Ontario adaiwa kusepa na Mamilioni ya Wana-Forex

Ontario adaiwa kusepa na Mamilioni ya Wana-Forex

Mwanaume hana muda wa kujichokonoa.
Mwanaume ni mtu wa facts. Tuache kuchokonoana, maana mwisho wa siku mwanaume na mwanamke wanapochokonoana madhara yanajulikana yatabaki kwa nani kati yao...

Tufanye hivi, tuweke hapa screenshot za Balance ya Bank Accounts zetu hapa...
Mimi naweka Trading account yangu moja tu ya Tickmill (nitaconvert hizo USD to TZS).
Wewe weka Account zako zote, jumlisha na za Humble African (LINAFIKI), Mama Sabrina na Palantir
Then tuone mimi na nyie wote kwa pamoja nani Analia njaa...

Are you ready for the challenge Madam Shankupe???
Weka na mi nakuwekea zile za blue [emoji23][emoji23][emoji23]
Forex is not for everyone
 
Anatamani hata zile hela za kulipia ada...angepewa muda huu akapate lunch maana kavurugwa empty stomach, empty wallet, empty head..karibu mjini dogo toka kwenu huko kishumundu. Na vyeti havimsaiidii yule aliekuwa anajipendekeza kwake kakwapua manoti yuko kwa madiba anakula good time.

Man Ontario anakesha clubbing tu SA ninamchoraga tu via WhatsApp.. Ninajisemea kimoyomoyo mkopo wa engineer majalala unachakazwa.
Unabaki tu kusema hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Anhaaaa. Kumbe na wao hata baada ya kuelewa somo wakawa wanamtegemea Ontario awape signals? Basi wanastahili walichokipafa. Yani baada ya kufundishqa bado wanasubiri kulishwa. Spoon feeding haiwez isha kama mtu mpaka pesa yako unataka ufanyiwe spoon feeding
Na hili ndio kosa waliofanya .

Forex ni real but ubaya wake ni huu hapa.

[emoji117] kutegemea kupewa signals hapa lazima uwaone watu wachawi.

[emoji117] kuchaguliwa broker

[emoji117] kupitisha hela kwa middle men(TMT)

[emoji117] kutokuwa.na proper trading skills yaani kudandia soko kwa mbele lazima ulie.na ndio utaijua kuwa forex ni shule .

[emoji117] kutokuwa na subira ila kupata right entry na kutokuwa na forcus ya destination yako Mara baada ya kuingia sokoni .

[emoji117] kutopata mtu sahihi wa kukuongoza(mentor)

[emoji117] kutopenda kujisomea

Forex huwezi imasta kwa siku mbili wala mwezi mmoja it takes time hadi 4 years kikubwa patience and perseverance mwanzo mwisho

Others wise ndio ule msemo "Forex is not for everyone " utakuhusu uta give up njia

Kama Leo hii mkianza 100 kufundishwa forex baada ya miaka 3 watabaki wawill au mmoja tu.

Forex ni msitu mnene hauna easymoney
 
Ndo nikasema they deserve walichokipata
 
Mwanaume hana muda wa kujichokonoa.
Mwanaume ni mtu wa facts. Tuache kuchokonoana, maana mwisho wa siku mwanaume na mwanamke wanapochokonoana madhara yanajulikana yatabaki kwa nani kati yao...

Tufanye hivi, tuweke hapa screenshot za Balance ya Bank Accounts zetu hapa...
Mimi naweka Trading account yangu moja tu ya Tickmill (nitaconvert hizo USD to TZS).
Wewe weka Account zako zote, jumlisha na za Humble African (LINAFIKI), Mama Sabrina na Palantir
Then tuone mimi na nyie wote kwa pamoja nani Analia njaa...

Are you ready for the challenge Madam Shankupe???
[emoji1]

Mkuu wakikujibu unitag
 
Mm nipo kwenye group ukweli ni kwamba client hatukuibiwa ila kuna mgogoro kati yao. Kwa hiyo katika account za TMT Sirjeff kachukua hela yake kasepa kwa sababu katika kampuni alikuwa na share. So kuchukua share zake si kosa na kutokana na ugomvi inawezekana share zake zilizuiwa
hv ndivyo munavyodanganywa kuwa hamujaibiwa!?! ingekuwa kachukua share yake wamtafute wa nini si zake?! na asiporudisha wamfungulie mashtaka ili iweje ikiwa kachukua chake?! ifike wakati mujielewe musipelekwe kama misukule ama vipofu ,mumepigwa na hilo liko wazi huko kwngine n kujiliwaza
 
Wow! Your comment has melt my soul. Thanks best.

Maandishi matamu kama Kamasutra. Siku hizi tunaandika kwa touch za kitapeli tu yaani Yale matamu tu . Ahahaha!
Haahahahhaah Leo mbavu zangu zimevunjika yaan weww maneno matamu matamuuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huu Uzi unafafanua kwa kina namna upigaji ulivyokuwa unafanyika TMT.

Mwanzoni jamaa walioniona mnafiki but Leo nimegeuka Nabii kwenye magroup yao ya telegram na WhatsApp... I exactly prophesied this scenario..Inayoendelea leo hapa.

Hii hapa isome kwa kujiongezea ufahamu na namna matapeli wa Forex wanavyojipekecha kimkakati Hivi ndivyo tulivyotapeliwa na Ontario wa TMT kwenye Forex

Enlightened!
Haaahaaa...Mungu sio Sholo Mwamba kweli!

On a serious note ambae hakukuelewa kwenye huo Uzi wako hataelewaga milele!
 
Huyu fala nilimsanua mapema nikampa lonja juu ya utapeli wa dogo way back sana huyu fala akaniona mnafiki sitaki maendeleo yake akuishia hapo akaona amepata job full time akaacha na kibarua chake cha uinjinia majalala akakopa milion tano akazama TMT akausake utajiri..Jeff alivyo komando kipensi akamtengenezea na desk la kuwa anatredia pale jangid full time ili azae nae vizuri. Baada ya hapo the rest is history ya maumivu na umaskini. Nilimwambia dogo unakopa million tano unakimbia kazi unaenda kutrade...nilijua itafika kipindi dogo atatambua kwanini IDD Amini aliitwa Dada ilhali ni wakiume.. Ahahaha! Jeff piga umbwa hii. Hii hapa sredi ya ushauri wa mkopo Ushauri: Mimi mwajiriwa serikalini, nataka nichukue mkopo (kwa kutumia ajira yangu) kisha niache kazi

Sasa ana hasira yaani kama Nesi wa wodi ya wazazi... Ahahaha! Dogo tulia haya maisha tu..you lose some you win some.

Mshike mshike ndege tunduni sisi wajanja tulikimbia.
Nakupendaga tu mm
 
NILICHOJIFUNZA KWENYE MAISHA NI KUWA HUWEZI KUFANIKIWA KWA BAHATI MBAYA NA PIA HAKUNA SHORTCUT TOWARD SUCCESS, UKIAKA UFANIKIWE KWA SHORTCUT UTAISHIA KUCHEZA AKINA BIKO NA TATU MZUKA NA KULIWA MPAKA AKILI IKAE SAWA AU KUTAPELIWA MITANDAONI,VIJANA TUFANYE KAZI TUACHANE NA HELA ZA HARAKAHARAKA
 
Endeleeni kubwabwaja tudola twangu 17 kibindoni tayari niko mapumziko ya lunch [emoji1]
IMG_20180516_131916.jpg
IMG_20180516_132018.jpg
 
Back
Top Bottom