo mbinu ni ya enzi za Mwl...hivi tunashindwa buni njia mbadala kwa kuongeza upana wa barabara zilizopo maana hata kama zitajengwa mpya bado zinajengwa kwa mtindo wa kizamani lane 2 ama 4.Hatufikirii zaidi ya hapo