Only Men: Ulivyokua school Watoto wakike walikua wanakupendea nini?

Ebana eeh umenikumbusha mbali ... Totozi zilikuwa zinanizimia kinoma maana kwanza nilikuwa smart sio kitoto halafu nilikuwa niko vizuri kuongea kimombo maana shule ya msingi nilisoma shule nzuri japo nilikuwa nanga ila nilipoenda secondary za kawaida na mimi nikaonekana the best hasa kweye kuongea kimombo na hata darasani nilikuwa naburuza sana nafasi za juu. Midahalo ya shule na debates nilikuwa naitwa hata kama naumwa.

Niliopofika kidato cha pili tu nikagombea kuwa HP nikapita kwa kishindo nikawakalisha form three mpaka form four. Nakumbuka miaka hiyo ndio simu zimeanza kuwa nyingi mimi nilikuwa na simu aina ya Nokia alinipaga kaka yangu nilivyoingia tu form two kwa ufaulu aloniahidi sasa pale shule ilikuwa mimi na second Master tu ndio tulikuwa na simu. Watoto wote full kunifata mpaka home wanaonba kubeep wapendwa wao [emoji23][emoji23]

Headmaster nae mwanzoni kabisa hakuwa na simu alikuwa angongea kwangu pamoja na Maticha mademu wote aisee nilikwa maarufu, Nilikula mpaka walimu wangu wawili mmoja alikuwa mwalimu wa kujitolea na mwingine mwajiriwa kabisa nilkula sana mpaka wakajuana ikawa kesi mpaka kwa Head Master akajua. Uzuri headmaster alikuwa ananiamini na alikuwa rafiki yangu balaa akanambia tu kirafiki.

Mambo yalikuwa mengi mno by the way teacher mmoja mpaka leo ni pumziko langu nikiendaga home likizo anipa mbususu bila kinyongo japo now kaz
alislihwa watoto wawili. Hongera kwako Madam B.
 
O level walinibatiza jina "Sukari yao" HB, kichwa class,afu basketballer wataponea wap nlikula almost pisi zote kali plus kunihongaπŸ˜†
Sema Basketballer wahuni sanaπŸ˜‚πŸ˜‚βœŒβœŒ
 
Daah! Umenikumbusha wakati nipo O-level kidato cha 3, halafu Pisi kali ipo form 5,wakati huo ni Waziri wa Taaluma, Basketballer halafu handsome boy

Oyaa Ile kazi ilinielewa sana, halafu muhuni hata sielewi yani, Pisi mixer kuniletea zawadi za Chocolate na soda, nilikuwa najikuta kishenzi

Sema nini?, Nilipofika chuo ndo tukaelewana ila now kaolewa na muhimu zaidi naendelea kupiga mke wa mtu, Mwanangu aliyeoa hii kazi anisamehe sana, coz sina namna
 
Mimi nilikuwa kichwa class , nikawa Nina convoy la madem Ila siwachapi, nikawa nachapa mimama kitaa Kwan ilikuwa one stop kiki, Hawa wanafunzi ilikuwa had umlete geto ni mchakato, so nkawa nawapotezea
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] Daah Maanina walahi hii ndo JF kila mtu HB, kila Mtu alikuwa wa kwanza Darasani! Tukija story za maisha basi kila Mtu ana gari [emoji38][emoji38][emoji38] ila Chai za JF tamu sana! Oi Mwanangu @kidukulilo tumemiss Chai zako
 
[emoji23][emoji23] mkuu hakuna mtu anayejiangalia Kwenye kioo alafu aseme anasura mbovu trust me, sema tu atahisi amezidiwa na fulani au fulani [emoji111][emoji23]

Sema kwa chai kweli wanazingua maana kila mtu maisha safi humu [emoji23]
 
Only men...[emoji16]
Kila mtu atajifanya hapa alikua na hela, mzuri, msafi, mpole na anaongoza darasani mkwendreeeee hukooooo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mimi nilikuwa Pastor, sikuwa mtu wa mademu kabisa, but math ilinipa marafiki wengi, ke walitamani kulipa fadhila kwa msaada niliokuwa nawapa but upasta ulinizidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…