Ontario adaiwa kusepa na Mamilioni ya Wana-Forex

Haiwezekani kabisa. Point kubwa sana umeongea
 
Nilishapost huu n mchezo na wanaucheza vyema, picha likiisha wanakutana south Africa wanakula piza uku wakifikiria waingia tena chimbo gan
Ila nawashaur wasiende somaria,Nigeria au kenya uko wafwa kwel watu hawana masihara
 
Usithubutu kwenda watakugeuza mshikaki....
Mkuu

Ova
 
Kwani ontario ni mwizi au ni mtu wa aina gani? naona tu tuhuma dhadi yake haziishi na hakuna wakumpeleka mahakamani
 
haiwezekani kabisz
 
Ontario ni kibaka kama vibaka wengine wa Manzese au Yombo.


Huu ni utapeli uliopangwa ukapangika.
 
hakuna hela ya hivyo duniani.. Forex ni kama mchezo wa kubet..
Hela inatafutwa kwa jasho...
 
Nina uhakika wewe ni Ontario umekuja n ID nyingine, please lipa hela za wAtu Ontario punguza ujambazi a.k.a uboko haramu
ID nyingine ya kazi gani mkuu. Sidaiwi na mtu na siwezi punguza utapeli while I'm not a conman.
Forex is not for everyone. Wengine mkalime bustani tu
 
hakuna hela ya hivyo duniani.. Forex ni kama mchezo wa kubet..
Hela inatafutwa kwa jasho...
Ulikurupika ukaanza kutrade without knowledge and ended up losing hence concluding forex is betting. Poor you
 
Ulikurupika ukaanza kutrade without knowledge and ended up losing hence concluding forex is betting. Poor you

Kifupi sikuwahi na siwezi kujaribu kuishi kwa kubahatisha, nani kakwambia kuna hela inapatikana kwa kubahatisha..
Narudia tena Forex haina tofauti na mchezo wa kubet..ambapo aliyebet anaishi kwa kupiga ramli, ni hivyo hivyo hata kwenye forex mnaishi kwa kupiga ramli... Hakuna hela ya mteremko..
 
Stupid mind
 
Hahaahaaaa hiyo ndo forex wazee wa trading
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…