Ontario kamalizwa kishamba mno!

Jestina maandishi ysko mengi kuhusu forex yamekuwa yaki waataki personally wenye mawazo tofauti hata kama hawaja kuprovoke hili halina ubishi. Kiasi fulani ulikuwa unamwaribia kazi Ontario. Lakini ni vyema ukaanza upya na uwe balozi mzuri wa TMT. Halafu madhaifu yenu yanarekebishika na hao mliokuwa nao wakawa mabalozi wazuri kushswishi wengine kuliko nguvu kubwa inayoambatana na maneno makali humu
 
Hii kamari bado tu mnatuletea humu? Kumbuka leo unakula kesho utaliwa weye
 
Kidogo leo umejitahidi kuandika point
 

Mimi sina affiliation yoyote na TMT hawanijui siwajui hata kidogo huyu ontario na wenzie nimeishia kuwaona hapa tu.... wengi wao walikua wananianza kuni attack na me bila hiyana lazma nirudishe mashambulizi hua naamini katika falsafa ya “Dont negotiate with Terrorist” na wengi wao wananichukulia Poa kuna jukwaa letu fulani la siri humu hua tunakutana huko hasira zao wanahamishia hapa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hao TMT watakua wamewaskia nilikua naitetea forex kua sio Scam na ipo dunia nzima hata Trump ni anafanya Forex kama hujui.pia nadhani TMT haikuwaikulazimisha mtu kusoma kwao masuala ya forex maana Online unaweza kusoma na ukaishi.Kama ingekua big deal kiasi hicho kwa ela ambazo anazo ontario angetia billboards nchi nzima kuitangaza au kutangaza kwenye TV watu wakasome pale ila sababu ni Forex hailazishwi uisome TMT.
 
Ontario kosa alilofanya ni kutumia lugha nzuri kuaminisha watu watauvuna utajiri kirahisi huko kwenye forex..

Angewaambia tu Forex ni kamari, hata usome vitabu elfu ila fact ni kuwa Forex ni kamari..
 
Ni kweli unatakiwa kuwa makini sana ili uifaidi forex..kuna trics na technics ngumu sana..once ukizimaster..unakuwa gwiji!..huwezi kuacha kujifunza kuendesha baiskeli kwa kuanguka mara moja au mbili!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…