Online casino zinalipa wazee, ukithubutu na ukiwa makini tu unapata pesa

Yes, hakuna pesa rahisi wala ya kuokota. Hata ile unayoipata baada ya mtu mwingine kupoteza haijaokotwa bali imepatikana kwa jasho au akili.
Surely, kuna pesa inayopatikana bila jasho ila zinahitaji uthubutu na akili.
usibishane na loser...muache afanye kazi mpaka makalio yatoke jasho
 
kamari inaniingizia sana pesa kupita biashara yoyote ile , nikiwa na elfu kumi leo, jumatatu naamka na elfu thelasini. nitaacha kamari siku nikifa
 
Wadanganye bahati yako wailalie mlango wazi (kama walivyofanya kwenye Forex). Gambling is a hell of a drug na ikikukolea hata kokeini cha mtoto. Utauza mpaka vijiko [emoji16][emoji16]

Isitoshe michezo yote hii inaendeshwa kwa mehesabu. Kuliwa lazima utaliwa tu utake usitake. Ni suala la muda tu !!!

Tabasamu lako tuu na jinsi unanitizama mie hoooii maana hupigi hata ukope kupoteza sekunde ya kutonitazama....

Nakuhamuuu....

Matata K.
 
Andika PMbet, au Meridian Tanzania au jina la kampuni yoyote maarufu kisha nenda mahali pa REGESTER then depose pesa kisha jizolee pesa.
Achana ña kubashiri mipira kwa kutaka mamilioni. Cheza casino utengeneze pesa.
ngoja nijaribu mkuu
 
Tabasamu lako tuu na jinsi unanitizama mie hoooii maana hupigi hata ukope kupoteza sekunde ya kutonitazama....

Nakuhamuuu....

Matata K.
Kasie bwana. Nakusomaga sana. You are one of a kind. Always jovial, funny and positive. I like that...
 
Kununua hisa ni haramu au halali?
Maana hisa nazo ni kama bahati nasibu(kamari).
Kila kitu akatika maisha ni kamari

1. Unakuwa na malengo ya kilimo una invest pesa nyingi lakini hali ya hewa inakataa pesa yote imeisha ( mkeka umechanika)

2. Unakuwa na wazo la biashara una invest fedha nyingi za matengenezo na miundo mbinu ya hiyo biashara mwisho wa siku wateja hakuna (mkeka umechanika)

3. Unahamasika kusoma ili uje upate kazi nzuri, unakesha usiku kucha wazazi wanauza kila kitu mwisho wa siku matokea zero (mkeka umechanika)

4. Unakuwa na hamasa ya kuwa na mke mwema , tena unashauriwa nenda kijijini kwako ukaoe kabila na mshika dini yako...kweli unampata siku za mwanzo mnaheshimiana lakini baadaye unasikia washkaji wanajimegea bila aibu ....(mkeka umechanika)
 
Kamari noma! Mie nilipigwa kama laki 7 kizembe na SUPERBET.. nilikuwa nacheza ile VIRTUAL LEAGUE maana niligundua njia flani ambayo lazima niwale maana nilikuwa nakomaa na tukio moja, kwamba maximum hela kuliwa haizidi mara 6 kwahiyo safari ya 7 narudisha hela zangu na faida juu... Basi wakanigundua na kunipiga bonge la BAN na hela zangu za kianzio karibia laki 7 ikapotelea hukohuko...
 
Mwanamke Kuzaa nako ni KAMARI, maana kuna BLIGHTED OVUM, MISCARRIAGES, IUFD na mengine kibwena..
 
Kwa nini wakupige ban. Kwani njia hiyo haikuwa halali?
Kamari noma! Mie nilipigwa kama laki 7 kizembe na SUPERBET.. nilikuwa nacheza ile VIRTUAL LEAGUE maana niligundua njia flani ambayo lazima niwale maana nilikuwa nakomaa na tukio moja, kwamba maximum hela kuliwa haizidi mara 6 kwahiyo safari ya 7 narudisha hela zangu na faida juu... Basi wakanigundua na kunipiga bonge la BAN na hela zangu za kianzio karibia laki 7 ikapotelea hukohuko...
 
Kamari noma! Mie nilipigwa kama laki 7 kizembe na SUPERBET.. nilikuwa nacheza ile VIRTUAL LEAGUE maana niligundua njia flani ambayo lazima niwale maana nilikuwa nakomaa na tukio moja, kwamba maximum hela kuliwa haizidi mara 6 kwahiyo safari ya 7 narudisha hela zangu na faida juu... Basi wakanigundua na kunipiga bonge la BAN na hela zangu za kianzio karibia laki 7 ikapotelea hukohuko...
Makampuni ya kibongo wahuni sana, makampuni ya nje hayana hayo mambo ya kukupiga ban kkrahisi hivyo
 
Mimi nachezaga live casino tu, hizo games na slots sijawahi kuzielewa ebu tumpe intro kidogo zinavyochezwa
casino ip hiyo inatoa sana maana mm naona nyingi nying tu hapa hata sielewi mara seven fruit casino kibao
 
Hizo ndio hata mimi sizielewi ikimpendeza hatakuja kutueleza.
Mimi nacheza roulette hiyo ni tofauti na anazosema
 
Kila kitu akatika maisha ni kamari
1. Unakuwa na malengo ya kilimo una invest pesa nyingi lakini hali ya hewa inakataa pesa yote imeisha ( mkeka umechanika)
2. Unakuwa na wazo la biashara una invest fedha nyingi za matengenezo na miundo mbinu ya hiyo biashara mwisho wa siku wateja hakuna (mkeka umechanika)
3. Unahamasika kusoma ili uje upate kazi nzuri, unakesha usiku kucha wazazi wanauza kila kitu mwisho wa siku matokea zero (mkeka umechanika)
4. Unakuwa na hamasa ya kuwa na mke mwema , tena unashauriwa nenda kijijini kwako ukaoe kabila na mshika dini yako...kweli unampata siku za mwanzo mnaheshimiana lakini baadaye unasikia washkaji wanajimegea bila aibu ....(mkeka umechanika)
Haa nasema umemaliza tena kwa dhati kabisa umemaliza kazi...!
 
Hizi kama haujaanza nakushauri usijaribu. Bora betting ya mpira kuliko online casinos. Maana hizi nyingi ni 24/7 na hela ni kama shetani unaweza cheza siku nzima.
Nishawahi poteza 3M ndani ya masaa 3 tu kwa kucheza Black Jack
 
Ni kweli mkuu lakini zina muda wake
Screenshot_20200814-221250.jpg
Screenshot_20200813-205537.jpg
 
Back
Top Bottom