Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,074
- 20,608
HihihihihiYajayo yanasikitisha.
Hahahah nimecheka ki mbwa yani.Sasa jamaa atawatambua wabongo kasepa na mzigo wote...au anaenda kumuunga mkono raid ktk viwanda.....na huu(...) ulikuwa unaendelea aisee kuna rafiki yangu huko alipo mashavu yatakuwa yamevimba kwa hasira......
mpaka hapa nazidi kula popcon zangu Cre ni mwizi waziwazi, ameona watu wamejanjaruka msimshitaki yeye washitakini Jp Markets huyu jamaa kuna kamchezo anakajua
Wakushtakiwa ni JP markets maana yeye ndo broker anaetakiwa akae na hela zenu, sasa wao JP ndo waishtaki TMT kudai hela za wateja wakempaka hapa nazidi kula popcon zangu Cre ni mwizi waziwazi, ameona watu wamejanjaruka msimshitaki yeye washitakini Jp Markets huyu jamaa kuna kamchezo anakajua
Ulisoma Terms and Conditions za Jp market ulipofungua account yako kwake? Kama ndio moja ya vipengele vinasemaje kuhusu ushirika wake na TMT kwenye fedha za wateja???Wakushtakiwa ni JP markets maana yeye ndo broker anaetakiwa akae na hela zenu, sasa wao JP ndo waishtaki TMT kudai hela za wateja wake
Ontario ni tapeli na mjinga mkubwa..Yeye ndio aliwashawishi Watanzania waitumie jp market kupitia TMT...lakini cha ajabu matatizo yametokea yuko kimya Cre ndio anapambana kuhakikisha pesa za clients wa Tanzania ziko salama...Ontario anatuletea mabanfiko yake ya kipuuzi Ontario tukimshika tunamchoma motoCre is the most stupid guy I have ever seen in my entire Forex life. He is such a coward and a conman who thinks every person is a fool trying to pursuade people that Ontario withdrew the money without reasoning and without knowing the consequences.
Cre is the one who forced JP Markets to be used as a broker. Cre was Ontario's mentor that's why Ontario had no option than to accept Cre's suggestions.Ontario ni tapeli na mjinga mkubwa..Yeye ndio aliwashawishi Watanzania waitumie jp market kupitia TMT...lakini cha ajabu matatizo yametokea yuko kimya Cre ndio anapambana kuhakikisha pesa za clients wa Tanzania ziko salama...Ontario anatuletea mabanfiko yake ya kipuuzi Ontario tukimshika tunamchoma moto
Wewe mwenyewe ulimuunga mkono.Ogopa sana mtu mwenye maneno mengi yanayovutia.
Sure bro.Mtu alie smart na mtulivu kwenye forex atapiga pesa sana sana sana sana, wengi waliokua wanamponda jamaa leo watapata pa kusemea na kupiga kelele ili hali bado wako vile vile
usd 30 kwa kila siku na unavuta mpunga wako mpesa kama una familia huli, hununui umeme, hupati nauli ya watoto shule?? mshahara wako ukabaki palepale?? matatizo ya watu yasifanye forex kuonekana ni utapeli, kama umefundisha changanya na akili zako utembee mbele
AS always say, i will put my last cent on Forex ....
Wewe mwenyewe ulimuunga mkono.Mtu alie smart na mtulivu kwenye forex atapiga pesa sana sana sana sana, wengi waliokua wanamponda jamaa leo watapata pa kusemea na kupiga kelele ili hali bado wako vile vile
usd 30 kwa kila siku na unavuta mpunga wako mpesa kama una familia huli, hununui umeme, hupati nauli ya watoto shule?? mshahara wako ukabaki palepale?? matatizo ya watu yasifanye forex kuonekana ni utapeli, kama umefundisha changanya na akili zako utembee mbele
AS always say, i will put my last cent on Forex ....
Wewe mwenyewe ulimuunga mkono.
Leo unamsaliti!?
hello dada muuza mbege.naona bado unahaha humuCre is the most stupid guy I have ever seen in my entire Forex life. He is such a coward and a conman who thinks every person is a fool trying to pursuade people that Ontario withdrew the money without reasoning and without knowing the consequences.
Kwa jinsi negative comments zilivyotolewa juu ya huyu Broker, binafsi sishauri watu wamtumieKwa wale Trader ambao wangependa kumtumia broker Templerfx.
Broker huyu anakuwezesha kuweka PESA na kutoa kwa njia ya M-PESA.
Kujisajili ni rahisi sana kwa kutumia kitambulisho chako cha kupigia kura, namba yako ya simu utakayotumia kuweka na kutoa pesa kwa broker pamoja na E-mail.
Ni broker pekee ambae anayekuwezesha kuweka kiasi kidogo kuanzia dollar ($) 1 kwenye akaunti yako ,pia vilevile ana huduma ya haraka sana wakati wa kutoa pesa yako, dakika 15-30 tiyari pesa inakuwa imeshatumwa kwenye account yako.
BAADA YA KUJISAJILI
Ndani ya saa 72 au chini ya hapo unakuwa na akaunti yako tiyari na kuanza kuitumia.
JISAJILI SASA
Wasiliana na mimi PM kwa msaada zaidi BURE.
TemplerFX | Promo
Hoja zote ambazo hazikuwa na mashiko dhidi ya Templerfx nilishazijibu, usiwe mvivu pitia post zilizotanguliaKwa jinsi negative comments zilivyotolewa juu ya huyu Broker, binafsi sishauri watu wamtumie