Ontario adaiwa kusepa na Mamilioni ya Wana-Forex

Nitachukua hatua stahiki , hatua mujarabu za kupugania haki zangu na sio kulialia mitandaoni kama hawa Wadau Wa TMT. Mimi naona wanalialia tu sijaona lolote la maana wanalofanya kudai haki zao.

Mababa na wamama wazima wanapiga domo mtandaoni badala ya kuuwasha moto pale Jangid, ndip maana nasema kama hawana ujanja wowote ni bora wakae chini wahipange upya kuliko kupoteza muda for nothing.
 
kwenye fx kila kitu ni simple hata umeishia la saba buy lower sell high, cut loss let profit run, stay patienc, escape choppy zones
1526977095020.jpg
 
Sasa jamaa atawatambua wabongo kasepa na mzigo wote...au anaenda kumuunga mkono raid ktk viwanda.....na huu(...) ulikuwa unaendelea aisee kuna rafiki yangu huko alipo mashavu yatakuwa yamevimba kwa hasira......
Hahahah nimecheka ki mbwa yani.
 
mpaka hapa nazidi kula popcon zangu Cre ni mwizi waziwazi, ameona watu wamejanjaruka msimshitaki yeye washitakini Jp Markets huyu jamaa kuna kamchezo anakajua
Wakushtakiwa ni JP markets maana yeye ndo broker anaetakiwa akae na hela zenu, sasa wao JP ndo waishtaki TMT kudai hela za wateja wake
 
Ulisoma Terms and Conditions za Jp market ulipofungua account yako kwake? Kama ndio moja ya vipengele vinasemaje kuhusu ushirika wake na TMT kwenye fedha za wateja???

Kwa nilivyosikia ile clip ya mtu wa Jp market ni kwamba wao hawahusiki na fedha za Tmt. Sasa sijajua umetumia vigezo vipi kudhani jp market ni reliable victim.

Anyway, tuwe tunasoma hizo T&C za kila broker kabla hujaanza kufanya nae kazi. Bomu lingine lijalo ni hawA broker wanaotumia kampuni za kuwezesha miamala kwa simu kama ipay na fasa. Siku zinahesabika. Ukisoma terms and Conditions broker ameeleza wazi hausiki na kupotea kwa fedha yoyote kutoka kwa huyo middleman kwenda kwake. Kuna watu kadhaa wamekwishapoteza pesa kwa hawa mamiddle man.

Ndio maana ikitokea usumbufu wowote kwenye kudepost na hela haijafika kwenye mt4 account yako broker anakwambia uwasiliane wewe mwenyewe na hao middlemen but still people are utilizing their services.

Ipo siku tutapigwa kipigo cha mbwa koko.
 
Cre is the most stupid guy I have ever seen in my entire Forex life. He is such a coward and a conman who thinks every person is a fool trying to pursuade people that Ontario withdrew the money without reasoning and without knowing the consequences.
 
Ontario ni tapeli na mjinga mkubwa..Yeye ndio aliwashawishi Watanzania waitumie jp market kupitia TMT...lakini cha ajabu matatizo yametokea yuko kimya Cre ndio anapambana kuhakikisha pesa za clients wa Tanzania ziko salama...Ontario anatuletea mabanfiko yake ya kipuuzi Ontario tukimshika tunamchoma moto
 
Cre is the one who forced JP Markets to be used as a broker. Cre was Ontario's mentor that's why Ontario had no option than to accept Cre's suggestions.
 
Mtu alie smart na mtulivu kwenye forex atapiga pesa sana sana sana sana, wengi waliokua wanamponda jamaa leo watapata pa kusemea na kupiga kelele ili hali bado wako vile vile

usd 30 kwa kila siku na unavuta mpunga wako mpesa kama una familia huli, hununui umeme, hupati nauli ya watoto shule?? mshahara wako ukabaki palepale?? matatizo ya watu yasifanye forex kuonekana ni utapeli, kama umefundisha changanya na akili zako utembee mbele

AS always say, i will put my last cent on Forex ....
Sure bro.
 
Wewe mwenyewe ulimuunga mkono.

Leo unamsaliti!?
 
Cre is the most stupid guy I have ever seen in my entire Forex life. He is such a coward and a conman who thinks every person is a fool trying to pursuade people that Ontario withdrew the money without reasoning and without knowing the consequences.
hello dada muuza mbege.naona bado unahaha humu
 
Kwa wale Trader ambao wangependa kumtumia broker Templerfx.

Broker huyu anakuwezesha kuweka PESA na kutoa kwa njia ya M-PESA.

Kujisajili ni rahisi sana kwa kutumia kitambulisho chako cha kupigia kura, namba yako ya simu utakayotumia kuweka na kutoa pesa kwa broker pamoja na E-mail.

Ni broker pekee ambae anayekuwezesha kuweka kiasi kidogo kuanzia dollar ($) 1 kwenye akaunti yako ,pia vilevile ana huduma ya haraka sana wakati wa kutoa pesa yako, dakika 15-30 tiyari pesa inakuwa imeshatumwa kwenye account yako.

BAADA YA KUJISAJILI

Ndani ya saa 72 au chini ya hapo unakuwa na akaunti yako tiyari na kuanza kuitumia.

JISAJILI SASA
Wasiliana na mimi PM kwa msaada zaidi BURE.

TemplerFX | Promo
 
Kwa jinsi negative comments zilivyotolewa juu ya huyu Broker, binafsi sishauri watu wamtumie
 
Hoja zote ambazo hazikuwa na mashiko dhidi ya Templerfx nilishazijibu, usiwe mvivu pitia post zilizotangulia

Watu tunaomtumia Templerfx Ndio tunajua uzuri wake
 
Back
Top Bottom