Ontario una kipaji sana, ushawishi wako ni kama mganga wa kienyeji au wachungaji feki

Ontario una kipaji sana, ushawishi wako ni kama mganga wa kienyeji au wachungaji feki

Status
Not open for further replies.

FRESHMAN

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Posts
9,137
Reaction score
34,793
Habari wadau,

Nimegundua kuna watu wana vipaji vya kupiga watu hela, mfano huyu dogo Ontario maana nimesoma thread ambayo dhumuni lake kuu ni kuitangaza bit coin na wenzake apige hela ila kaanzia mbali kamix ma treni humo ya umeme, kamix ma google map na magari yasiyo na madereva ili achanganye watu tu wasielewe kama wanategwa wapigwe hela zao.

Nimekumbuka mbali sana kwenye thread ya kwanza ya forex, mwanzo alianza hivi hii ni aya kwenye thread ya kwanza ya forex ya smart mind wetu ontario;
Mimi nikikwambia nimelipa Rand 14,000 (ni kama mil 2.5) kwaajili ya 1 to 1 mentorship huwezi kuamini. But wanaoelewa forex wanajua nini namaanisha.

Vijana makini sana ambao pia nina malengo ya kumeet nao mwakani wanaitwa AstroFX wana charge $7500 kwa ajili ya 1 week training na 6 months guidance ktk forex. Mimi nimekaa na kuwaza sana, nimefikiria nitoe offer ya watu wa mwanzo kabisa kutoka JF. It's gonna be FREE! namaanisha 100% FREE.

Watu 300 wa mwanzo nitakaoanza nao hii safari nitatoa learning materials, trainings, mentorship, na 3 months guidance for free. I am blessed to bless others - Don't misquote me.

Kwanini nafanya free?! Bado forex haijulikani TZ, na ni ngumu sana kubadili mind set ya watanzania wengi - ambao mara nyingi hua hawapendi kujifunza.

So, natoa hii kitu for free kwa watu wa mwanzo, ili wapige pesa na wabadili financial status zao. Then hawa watu watakua ambassadors wangu, namaanisha hawa ndio watatutangaza pande zote za TZ.

Watu wakimake consistent profits, wakaelewa how it works basi kama watu hawa si wachoyo wa mafanikio wataenda kuwashtua wenzao - ndugu, jamaa na marafiki. Hapo tutaanza na reasonable fees mpaka tutakapoona ni muda sasa wa sisi nasi kula jasho letu, ndio tutaanza kuweka bei za faida.

Again I salute all you bosses

ONTARIO.


Mwisho wa siku jiulize kama hao watu 300 walipata hiyo huduma free kama alivyoahidi. Hii ni njia nzuri ya kumvuta mtu unamwambia huduma free kabla hajakaa sawa unampiga hela zake.
 
Nimelipa ADA ya 130,000

vitu ninavyomiliki sasahivi kupitia FOREX ni mara 10 zaidi ya gharama nilizolipia, mimi kama mtumishi wa umma nisingeweza kwa mshahara wa TGS E 950,000 hapo hujakata kodi ubakiwe na 560k

NAMPONGEZA MAGUFULI AKATE KODI MARA 2 ILI WATU WAJIFUNZE FURSA ZINGINE NA HELSB ANONGEZE IFIKE 20%
 
ukiona unaitwa kwenye fursa jua wewe ndio fursa yenyewe... hayo maneno ya umepiga hela nenda kawaambie ndugu zako maskini nao wapigw hela ili mjikomboe ukoo wenu kwanza...

wewe una ndugu zako maskini huwafundishi.. ila unafundisha watu usiowajua watajirike ha ha ha ha

mnaona watu mazuzu sana

Nimelipa ADA ya 130,000

vitu ninavyomiliki sasahivi kupitia FOREX ni mara 10 zaidi ya gharama nilizolipia, mimi kama mtumishi wa umma nisingeweza kwa mshahara wa TGS E 950,000 hapo hujakata kodi ubakiwe na 560k

