BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,327
Kabla ya kuwashawishi na kujipigia chapuo waje kupata knowledge kwenu kwa kutoa laki 2 tmt sio mazezeta,,ila baada kutoa laki 2 na training ya siku 5 na kulazimishwa kutumia broker wao kwa maslahi binafsi hatimae kuunguza akaunti leo anaitwa ZEZETA.Jamaa si anakula commission kwa;
1. Kuwaletea FNB na JP markets wateja;
2. Mazzezzeta kuunguza akaunti. He has nothing to loose
Mnaibiwa bila kujitambua.Hivo vitabua unavipataje na.vinaitwaje tuanzie hapo kisha baadae nitakutafuta
Hakuna mtu anayemwonea wivu , ,soma mada yangu vizuri ,tatizo yeye anataka apige pesa huku wenzake wakiharibikiwa, tabia Hiyo huwezi kufika mbali.Nyie bakini kulialia huku Jf kwa lengo baya dhidi yake, lakini mwenzeni maisha yanamuendea bila shida
Wewe Forex huijui hata kidogo, Forex siyo kamari, kwenye kamari kupoteza pesa ni 100%,wakati FOREX ukiijua kupoteza pesa ni 40%.Kamari ni kamari tu, hata kama dalali/ broker atatoka mbinguni, achilia mbali Israeli
Pole na ban[emoji23]Haya mambo hayajaisha tu?!
Usijali kabisa nitakusimulia mwanzo mpaka mwisho.Ikifika mwisho, utanisimulia
Kwa faida ya wote, Broker wangu ni "Tradeo" .Mkuu ww unatumia broker yupi aise ebu tushirikishe ndugu.
Kama sio kamari kwann ukiijua upoteze hata hiyo 40℅?!Wewe Forex huijui hata kidogo, Forex siyo kamari, kwenye kamari kupoteza pesa ni 100%,wakati FOREX ukiijua kupoteza pesa ni 40%.
Usipotoshe watu, ni bora ukae kimya .
Asante sn...namtafuta mod aliyenipiga banPole na ban[emoji23]
hahahaaa naona avatar yako hapo inasoma 4:1Ngumu kumeza...crystal palace atanguliwe kufungwa na city alafu arudish goli na kuongeza
sawq mkuu
kwani wewe maisha yanakuendea na shidaNyie bakini kulialia huku Jf kwa lengo baya dhidi yake, lakini mwenzeni maisha yanamuendea bila shida
leo naona mnataka kulana wenyewe kwa wenyew sasaKwa hiyo walioko Marekani, Japan na UK sio bora? ni kigezo gani unatumia kusema huyu ni broker mzuri au mbaya?
Ni laana actuallyHakuna mtu anayemwonea wivu , ,soma mada yangu vizuri ,tatizo yeye anataka apige pesa huku wenzake wakiharibikiwa, tabia Hiyo huwezi kufika mbali.
Mie siijui hiyo Forex,nauliza hivi wote mkiwa mamaster au mafundi wa Forex mtakuwa mnakula hela za Nani?Wewe Forex huijui hata kidogo, Forex siyo kamari, kwenye kamari kupoteza pesa ni 100%,wakati FOREX ukiijua kupoteza pesa ni 40%.
Usipotoshe watu, ni bora ukae kimya .
MpumbavuWatanzania sio watu wa kuwahurumia.Ukipata fursa ya kuwanyonya uwanyonye tu mpaka akili iwakae sawa.Hongera sana Ontario.Ukiweza badili mbinu uje uwalambe Kwa mara ya piki
Nimekutapeli nini ndugu?Naona na wewe ni Tapeli mkubwa, Umekwepa Title yako yote umeanza kujisifia unapata Ml 7 na zaidi hatuwezi kataa ni kawaida
Umeamua kujitangazia wewe binafsi biashara hii sio sahihi, Kama lengo lako ni kurekebisha waambie watu nini walikosea
Kwa kifupi wewe ni mwanafunzi wa TMT kwa ontario
Mwanafunzi hawezi kuwa juu ya Mwalimu wake ila kwa mafunzo maalumu