Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Kaja kuwacheka hujaona hapo nyuzi zake na wanaogopa kumqoute wanatumalizia hasira sisiMeona eeh ..na bold katoa kichambo heavy, but kimyaaa
Mamaae chezea Ontario!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaja kuwacheka hujaona hapo nyuzi zake na wanaogopa kumqoute wanatumalizia hasira sisiMeona eeh ..na bold katoa kichambo heavy, but kimyaaa
Mamaae chezea Ontario!
Weka na mi nakuwekea zile za blue [emoji23][emoji23][emoji23]Mwanaume hana muda wa kujichokonoa.
Mwanaume ni mtu wa facts. Tuache kuchokonoana, maana mwisho wa siku mwanaume na mwanamke wanapochokonoana madhara yanajulikana yatabaki kwa nani kati yao...
Tufanye hivi, tuweke hapa screenshot za Balance ya Bank Accounts zetu hapa...
Mimi naweka Trading account yangu moja tu ya Tickmill (nitaconvert hizo USD to TZS).
Wewe weka Account zako zote, jumlisha na za Humble African (LINAFIKI), Mama Sabrina na Palantir
Then tuone mimi na nyie wote kwa pamoja nani Analia njaa...
Are you ready for the challenge Madam Shankupe???
Unabaki tu kusema hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiAnatamani hata zile hela za kulipia ada...angepewa muda huu akapate lunch maana kavurugwa empty stomach, empty wallet, empty head..karibu mjini dogo toka kwenu huko kishumundu. Na vyeti havimsaiidii yule aliekuwa anajipendekeza kwake kakwapua manoti yuko kwa madiba anakula good time.
Man Ontario anakesha clubbing tu SA ninamchoraga tu via WhatsApp.. Ninajisemea kimoyomoyo mkopo wa engineer majalala unachakazwa.
Naona umerudi kwa nguvu zote Josemmmmh ya kweli hayo??
Na hili ndio kosa waliofanya .Anhaaaa. Kumbe na wao hata baada ya kuelewa somo wakawa wanamtegemea Ontario awape signals? Basi wanastahili walichokipafa. Yani baada ya kufundishqa bado wanasubiri kulishwa. Spoon feeding haiwez isha kama mtu mpaka pesa yako unataka ufanyiwe spoon feeding
Wow! Your comment has melt my soul. Thanks best.We jamaa nikisoma comments zako naburudika tuu
Una uandishi flani amazing[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Ndo nikasema they deserve walichokipataNa hili ndio kosa waliofanya .
Forex ni real but ubaya wake ni huu hapa.
[emoji117] kutegemea kupewa signals hapa lazima uwaone watu wachawi.
[emoji117] kuchaguliwa broker
[emoji117] kupitisha hela kwa middle men(TMT)
[emoji117] kutokuwa.na proper trading skills yaani kudandia soko kwa mbele lazima ulie.na ndio utaijua kuwa forex ni shule .
[emoji117] kutokuwa na subira ila kupata right entry na kutokuwa na forcus ya destination yako Mara baada ya kuingia sokoni .
[emoji117] kutopata mtu sahihi wa kukuongoza(mentor)
[emoji117] kutopenda kujisomea
Forex huwezi imasta kwa siku mbili wala mwezi mmoja it takes time hadi 4 years kikubwa patience and perseverance mwanzo mwisho
Others wise ndio ule msemo "Forex is not for everyone " utakuhusu uta give up njia
Kama Leo hii mkianza 100 kufundishwa forex baada ya miaka 3 watabaki wawill au mmoja tu.
Forex ni msitu mnene hauna easymoney
[emoji1]Mwanaume hana muda wa kujichokonoa.
Mwanaume ni mtu wa facts. Tuache kuchokonoana, maana mwisho wa siku mwanaume na mwanamke wanapochokonoana madhara yanajulikana yatabaki kwa nani kati yao...
