Ontario adaiwa kusepa na Mamilioni ya Wana-Forex

Ontario adaiwa kusepa na Mamilioni ya Wana-Forex

hayakuhusu acha kudandia comment zisizo zako mjini hapa ooh na ujaelewa hizo ni code za me na the bold

Ukishaweka kitu kwenye public forum kinamhusu yeyote atakayekiona.

Unless nimeelewa vibaya unipe ufafanuzi, otherwise nitaendelea kuamini vile nilivyo tafsiri.

Nimeona mara kadhaa posts za kumlaumu The Bold kuhusu kuwapotosha watu kujiunga na TMT, leo namwona anapost hiko kitu, kwa nini nisiamini kwamba ni "jibe" kwa walengwa?
 
Huyu jamaa si alileta bandiko kwamba Ontario na mwenzake wamejitoa ukurugenzi wa TMT? Nnachojiuliza, kama walikua ni signatories wa benki, hawakupeleka hizo taarifa ili kuwaondolea uwezo wa kufanya miamala benki?

Hapa kuna uwezekano ikawa ni muendelezo wa utapeli au kuna uzembe wa hali ya juu kwenye uendeshaji wa mambo yao.
Jamaa hao ni kitu kimoja huyo Ontario na Cre wanajifanya hawako pamoja huku nje tu.

Ukitaka kujua Ontario ni msanii na ni bingwa wa kubuni ni vile alivyomtumia the bold kutunga story ya jinsi Ontario anavyoheshimika na mabosi wa usalama wa Taifa sijui nini huku akijifanya hayuko pamoja na the bold.
 
pole sana "" hali ya kawaida hiyo "" unapokesea pakukanyaga na kuanguka"" ndio dira ya utambuzi wa akili itakavyoweza kukusaidia kuujua ubaya wa njia"""
Maneno matamu ila mwenzako alali leo atakuwa anawaza fungu lake kule TMT,kwani TMT sio brand ya Mayweather?
 
Hahah Hivi mkuu hauhisi labda ndg Habib na Ontario walikua wanajuana kitambo tu nje ya JF na hata kujiunga hapa Jf kwa hao wawili huku kila mtu alijifanya anajiunga kwa muda wake na kama vile hawajuani hivi walifanya hivyo purposely?

Unakumbuka ile Story the bold anampamba Ontario eti Mpk boss wa Usalama wa Taifa walikua wanampigia simu dogo sijui wanamuogopa,story kibao.

Najiuliza hivyo sababu baada ya TMT kupiga hela huyo the bold story zake zikapungua na akateleza mazima humu jf.
Mkuu mke wa Habib atakuwa kwenye wakati gani maana aliasi kabisa jf.
 
hahhhahah na kweli mkuu nilikuwa naipenda mno forex lakini swala la kulazimishwa kutrade kwa broker wao lilinipa sana ukakasi nikaamua achana nao kabisa
Na forex uliiacha kabisa au ulitafuta alternative nyingine?
 
huyo uliemquote unamjua na the bold unamjua ndio maanaa nimesema usidaandie usivojua haaaaaaaaaa

Note: Kutokana na sababu za kisheria na mipango yangu binafsi nimeona ni vyema nikitumia jina langu halisi humu Jamii Forums. 'The bold' itabaki kama alias. Nashukuru uongozi mzima wa JF kwa kuverify account yangu.

Habibu Anga alias The bold - 0718 096 811

Ndiyo maana nikakwambia ni dharau kwa The Bold kuja na hizi kauli za dharau kwa wanaodhani ni wahanga kwa sababu yake.

Alitakiwa aje kueleza ni kwa jinsi gani yeye Habibu B. Anga aka The Bold hahusiki na hizo tuhuma zinazoelekezwa kwake.

Auchukue huu ushauri aufanyie kazi, au aendelee na tambo za dharau.

Just done my duty.
 
Hata nikikufundisha umeshalishwa sumu kuwa forex ni utapeli wakati watu wanapiga pesa, NAKUHAKIKISHIA kwenye FOREX wakati natoka mwenge to posta foleni ile mimi naingiza usd 30 kila siku sina presha na mtu.
Mfundishe tu mkuu.
 
Hakuna alieibiwa pesa clients tuko salama kabisa trade zina run kama kawaida,nampenda ontario na wenzie ila kwa kugombanaa kwenye grups wameonesha uafrica wao wa ajabu samahani kwa hili ONTARIO soon nabadilisha broker mmeniboa kwa ugomvi wenu.nahamia ECN Broker.Forex ni nzuri tu il hawa watu wameboa
Hadi sasa umevuna ngapi mkuu?
 
mbuz wewe hakuna alielazimishwaa kwenda tmt the bold aachana nae fany yako

Kawaida sana haya matusi, ni tusi lipi jipya sijasikia kwa umri huu?

Tena natukanwa na wezi, vibaka, matapeli, madalali wa kuibia wenzao.

Mshauri mwenzio ajieleze kwa alichowafanyia members, ili aendelee kupata story.

Nimeona alianzisha group whatsapp la watu kusoma story zake kwa hela, vipi linaendeleaje?
 
huyu Cre ni wakala wa JP Market....Na Jp Ndio wanaocontrol account za clients so anasikilizwa zaidi na JP kuliko akina Ontario....cre na jp wanawazunguka akins ontario kwenye mgao
Kwaiyo dogo ajabeba zote ila kachukua kilicho chake sio?
 
The bold na ontorio wataendelea kulaaniwa na utapeli waliufanya wa kinyama kwa vijana wa kitanzania kwa nia ovu ya kuchoma acc. Indirect ili wanufaike wao na wengine wapate hasara hichi kitu kitawatafutana miaka yote
Nabariki laana hizi kwao..
Bora mtu usiijue forex kuliko kujua kwanjia za kitapeli kama hizi
 
Back
Top Bottom