NAMPONGEZA MAGUFULI AKATE KODI MARA 2 ILI WATU WAJIFUNZE FURSA ZINGINE NA HELSB ANONGEZE IFIKE 20%
 
Screenshot_2018-01-09-13-07-25[1].png


Endeleeni kupiga kelele watu tunapiga pesaa kama uchafuu, usd 125 (290,000) na kila siku ni mwendo huo huo nimekaa tu, angalia na muda nilioingiza
 
ukiona unaitwa kwenye fursa jua wewe ndio fursa yenyewe... hayo maneno ya umepiga hela nenda kawaambie ndugu zako maskini nao wapigw hela ili mjikomboe ukoo wenu kwanza...

wewe una ndugu zako maskini huwafundishi.. ila unafundisha watu usiowajua watajirike ha ha ha ha

mnaona watu mazuzu sana

Acha awe fursa, kama mimi nimeona fursa sina shida, nimepiga hela za kutosha FOREX na bado napiga pesa
 
habari wadau

nimegundua kuna watu wana vipaji vya kupiga watu hela... mfano huyu dogo ontario

maana nimesoma thread ambayo dhumuni lake kuu ni kuitangaza bit coin na wenzake apige hela.. ila kaanzia mbali... kamix ma treni humo ya umeme.. kamix ma google map na magari yasiyo na madereva.. ili achanganye watu tu wasielewe kama wanategwa wapigwe hela zao....


nimekumbuka mbali sana....kwenye thread ya kwanza ya forex

mwanzo alianza hivi.. hii ni aya kwenye thread ya kwanza ya forex ya smart mind wetu ontario

Mimi nikikwambia nimelipa Rand 14,000 (ni kama mil 2.5) kwaajili ya 1 to 1 mentorship huwezi kuamini. But wanaoelewa forex wanajua nini namaanisha. Vijana makini sana ambao pia nina malengo ya kumeet nao mwakani wanaitwa AstroFX wana charge $7500 kwaajili ya 1 week training na 6 months guidance ktk forex.

Mimi nimekaa na kuwaza sana, nimefikiria nitoe offer ya watu wa mwanzo kabisa kutoka JF. It's gonna be FREE! namaanisha 100% FREE. Watu 300 wa mwanzo nitakaoanza nao hii safari nitatoa learning materials, trainings, mentorship, na 3 months guidance for free. I am blessed to bless others - Don't misquote me.

Kwanini nafanya free?! Bado forex haijulikani TZ, na ni ngumu sana kubadili mind set ya watanzania wengi - ambao mara nyingi hua hawapendi kujifunza. So, natoa hii kitu for free kwa watu wa mwanzo, ili wapige pesa na wabadili financial status zao. Then hawa watu watakua ambassadors wangu, namaanisha hawa ndio watatutangaza pande zote za TZ. Watu wakimake consistent profits, wakaelewa how it works basi kama watu hawa si wachoyo wa mafanikio wataenda kuwashtua wenzao - ndugu, jamaa na marafiki. Hapo tutaanza na reasonable fees mpk tutakapoona ni muda sasa wa sisi nasi kula jasho letu, ndio tutaanza kuweka bei za faida.

Again I salute all you bosses

ONTARIO.



mwisho wa siku jiulize kama hao watu 300 walipata hiyo huduma free kama alivyoahidi... hii ni njia nzuri ya kumvuta mtu unamwambia huduma free kabla hajakaa sawa unampiga hela zake


"Watanzania mnapenda maendeleo lakini mnawachukia watu wenye maendeleo"
 
kwa njia ya bitcoin unahisi akitushawishi kuingia humo atapigaje watu hela? weka maelezo ya kutosha usimshambulie mtu bila kuwa na maelezo ya kutetea point yako. namaanisha hiyo ya bitcoin maana hata ya forex trading kuna mtu kakuprove wrong tiyari karibu
 
Nimelipa ADA ya 130,000

vitu ninavyomiliki sasahivi kupitia FOREX ni mara 10 zaidi ya gharama nilizolipia, mimi kama mtumishi wa umma nisingeweza kwa mshahara wa TGS E 950,000 hapo hujakata kodi ubakiwe na 560k

NAMPONGEZA MAGUFULI AKATE KODI MARA 2 ILI WATU WAJIFUNZE FURSA ZINGINE NA HELSB ANONGEZE IFIKE 20%
kama kwa siku unapata 290,000 kutoka forex so kwa mwezi utakuwa na 8,700,000 ambayo ni mara 16 ya take home ambayo unalipwa na serikali Je umisha acha hiyo kazi ya take home 560K???
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom