Aneel munawar
JF-Expert Member
- Aug 1, 2017
- 4,580
- 8,141
usibishane na loser...muache afanye kazi mpaka makalio yatoke jashoYes, hakuna pesa rahisi wala ya kuokota. Hata ile unayoipata baada ya mtu mwingine kupoteza haijaokotwa bali imepatikana kwa jasho au akili.
Surely, kuna pesa inayopatikana bila jasho ila zinahitaji uthubutu na akili.
sio kamari ni utabiri.Na hawa ndo wanaume zetu wacheza kamari!
sio kamari ni utabiri.
.hebu ntajie biashara yoyote ambayo ukiwa na 100k unapata 40k ...kwa siku moja...?jamani kazi za watu hizi..
Wadanganye bahati yako wailalie mlango wazi (kama walivyofanya kwenye Forex). Gambling is a hell of a drug na ikikukolea hata kokeini cha mtoto. Utauza mpaka vijiko [emoji16][emoji16]
Isitoshe michezo yote hii inaendeshwa kwa mehesabu. Kuliwa lazima utaliwa tu utake usitake. Ni suala la muda tu !!!
ngoja nijaribu mkuuAndika PMbet, au Meridian Tanzania au jina la kampuni yoyote maarufu kisha nenda mahali pa REGESTER then depose pesa kisha jizolee pesa.
Achana ña kubashiri mipira kwa kutaka mamilioni. Cheza casino utengeneze pesa.
Kasie bwana. Nakusomaga sana. You are one of a kind. Always jovial, funny and positive. I like that...Tabasamu lako tuu na jinsi unanitizama mie hoooii maana hupigi hata ukope kupoteza sekunde ya kutonitazama....
Nakuhamuuu....
Matata K.
Kasie bwana. Nakusomaga sana. You are one of a kind. Always jovial, funny and positive. I like that...
Kila kitu akatika maisha ni kamariKununua hisa ni haramu au halali?
Maana hisa nazo ni kama bahati nasibu(kamari).
Mwanamke Kuzaa nako ni KAMARI, maana kuna BLIGHTED OVUM, MISCARRIAGES, IUFD na mengine kibwena..Kila kitu akatika maisha ni kamari
1. Unakuwa na malengo ya kilimo una invest pesa nyingi lakini hali ya hewa inakataa pesa yote imeisha ( mkeka umechanika)
2. Unakuwa na wazo la biashara una invest fedha nyingi za matengenezo na miundo mbinu ya hiyo biashara mwisho wa siku wateja hakuna (mkeka umechanika)
3. Unahamasika kusoma ili uje upate kazi nzuri, unakesha usiku kucha wazazi wanauza kila kitu mwisho wa siku matokea zero (mkeka umechanika)
4. Unakuwa na hamasa ya kuwa na mke mwema , tena unashauriwa nenda kijijini kwako ukaoe kabila na mshika dini yako...kweli unampata siku za mwanzo mnaheshimiana lakini baadaye unasikia washkaji wanajimegea bila aibu ....(mkeka umechanika)
Kamari noma! Mie nilipigwa kama laki 7 kizembe na SUPERBET.. nilikuwa nacheza ile VIRTUAL LEAGUE maana niligundua njia flani ambayo lazima niwale maana nilikuwa nakomaa na tukio moja, kwamba maximum hela kuliwa haizidi mara 6 kwahiyo safari ya 7 narudisha hela zangu na faida juu... Basi wakanigundua na kunipiga bonge la BAN na hela zangu za kianzio karibia laki 7 ikapotelea hukohuko...
Makampuni ya kibongo wahuni sana, makampuni ya nje hayana hayo mambo ya kukupiga ban kkrahisi hivyoKamari noma! Mie nilipigwa kama laki 7 kizembe na SUPERBET.. nilikuwa nacheza ile VIRTUAL LEAGUE maana niligundua njia flani ambayo lazima niwale maana nilikuwa nakomaa na tukio moja, kwamba maximum hela kuliwa haizidi mara 6 kwahiyo safari ya 7 narudisha hela zangu na faida juu... Basi wakanigundua na kunipiga bonge la BAN na hela zangu za kianzio karibia laki 7 ikapotelea hukohuko...
Mimi nachezaga live casino tu, hizo games na slots sijawahi kuzielewa ebu tumpe intro kidogo zinavyochezwaHuu upepo wa Mzee Magu usipotumia akili kidogo badala yake ukatumia mabavu lazima uumbuke.
casino ip hiyo inatoa sana maana mm naona nyingi nying tu hapa hata sielewi mara seven fruit casino kibaoMimi nachezaga live casino tu, hizo games na slots sijawahi kuzielewa ebu tumpe intro kidogo zinavyochezwa
Hizo ndio hata mimi sizielewi ikimpendeza hatakuja kutueleza.casino ip hiyo inatoa sana maana mm naona nyingi nying tu hapa hata sielewi mara seven fruit casino kibao
ipi iyo...na uwe umekaaa..yani hutoki jasho wala huchomekei40 tu? mbona na zaidi zipo?
Haa nasema umemaliza tena kwa dhati kabisa umemaliza kazi...!Kila kitu akatika maisha ni kamari
1. Unakuwa na malengo ya kilimo una invest pesa nyingi lakini hali ya hewa inakataa pesa yote imeisha ( mkeka umechanika)
2. Unakuwa na wazo la biashara una invest fedha nyingi za matengenezo na miundo mbinu ya hiyo biashara mwisho wa siku wateja hakuna (mkeka umechanika)
3. Unahamasika kusoma ili uje upate kazi nzuri, unakesha usiku kucha wazazi wanauza kila kitu mwisho wa siku matokea zero (mkeka umechanika)
4. Unakuwa na hamasa ya kuwa na mke mwema , tena unashauriwa nenda kijijini kwako ukaoe kabila na mshika dini yako...kweli unampata siku za mwanzo mnaheshimiana lakini baadaye unasikia washkaji wanajimegea bila aibu ....(mkeka umechanika)