Tufanye hivi, tuweke hapa screenshot za Balance ya Bank Accounts zetu hapa...
Mimi naweka Trading account yangu moja tu ya Tickmill (nitaconvert hizo USD to TZS).
Wewe weka Account zako zote, jumlisha na za Humble African (LINAFIKI), Mama Sabrina na Palantir
Then tuone mimi na nyie wote kwa pamoja nani Analia njaa...
Are you ready for the challenge Madam Shankupe???
hv ndivyo munavyodanganywa kuwa hamujaibiwa!?! ingekuwa kachukua share yake wamtafute wa nini si zake?! na asiporudisha wamfungulie mashtaka ili iweje ikiwa kachukua chake?! ifike wakati mujielewe musipelekwe kama misukule ama vipofu ,mumepigwa na hilo liko wazi huko kwngine n kujiliwazaMm nipo kwenye group ukweli ni kwamba client hatukuibiwa ila kuna mgogoro kati yao. Kwa hiyo katika account za TMT Sirjeff kachukua hela yake kasepa kwa sababu katika kampuni alikuwa na share. So kuchukua share zake si kosa na kutokana na ugomvi inawezekana share zake zilizuiwa
Wewe hukujiunga na forex kwa ontario?[emoji1] [emoji1]Akikujibu uniite
Haahahahhaah Leo mbavu zangu zimevunjika yaan weww maneno matamu matamuuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wow! Your comment has melt my soul. Thanks best.
Maandishi matamu kama Kamasutra. Siku hizi tunaandika kwa touch za kitapeli tu yaani Yale matamu tu . Ahahaha!
Haaahaaa...Mungu sio Sholo Mwamba kweli!Huu Uzi unafafanua kwa kina namna upigaji ulivyokuwa unafanyika TMT.
Mwanzoni jamaa walioniona mnafiki but Leo nimegeuka Nabii kwenye magroup yao ya telegram na WhatsApp... I exactly prophesied this scenario..Inayoendelea leo hapa.
Hii hapa isome kwa kujiongezea ufahamu na namna matapeli wa Forex wanavyojipekecha kimkakati Hivi ndivyo tulivyotapeliwa na Ontario wa TMT kwenye Forex
Enlightened!
Nasubiria aweke na sie tuweke za madela [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1]
Mkuu wakikujibu unitag
Mm mwenyewe forex toshaWewe hukujiunga na forex kwa ontario?[emoji1] [emoji1]
Nakupendaga tu mmHuyu fala nilimsanua mapema nikampa lonja juu ya utapeli wa dogo way back sana huyu fala akaniona mnafiki sitaki maendeleo yake akuishia hapo akaona amepata job full time akaacha na kibarua chake cha uinjinia majalala akakopa milion tano akazama TMT akausake utajiri..Jeff alivyo komando kipensi akamtengenezea na desk la kuwa anatredia pale jangid full time ili azae nae vizuri. Baada ya hapo the rest is history ya maumivu na umaskini. Nilimwambia dogo unakopa million tano unakimbia kazi unaenda kutrade...nilijua itafika kipindi dogo atatambua kwanini IDD Amini aliitwa Dada ilhali ni wakiume.. Ahahaha! Jeff piga umbwa hii. Hii hapa sredi ya ushauri wa mkopo Ushauri: Mimi mwajiriwa serikalini, nataka nichukue mkopo (kwa kutumia ajira yangu) kisha niache kazi
Sasa ana hasira yaani kama Nesi wa wodi ya wazazi... Ahahaha! Dogo tulia haya maisha tu..you lose some you win some.
Mshike mshike ndege tunduni sisi wajanja tulikimbia.
Stress tupu hawa .....we told them hawakusikia!Wanaanzaje sasa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Wanaishia kuattack watu wengine
Ohooo!! Lawd have mercy..I love you more best..!Nakupendaga tu mm
Weee! niondoe mimi kwenye hawa vilaza wa TMTWalikutoa kwenye group?