Ontario una kipaji sana, ushawishi wako ni kama mganga wa kienyeji au wachungaji feki

Status
Not open for further replies.

FRESHMAN

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Posts
9,137
Reaction score
34,793
Habari wadau,

Nimegundua kuna watu wana vipaji vya kupiga watu hela, mfano huyu dogo Ontario maana nimesoma thread ambayo dhumuni lake kuu ni kuitangaza bit coin na wenzake apige hela ila kaanzia mbali kamix ma treni humo ya umeme, kamix ma google map na magari yasiyo na madereva ili achanganye watu tu wasielewe kama wanategwa wapigwe hela zao.

Nimekumbuka mbali sana kwenye thread ya kwanza ya forex, mwanzo alianza hivi hii ni aya kwenye thread ya kwanza ya forex ya smart mind wetu ontario;


Mwisho wa siku jiulize kama hao watu 300 walipata hiyo huduma free kama alivyoahidi. Hii ni njia nzuri ya kumvuta mtu unamwambia huduma free kabla hajakaa sawa unampiga hela zake.
 
Nimelipa ADA ya 130,000

vitu ninavyomiliki sasahivi kupitia FOREX ni mara 10 zaidi ya gharama nilizolipia, mimi kama mtumishi wa umma nisingeweza kwa mshahara wa TGS E 950,000 hapo hujakata kodi ubakiwe na 560k

NAMPONGEZA MAGUFULI AKATE KODI MARA 2 ILI WATU WAJIFUNZE FURSA ZINGINE NA HELSB ANONGEZE IFIKE 20%
 
ukiona unaitwa kwenye fursa jua wewe ndio fursa yenyewe... hayo maneno ya umepiga hela nenda kawaambie ndugu zako maskini nao wapigw hela ili mjikomboe ukoo wenu kwanza...

wewe una ndugu zako maskini huwafundishi.. ila unafundisha watu usiowajua watajirike ha ha ha ha

mnaona watu mazuzu sana

 

Acha awe fursa, kama mimi nimeona fursa sina shida, nimepiga hela za kutosha FOREX na bado napiga pesa
 


"Watanzania mnapenda maendeleo lakini mnawachukia watu wenye maendeleo"
 
kwa njia ya bitcoin unahisi akitushawishi kuingia humo atapigaje watu hela? weka maelezo ya kutosha usimshambulie mtu bila kuwa na maelezo ya kutetea point yako. namaanisha hiyo ya bitcoin maana hata ya forex trading kuna mtu kakuprove wrong tiyari karibu
 
kama kwa siku unapata 290,000 kutoka forex so kwa mwezi utakuwa na 8,700,000 ambayo ni mara 16 ya take home ambayo unalipwa na serikali Je umisha acha hiyo kazi ya take home 560K???
 
Baada ya Nyerere kusema maadui wetu wakuu ni magonjwa, ujinga na umasikini

sasa hivi maadui wetu wakuu ni

1. Chuki

2. Wivu usio na tija

3. Ubinafsi na visasi!

Na hawa maadui wanawaandama mpaka viongozi wetu wa juu wa hili taifa!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…