- Thread starter
-
- #81
Moyo utakuchoma sana na utakufa kwa wivu? unajisifia familia, unajisifia kuprinti tsht ambazo naweza kujifunza youtube, unajisifia biashara ndogondogo ambazo hata mimi nafanya
mimi najisifia degree ambayo mpaka unakufa huwezi kuipata, najua ulisoma ila F F F F unazo za kutosha koo kaa pembeni
ha ha ha ha... wewe bwege kweli unahisi sina degree? na kama nikiwa nayo nikufanyeje.. unaweza kuta unajisifia degree kumbe ya vyuo vya kata.. haya sasa degree ninayo tena ya chuo mnachokiita bora hapa Tanzania sema lingine.. na kuonesha nimeelimika nimejiajiri biashara 5 tofauti.. na ajira nilizowai kuzifanya ni sehemu ambazo ni ndoto kwa graduates wengi hata kujitolea tu... kama unajiamini upo vizuri tuonane na mashahidi member humu tuone nani amefanikiwa...
degree ni makaratasi tu sio ya kumtisha mtu... mimi hata siiongeleagi sababu sio ishu zama hizi... naongeleaga biashara zangu nilizoanzisha mwenyewe
mbona unakwepa tuonane tujue nani mkali wa kusaka mali